and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,519
- 40,363
Wadau,
Kwa wanandoa tu, tupia kituko cha mwenzi wako hapa ili tucheke na kujifunza akili nyingi za wenza wetu;
Naanza...
1. Mke wangu alijidai kununa akatuma SMS kuwa anajinyonga kisa nimemgombeza, mimi sikujibu hiyo SMS, dakika 5 nyingi anatuma selfie huku analazimisha machozi, mi kimya, narudi home jioni namkuta anaangalia tamthilia ya kifilipino huku anachat insta. Nikaishia kucheka tu. Kinamama msilazimishe attention awamu hii ya NGOSHA asee. Huku Halmashauri tushavurugwa.
2. Mama Mkwe na Mke wangu walijinunisha wiki nzima, mimi narudi jioni na-deal na Housegirl tu (kuniandalia chakula n.k.) siku nikasubiri wapo sebuleni wote, nikaenda kumkumbatia housegirl na kumla denda mbele yao, siku hiyo hiyo dada alipandishwa basi to Iringa (Kihesa). Na adabu imerudi ndani ya NDOA.
NB: Kwa siri nikamrudisha Dada (Housegirl DAR, nikampangia Kinondoni, ndo napozea genye zangu kabla ya kurudi home jioni. Kwa kifupi, nimemteua ex-Housegirl kuwa Naibu Mke, mpaka itakapotangazwa vinginevyo.