Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Wewe na mkeo mmeshafikisha miaka 18?Wadau,
Kwa wanandoa tu, tupia kituko cha mwenzi wako hapa ili tucheke na kujifunza akili nyingi za wenza wetu;
Naanza...
1. Mke wangu alijidai kununa akatuma SMS kuwa anajinyonga kisa nimemgombeza, mimi sikujibu hiyo SMS, dakika 5 nyingi anatuma selfie huku analazimisha machozi, mi kimya, narudi home jioni namkuta anaangalia tamthilia ya kifilipino huku anachat insta. Nikaishia kucheka tu. Kinamama msilazimishe attention awamu hii asee.
2....