Vitu vya kushangaza baada ya kujiajiri

Vitu vya kushangaza baada ya kujiajiri

Na hii ndio raha ya kujiajiri
Mtu anakuamini na kukukopesha kwa sababu anaona kile unachofanya tena bila riba na uhakika wa hela yake kurudi upo
 
Mkuu siju biashara yako ina mtaji kiasi gani,,imeajiri watu wengine,nani anaisimamia,ni ya mazao au kutoa huduma au kuzalisha?au kusafirisha?

kiukweli ukijiajiri raha sana sana sema nasikia kuna changamoto kama ukiumwa hela za matibabu kwa watoto...mkuu hakuna bima yeyote inayokukubali chini ya 4.5million,NHIF tuu ndo 1.6million tena uwe kwenye kikundi sasa wewe changamoto ya matibabu unaitatua vipi kama mtu uliejiajiri?

Pili..kipato chako hakina msimu leo umepata kesho hujapata unawezaje kukabiliana na matukio yasiotarajiwa ktk biashara kama kodi kupanda,TRA,Soko la biashara yako hapo hapo hela ya kula...coz kila siku lazima watoto wale na wasome na biashara ikue...

Ni Raha sana mkuu kujiajiri...inahitaji ujasiri pia...
Labda nikutoe wac wac mkuu uku mtaani 4.5m ni kiasi cha kawaida sana,
 
Ni kweli ila huenda ajira yako ni ya mtu mmoja tu yaani wewe mwenyewe. Biashara binafsi ni ajira nzuri sana, ila pia ina challenges nyingi sana hasa pale unapokuwa umeajiri watu wengine; muda huo ukifika labda utapost kitu kingine tena hapa. Kuna wakati niliwahi kujikuta nagawanya mshahara wangu wa kazini kuwalipa baadhi ya wafanya kazi wa biashara yangu ndogo halafu mimi nikajilazimisha kuishi kwenye maji! Ups and downs hutokea sana katika biashara, inategemea sana na aina ya biashara yako.
Biashara kama mtoto mdogo inaitaji u karibu sana,inaitaji malezi mazuri kama mzazi wa biashara

Asikudanganye mtu biashara ili iweze kufanya vizuri lazima uisimamie mwenyewe nna maana uifanye mwenyewe

Biashara inaitaji uwe huru wakati wote ,na itegemea unafanya biashara gani

Biashara ikiiva vizur ikakomaa itawavutia watu wengi tena hauta endesha kwa mtaji wako,mtaji wako utageuka kua faida

Mfano 1kg ya karanga kwa uku nilipo ni 1000 tsh mjini(dar ...) Tsh 1800 ,Karanga ununui kwa fedha zako yako makampuni yanakuwekea hela zaidi ya saba kila kampuni inaitaji tani kumi na tano kila baada ya week mbili usafili kwao

Hapo hautakua haja ya kutoka fedha zako mfukoni kwa ajili ya kuendesha biashara

Tena biashara ambayo itakulazimu kutoa hela nyingine uongezee iyo sio biashara inakufilisi mkuu acha kabisa tena kuanzia kesho isimamishe
 
Umeanza kazi gani sasa maana hujasema ilikua ajira gani ambayo uliacha
 
Uko sahihi ila na huakika ilikuchukua kamuda kidogo mpaka kusimamisha biashara yako vizuri.watu wengi wengi wanaanguka kwenye kujiajiri kwa sababu huwa mategemeo yao ni makubwa sana kwenye biashara husika kuliko hualisia .ndo apo akianza kukutana na changamoto badala kuzikabili basi anakata tamaa
 
NHIF ni 1,502,000 hii ni green card kwa mtu private.. wala haitaki kikundi... ni hata wewe peke yako unapewa.. ukitaka ya bei rahisi ndio mjiweke kikundi haizidi laki moja mkiwa kikundi

Mkuu siju biashara yako ina mtaji kiasi gani,,imeajiri watu wengine,nani anaisimamia,ni ya mazao au kutoa huduma au kuzalisha?au kusafirisha?

kiukweli ukijiajiri raha sana sana sema nasikia kuna changamoto kama ukiumwa hela za matibabu kwa watoto...mkuu hakuna bima yeyote inayokukubali chini ya 4.5million,NHIF tuu ndo 1.6million tena uwe kwenye kikundi sasa wewe changamoto ya matibabu unaitatua vipi kama mtu uliejiajiri?

Pili..kipato chako hakina msimu leo umepata kesho hujapata unawezaje kukabiliana na matukio yasiotarajiwa ktk biashara kama kodi kupanda,TRA,Soko la biashara yako hapo hapo hela ya kula...coz kila siku lazima watoto wale na wasome na biashara ikue...

