Mkoani si sawa na vijijini wajameni ...
1. Hakuna sehemu watu wamestaarabika kama mikoani maana ni mara chache kukuta vitu vya watu waliokosa kazi kama vigodoro mara sijui kuchambana..simply ustaarabu
2.hakuna sehemu zenye natural view poa na hali ya hewa nzuri kama mikoani.hivyo ukihitaji sehemu ya kupunguza stress then mkoani ni sehemu poa .
3. Chakula na bidhaa nyinginezo ukizitoa za viwandani ..hupatikana kwa bei nafuuu na maisha huku hayasubiri foleni ..hivyo kwa kiasi fulani ni stress free zone...
4.Magonjwa ya ajabu ajabu kama kipindupindu au upungufu wa nguvu fulani ni nadra kuyasikia pia kutokana na nature ya maisha...
5.huku ndo kuna wataalamu wa asili
ambao watu wajanja huja kuogeshwa uchi huku wakililia masuala fulani ..sasa sijui mjanja anaekalishwa na mshamba nimuiteje
6.. huku ndipo wanapotokea waendeshaji wa dar maana wenyeji wameshakimbia na waliokulia huko wengi hawana ustahimilivu na maisha ndo maana wengi wamekuwa wateja badala ya wauzaji...
7. Watu waliopo karibu na mipaka ya nchi ni kawaida kusomesha watoto na kufanya shopping nchi jirani kwa mfano wana kagera wengi wanaijua kampala na kona zake kuliko hata dar na hata bidhaa za madukani kama nguo kwa kanda hii hutokea Uganda...
8. Vituko vya huku ni vituko kweli na kama ni ushirikina bhasi sio ule soft kama ulojo na kama matukio ya shoka ni shoka kweli la kiume...
All in all dar ni sehemu ya biashara hivyo pesa ni rahisi kiasi lakini mikoani ni sehemu ya kuishi vyema..nasubiri treni la magu lije ili nione watu wangapi watalala mikoani na kufanya biashara dsm ...