Vitu vya kushangaza baada ya kujiajiri

Vitu vya kushangaza baada ya kujiajiri

Biashara kama mtoto mdogo inaitaji u karibu sana,inaitaji malezi mazuri kama mzazi wa biashara

Asikudanganye mtu biashara ili iweze kufanya vizuri lazima uisimamie mwenyewe nna maana uifanye mwenyewe

Biashara inaitaji uwe huru wakati wote ,na itegemea unafanya biashara gani

Biashara ikiiva vizur ikakomaa itawavutia watu wengi tena hauta endesha kwa mtaji wako,mtaji wako utageuka kua faida

Mfano 1kg ya karanga kwa uku nilipo ni 1000 tsh mjini(dar ...) Tsh 1800 ,Karanga ununui kwa fedha zako yako makampuni yanakuwekea hela zaidi ya saba kila kampuni inaitaji tani kumi na tano kila baada ya week mbili usafili kwao

Hapo hautakua haja ya kutoka fedha zako mfukoni kwa ajili ya kuendesha biashara

Tena biashara ambayo itakulazimu kutoa hela nyingine uongezee iyo sio biashara inakufilisi mkuu acha kabisa tena kuanzia kesho isimamishe
ni wapi huko mkuu, . . natamani kucheza karata yngu pia.
 
NHIF ni 1,502,000 hii ni green card kwa mtu private.. wala haitaki kikundi... ni hata wewe peke yako unapewa.. ukitaka ya bei rahisi ndio mjiweke kikundi haizidi laki moja mkiwa kikundi
Yes unaona sasa kama una familia Mke watoto 3/4 ni Tsh 6millions.
 
fanya research ndugu... hiyo ya 1.5m inacover watu sita wa familia yako.. mnapewa card 6.. wanachama 6.. ukigwanya hapo kila mmoja ni kama laki 2 na nusu kwa mwaka



Yes unaona sasa kama una familia Mke watoto 3/4 ni Tsh 6millions.
 
Back
Top Bottom