Vituko mikoani

Hahaha waangiree,wanawake kazi yao kwenda shamba kung'oa amalibwah
 
Bukoba lango la HIV Tanzania... Kuna mto unaitwa katerero.... Gesti za kule magodoro yana nylon ngumu kwa sababu ya huo mchezo... Huku ni lazima kuongea kiingereza kama alama ya usomi
Nitajitahd sana nikatembelee Bukoba mwishoni mwa mwezi ujao!
 
JF Manda ya Ziwa mbona kimya sana? Kanda ya kati je? Nyanda za juu kusini? Hebu kujeni acheni noma zenyu hizio... Au huko sio mikoani?
Bro, umegusa pabaya!!! huku kanda ya kati hususani manyoni ni noma. hawana wivu. mtu na mkewe wanakwenda bar. Kutega chanel. ukimhusudu mke wake ukamtokea anakwambia mlipie yule pale, Wala Usijali wewe lipa. Bro. huyo dem unaenda kupiga nae shoo mpaka lukwili Wala hamna shida. hela unayompa asubuhi anawakilishiwa Mzee.
!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…