Vituko mikoani

Vituko mikoani

Yaani huu uzi kiboko. Jamani nacheka kwa sauti kubwa sana. Mshana Jr sio vizuri ujue
 
IMG-20180125-WA0114.jpg
 
Kuna wakati hasa ule wa miezi ya tatu hivi ukiwa na sh 4000 we ni nusu mfalme, kipindi hicho ulanzi unauzwa sh 200 lita moja na sh 300 lita 2.
Basi bwana ukiwa na kiwango hicho cha pesa unaweza ng'oa mrembo mzuri kabisa na hapo hesabu za guest hazipigwi, ni mwendo wa kuingia kwenye mahindi marefu. Hapa watu wa Ulayasi, Mkiu, Masimbwe lazima wanielewe.
Babaaaa !!!, tufamiane ,ni wa huko nini ?, maana Viwanja hivyo ndo home, Ulayasi ndo Camp nililopigia nikiwa O level.
 
Back
Top Bottom