Vitu bado fresh!!!!!

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250

vitu bado fresh hivyo bi mdada badala atafute vitu kama hivi vimuongezee afya yeye pamoja na mtoto wake yeye anakimbilia masanga....!!!
 
Nakumbuka niikula hiyo maviu palee..., Choo na Bafu Cafe, Igunga
 
still reading, looking at and thinking nkimaliza nta-comment
 
Huyo mama kijacho si mchezo, maana hapitwi na mambo bado yumo tu,kazi kwelikweli.
 
FaizaFoxy, Sio mtoto tu , na akina mama wote hajawatendea haki hapo

Kashindwa nini kunywe chumbani kwake?????????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…