Vitu bado fresh!!!!!

Sisi wamasai hatukuli hii makitu.

Kama hamli hii kitu poleni sana maana eti wanasema ukila ubongo wa hii kiti unakuwa na akili nyingi sana na aziwi "mbofumbofu"
 
Hata kivazi chake kinaonyesha mimba aliyonayo haikutarajiwa ni bahati mbaya tu.
 
Ndiyo maana Tanzania kuna watu wana akili za ulanzi kama Yericko Nyerere, anaeng'ang'ania kwa nguvu kuwa yeye ni mtoto wa Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana Tanzania kuna watu wana akili za ulanzi kama Yericko Nyerere, anaeng'ang'ania kwa nguvu kuwa yeye ni mtoto wa Nyerere.

Mzimu wa Yericko Nyerere unakutesa sana mama,

Bahati mbaya nishaoa na dini yangu yangu ya Rastafari inapinga kuoa wake zaidi ya mmoja,

Lakini nitajitahidi nikuweke nyumba ndogo usiye na mkataba wala makubaliano
 
Last edited by a moderator:
Noma Sana ndio maana watoto wa siku hizi akili zao kama za Zimbabwe+Unguja=Tanzania in 11964.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…