Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

best tatizo kuu ni kuwa jamaa hana kazi...awa wanandoa wana mtoto wa miaka mitano ila baba hakuwa mzembe ila leo kuna mtoto ana miezi9 , hana kazi ndo misala imeanza...ukichanganya kutokuwa na kazi, stress plus kutotenda majukumu ya kuilisha familia ndo basi kila lawama itamzukia baba...kuna siku akirudi msitarini hautakaa uyasikie aya!! ujue kuna wadada mjini wana nyuma nzuri na zenye insurance, wana pesa na magari yenye bei na isurance , yaani yapo mpaka waamue kudispose....ila tu wanshinda kwa sangoma kusaka wachumba, wengine wanalalwa ili dawa iwaingie ili wapate wachumba maskini wanatapeliwa...wengine mna ndoa mnashangaa eti ooh mume wangu---- ajabu!!
kama wewe ni me utakuwa wa ajabu sana, mke akulishe, akuvishe na kila kitu akufanyie, pengine hata peteol ya kupuyangia anakupa, unashindwa kumsaidia hata kumtuliza mtoto wenu huku mama akifanya shughuli nyingine za ndani, eti kisa kuna wengine wanatafuta kuolewa hawapati wa kuwaoa. Wanaume tuache tabia chafu kama hizi unazojaribu kuonesha hapa. Lakini kama wewe ni ke, bado hujitambui hata kidogo
 
Haleeeeeeeeluuuuiiiiiiyaaaaaaa

Tena wanaume wa hivyo wapo humu humu mmu....

Kiatu kinavuliwa barazani

Soksi inatolewa sebuleni

Shati linatupwa koridoni

Suruali chumbani

Singlend bafuni

Aroo!!!!! Mkuu naona tumeanza kusemana hapa sasa kama huna la kuchangia bora ukae kimya ? Sio lazima This is too far. nitakupiga mkuki ?
 
Hivi Ladies kuolewa maana yake ni nini?

Mimi kuna vijambo vinanichosha mpaka imekuwa kero na kuona kama ndoa ni ngumu. Ni takribani mwaka mmoja na nusu sasa mme wangu kazi iliisha yupo nyumbani huku akiangaika kutafuta kazi sehemu zingine .

Hiyo sio big deal mie nafanya kazi thanks God kamshahara kangu kanasaidia kucover matatizo yote ya nyumbani ingawa sio kama tukiwa wawili. Kinachonichosha sana ni ratiba ya mme wangu.

Mimi nina watoto wawili wa kiume mmoja 5 years na mwingine 9 month. Mme hata mtoto akiwa analia eti yeye hawezi kumbembeleza anamwangalia tu ukimuuliza anasema yeye amfanyeje wakati hana maziwa ya kumnyonyosha, mimi hapa usiku silali mtoto anasumbua asubuhi kuamkia kazini, jioni kufika kumwangalia mtoto na kuandaa maakuli ya familia.

Nina binti anaenisaidia nikiwa kazini. Lakini mme anaamka saa nne kitanda hagusi kutandika mpaka nitoke kazini nakikuta hivyo hata net haijatolewa kutandika ndio basi tena pia hata akivua nguo za ndani atarundika hapo nije kufua mie.

Anapiga mswaki na kukaa kwenye kochi kusubiri atengenezewe chai na apelekewe, atabadilisha chanel mpaka lunch atakula atabadilisha Chanel zake baadae anawasha gari kwenda kutembea. Saa mbili au saa tatu atarudi atakula atakamata tena remote mpaka saa sita ataingia kulala na ukali sasa kitu kidogo tu manung'uniko.

Hivi jamani wanaume mkioa kazi yenu huwa inakuwa kutoa matumizi ,kula na kulala tu?

Hakuna mnachoweza kusaidia?

Ladies hivi wote mko kwenye hali hii??
Ktu ambacho hujatuambia ni kuwa kai anaanya kazi alikuwaje. Inawezekana malezi yamechangia lkini inawezekna pia mumeo amethirika kisaikolojia. Mfumo wetu wa elimu utuelekeza kufanya kazi a kuajiriawa. Inaweza uwa anidsha, labda kazi iliisha ghafla bila kutarajia, inawezeana alitegemea kupata kazi mapema muda unavypia anazidi kuwa frustrated. Usimshangae msupport, msaidie kuafuta kazi kwa kua matangazo ya kazi zinzoendeana na sifa zake. ikishindiana msaidie aanzishe biashara.
 
Mimi naona kama mkuu unaenda mbali sana, hebu rudi tu nyuma kidogo, kutoa neti kitandani ukaitupia juu inajalisha kama una kazi au huna? Mbona mimi naona kama nikitu kidogo sana ambacho wala hakiwezi kuudhalilisha 'uanaume'?
Dina ukisema habari kamili hiyo ya net ni siyo sababu yenyewe hasa inayomsumbua dada huyu bali sababu yenyewe ni kuwa Mama akiwa kazini jamaa kakaa tu home na akirudi toka kutafuta rizki inayofanya ndiyo wale jamaa bado hajafanya kazi yyt ile home ikiwemo kumtunza mtoto!

Swali Je wakati jamaa ana kazi alikuwa anatandika kitanda?Kama hajawahi fanya kazi hizo kwa nn leo aonekane kituko?
 
Last edited by a moderator:
Hivi Ladies kuolewa maana yake ni nini?

Mimi kuna vijambo vinanichosha mpaka imekuwa kero na kuona kama ndoa ni ngumu. Ni takribani mwaka mmoja na nusu sasa mme wangu kazi iliisha yupo nyumbani huku akiangaika kutafuta kazi sehemu zingine .

