KIUNO CHANGU
Senior Member
- Mar 30, 2013
- 165
- 154
Mmoja kila siku alikua wakigombana kidogo anatishia kuondoka.siku hiyo mumewe kamtafutia usafiri na gari ya kubeba vitu vyake!Aliangua kilio ka kafiwa,anaomba msamaha.mpaka leo wako wote na wana watoto3