Vituko mikoani

Hahahha umenena vyema mkuu
 
Wenye mada yenu mko wapiiiii? Bado mko shambani? Au bado mnawinda ndezi?
 
nachoshukuru ni kwamba hizi kamera zimekuja hivi karibuni...kuna mambo mengi ya aibu yamejaa vichwani mwetu
 
Tunakutana wakati wa kuchunga mifugo hapo ndipo huwakamoto migegedo kwakusonga
 
JF Manda ya Ziwa mbona kimya sana? Kanda ya kati je? Nyanda za juu kusini? Hebu kujeni acheni noma zenyu hizio... Au huko sio mikoani?
 

Ukawona wabi mwanamuke akinywa bombe (a marwa) na wanaume?? Kweri mnatuapisa kafisa. Harafu machitu yamejikaria yanafyotaka ati wanakunywa a marwa gha bamura! Kha!!! kha khaaaa!!
Hawa ni wahaya sio kwetu Tarime. Kure wanawake kasi yao ni kusombea machi ya moto tu kuweka humo. Ariyekaa kure mwisho ana wake 4 kwenda chuu. Akisikia kirio ati amefiwa anaurisa; Ni yubi?? Hawesi kukimbia nje kwani anajua wamebaki 3.
Kwa kweri ni aipu kupwa kunywa marwa na mawanawake. Naangire kimwi
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…