Hiyo sio big deal mie nafanya kazi thanks God kamshahara kangu kanasaidia kucover matatizo yote ya nyumbani ingawa sio kama tukiwa wawili. Kinachonichosha sana ni ratiba ya mme wangu.

Mimi nina watoto wawili wa kiume mmoja 5 years na mwingine 9 month. Mme hata mtoto akiwa analia eti yeye hawezi kumbembeleza anamwangalia tu ukimuuliza anasema yeye amfanyeje wakati hana maziwa ya kumnyonyosha, mimi hapa usiku silali mtoto anasumbua asubuhi kuamkia kazini, jioni kufika kumwangalia mtoto na kuandaa maakuli ya familia.

Nina binti anaenisaidia nikiwa kazini. Lakini mme anaamka saa nne kitanda hagusi kutandika mpaka nitoke kazini nakikuta hivyo hata net haijatolewa kutandika ndio basi tena pia hata akivua nguo za ndani atarundika hapo nije kufua mie.

Anapiga mswaki na kukaa kwenye kochi kusubiri atengenezewe chai na apelekewe, atabadilisha chanel mpaka lunch atakula atabadilisha Chanel zake baadae anawasha gari kwenda kutembea. Saa mbili au saa tatu atarudi atakula atakamata tena remote mpaka saa sita ataingia kulala na ukali sasa kitu kidogo tu manung'uniko.

Hivi jamani wanaume mkioa kazi yenu huwa inakuwa kutoa matumizi ,kula na kulala tu?

Hakuna mnachoweza kusaidia?

Ladies hivi wote mko kwenye hali hii??

Subiri aanze kuamka saa moja asubuhi na kuondoka kisha kurudi saa saba usiku . Natumai tatizo lako litakuwa limekwisha. Ila utuletee mrejesho tafadhali.
 
mmmmmmm mwisho wake ni hatareee.... hana bud kufanya kazi hata kufuga kuku ili akili yake iwe bize
 
Nimegundua jambo moja.

Mwanamke anapokuwa hana kazi, ni mara chache sana kusikia mwanaume analalamika.

Lakini mwanaume anapopigika ni lamza utasikia mwanamke analalamika.

Ndiyo ilivyo kaka,mm ni mhanga wa hii kitu nilikuwa naitwa kama mvivu na nisiyejielewa hasa anaanzisha mazungumzo haya ya dharau mkiwa mna wageni au mnakula!
Ni shida
 
Dah!!!! Pole sana aisee wanaume wa tabia hii wanatufanya wanaume wote tuonekane hamnazo. Nani Aliyekwambia kwamba huwezi kubembeleza mtoto mpaka uwe na maziwa? Mkomalie abadilike ili akupe msaada nyumbani kama habadiliki basi itisha kikao cha wazazi au wakubwa wa pande zote mbili wakusaidie kumuelewesha umuhimu wa yeye kukupa msaada hapo maskani kwenu.
 
Pole sana - huyo mume hajui wajibu wake hao ndio wanaitwa mooch - yaani ni mzigo tu, licha ya kusaidia kimaisha hata mwenyewe aangaliwe
 
Jaribu kukaa nae na kuanza kumueleza na kumfariji.
 
Na katika worse scenario unakuta mama anasaidiana na house helper au ndugu kumnanga mumewe kisa hana kazi...

utasikiaa...usimwandalie hata chai huyu...wewe nilelee mwanangu tu achana naye huyu...

Maana nashangaa huyo HG kama si mwenye umri mdogo hawezi tunza mtoto na kuandaa chai wewe ukiwa kazini mpaka baba naye aingie jikoni?

Suppose baba angekuwa nae anaenda kazini?
Hapo kwenye red ni dalili za mwanamke kumchoka mume wake kisa hana kipato. Lazima ujichunguze wewe kwanza. Hizo nguo zamani ulikuwa hufui? chakula ulikuwa hupiki? mtoto ulikuwa hubembelezi? Nahisi pia umeanza kuchepuka ndo maana unamdharau mumeo kisa kipato.
 
Last week nilikuwa naosha Vyombo ,akaniita mama F naomba unitengenezee coffee akiwa ameshika remote anaangalia TV

Nikamwambia naosha vyombo my dear ila kila kitu kipo mezani please nisaidie kutengeneza wala hakunyanyua mguu anasubiri nikatengeneze ,na hapo mtoto nimeweka mgongoni wangu alikuwa mgonjwa

Nikatengeneza kikombe chake nikampa akasema asante basi

Alipokuwa na kazi na mifedha inaingia ulikuwa unalalamika namna hii?

No money No funny. Simpo.
 
nature nature nature anaplay part yake hapo hana kazi yuko hivo try to imagine akipata kazi itakuaje??????? na hayo makucha yote ukute mwanzo aliyaficha... pole sana dadangu itabidi uvumilie tu....
 
nature nature nature anaplay part yake hapo hana kazi yuko hivo try to imagine akipata kazi itakuaje??????? na hayo makucha yote ukute mwanzo aliyaficha... pole sana dadangu itabidi uvumilie tu....

Yaani hapo unamvuruga huyu dada na kumuharibia ndoa yake. Unaposema 'akipata kazi' kwani hakuwahi kuwa na kazi? Makucha gani hayo yaliyofichwa kwa zaidi ya miaka mitano?

Haya ni baadhi ya matatizo na madhara ya kuleta post mahali pasipostahili. Ushauri mwingine hewa kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom