Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,435
- 191,764
Ahahahaha mkeo fala sana hahahah!MM aliniwekea kondom wakati nasafiri, nilivorudi home akakuta sijaitumia. akamind eti nimemsaliti bila kinga. wanaaqke sijawahi kuwaelewa
Ahahahaha mkeo fala sana hahahah!MM aliniwekea kondom wakati nasafiri, nilivorudi home akakuta sijaitumia. akamind eti nimemsaliti bila kinga. wanaaqke sijawahi kuwaelewa
Me napenda anavofanya vituko vyake baadae tunaelewana na mapenz yanakua motooo!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu ana PHD ya wivu.MM aliniwekea kondom wakati nasafiri, nilivorudi home akakuta sijaitumia. akamind eti nimemsaliti bila kinga. wanaaqke sijawahi kuwaelewa
jana nilikuona boss pande flan hivHahahaha
Na siku zote kama hakuna vitimbi basi hata ndoa yenyewe inakosa chachandu flan hiviii!!!Mwanamke mwenye vitimbi raha sana..ujue anakupenda sana huyo!
poleMimi mke wangu alikuwa ananirudia usiku saa saba na nusu yuko bwiiii kalewa, kanishinda tabia nimemuacha akapambane na hali zake... Kwa sasa nipo msela.
Za wapi tena rafikijana nilikuona boss pande flan hiv
kuna pande za chit chat ulikuwa una zogo na watu flan nahisi[emoji125]Za wapi tena rafiki
Sema tu awe mwaminifu tu ndio raha zaidi, vitimbi vya umalaya lazma ntampasua tu af sio poa.Na siku zote kama hakuna vitimbi basi hata ndoa yenyewe inakosa chachandu flan hiviii!!!
Itakuwa ni pacha wangu Si mimi[emoji23] [emoji23]kuna pande za chit chat ulikuwa una zogo na watu flan nahisi[emoji125]
kabisa ni pacha wako alikuwaItakuwa ni pacha wangu Si mimi[emoji23] [emoji23]
AhahahaaaaaaMM aliniwekea kondom wakati nasafiri, nilivorudi home akakuta sijaitumia. akamind eti nimemsaliti bila kinga. wanaaqke sijawahi kuwaelewa
Sema tu awe mwaminifu tu ndio raha zaidi, vitimbi vya umalaya lazma ntampasua tu af sio poa.
Raha upate mwanamke romantic ambaye anasusa susa,,,ukimbembeleza kisha unamchapa nao. Penzi halichujiki kirahisi hapo!
Pole sana. Ktk maisha yako usije ukaoa mwanamke mlevi. Siku akikosa hela au kumnyima lazima agawe papuchi.Mimi mke wangu alikuwa ananirudia usiku saa saba na nusu yuko bwiiii kalewa, kanishinda tabia nimemuacha akapambane na hali zake... Kwa sasa nipo msela.
Ugomvi sometimes unaleta chachu ya mapenziHahahahaaaaa......tatzo watu wanadhan ndoa bora ni ile ambayo haina hta ugomvi....kitu ambacho hakiwezekan!!
Hii Kali!!MM aliniwekea kondom wakati nasafiri, nilivorudi home akakuta sijaitumia. akamind eti nimemsaliti bila kinga. wanaaqke sijawahi kuwaelewa