Ni Raha sana mkuu kujiajiri...inahitaji ujasiri pia...
 
uko vizuri mkuu.
sasa fanya na mpango wa kumiliki kiwanda kabisa kuendana na kasi ya taifa.
 
naomba utupatie na upande wa pili wa hii stori/fundisho
 
Mkuu siju biashara yako ina mtaji kiasi gani,,imeajiri watu wengine,nani anaisimamia,ni ya mazao au kutoa huduma au kuzalisha?au kusafirisha?

kiukweli ukijiajiri raha sana sana sema nasikia kuna changamoto kama ukiumwa hela za matibabu kwa watoto...mkuu hakuna bima yeyote inayokukubali chini ya 4.5million,NHIF tuu ndo 1.6million tena uwe kwenye kikundi sasa wewe changamoto ya matibabu unaitatua vipi kama mtu uliejiajiri?

Pili..kipato chako hakina msimu leo umepata kesho hujapata unawezaje kukabiliana na matukio yasiotarajiwa ktk biashara kama kodi kupanda,TRA,Soko la biashara yako hapo hapo hela ya kula...coz kila siku lazima watoto wale na wasome na biashara ikue...

Ni Raha sana mkuu kujiajiri...inahitaji ujasiri pia...
Mkuu usifikirie hivyo hata hizo Bima zenyewe mwisho mipaka ya kitanzania tu ila ukipangiwa matibabu nje lazima ujiralaumu..Kwa hiyo vitu vingine take as simple.Kikubwa kukubali risk ndio mafanikio yenyewe.Challenge is the price of success
 
Toka niache kazi na kuamua kujikita kutafuta pesa mtaani kuna mabadiliko mengi katika maisha yangu ambayo wakati Mwingine nikikaa nikitafakari najikuta tu nacheka sana,

Labda niwaonjeshe baadhi ya hayo mabadiliko

  1. Kila niamkapo asubuhi huwa sijui Siku iyo ni tarehe ngapi.u
  2. Huwasijui ni Siku ganic
  3. Account zangu za bank zote zipo kichwani tofaouti na kipindi nafanya kazi.a
  4. Wakati mwingine nasahau bank nna kiasi gani cha fedha.
  5. Nawahi sana kuamka tofauti na kipindi kile nilipokua mwajiriwa yani nilikua naaamka kwa tabu sana.
  6. Nna marafiki ambao hata nikiitaji milioni tano usiku uhu naweza kumpigia mmoja cm na akanipa tena sio lazima aende bank,tofauti na kipindi kile elfu kumi kwa wafanyakazi wenzangu kukupa ni shuhulii
  7. Nikofree kusafiri kokote nnakotaka kwa muda wowote na kwa Siku yoyote siulizwi wala akuna wa kumuomba ruhusa zaidi tu kumuomba mungu nifike salam
Mkuu now you are talking.
Na je jamaa wa TRA hawajakutembelea?
Hapo ndo machungu ya biashara!
 
Mkuu now you are talking.
Na je jamaa wa TRA hawajakutembelea?
Hapo ndo machungu ya biashara!
Mkuu tra hawakwepeki mkuu Siku Uzi uwezi kupewa leseni ya biashara bila kupitia tra
 
Toka niache kazi na kuamua kujikita kutafuta pesa mtaani kuna mabadiliko mengi katika maisha yangu ambayo wakati Mwingine nikikaa nikitafakari najikuta tu nacheka sana,

Labda niwaonjeshe baadhi ya hayo mabadiliko

  1. Kila niamkapo asubuhi huwa sijui Siku iyo ni tarehe ngapi.u
  2. Huwasijui ni Siku ganic
  3. Account zangu za bank zote zipo kichwani tofaouti na kipindi nafanya kazi.a
  4. Wakati mwingine nasahau bank nna kiasi gani cha fedha.
  5. Nawahi sana kuamka tofauti na kipindi kile nilipokua mwajiriwa yani nilikua naaamka kwa tabu sana.
  6. Nna marafiki ambao hata nikiitaji milioni tano usiku uhu naweza kumpigia mmoja cm na akanipa tena sio lazima aende bank,tofauti na kipindi kile elfu kumi kwa wafanyakazi wenzangu kukupa ni shuhulii
  7. Nikofree kusafiri kokote nnakotaka kwa muda wowote na kwa Siku yoyote siulizwi wala akuna wa kumuomba ruhusa zaidi tu kumuomba mungu nifike salam
Poa tu, turingishie na mimi karibia baba afe nipate urithi niache kazi. Naona kesi za presha hazimuishi dingi.
 
Back
Top Bottom