Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
hahaha nimeacha chapombe wangu
Nakufichia siri zako nyingi afu unanichokoza??
hahaha nimeacha chapombe wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli umerudi kivingine usipotee sana basihicho kijeba ulichopata kiambie kitaniuwa na presha zilizozidi kipimo!
huko kukaza kwa vyuma mnapasingizia tu! leo nimegundua kumbe kukaza kwa vyuma ni escaping chance.
hii kaliHuu ujinga wa wanawake ulishaua ndugu zangu!
Siku hiyo kagombana na mume wake kwenye simu akatishia amekunywa sumu huku akilia kwenye simu na kutaabika na mayowe!jamaa alikuwa mbali kidogo ikabidi wabebane na jamaa kwenye gari kumuwahi kabla hajafa.spidi kali ya gari na kuchanganyikiwa jamaa akajikuta anaingiza gari nyuma ya semitrela na ilikuwa usiku!watu wa3 wakafa pamoja na mume wake aliekti kameza sumu
Both
Me aliniambia anakunywa sumu ya panya nikamwambia sumu ya panya siku hizi haiui binadamu ngoja nikakuletee sumu nzuri
Nikaenda pharmacy kununua madawa ili nije nimchanganyie nikamkuta yupo uchi mlangoni akanibeba hadi chumbani kilichotokea tuna mtoto tunalea sasa
sawa kipenzi ulienipiga pigo la mtama wa grade one endapo bado nimeshikilia mguu wako nikitumaini tumaini lako.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli umerudi kivingine usipotee sana basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kabisa ni pacha wako alikuwa
Alimletea Kirikuu kabisa! Huyo jamaa kapinda aiseeMmoja kila siku alikua wakigombana kidogo anatishia kuondoka.siku hiyo mumewe kamtafutia usafiri na gari ya kubeba vitu vyake!Aliangua kilio ka kafiwa,anaomba msamaha.mpaka leo wako wote na wana watoto3
jamani upo mzima lknsawa kipenzi ulienipiga pigo la mtama wa grade one endapo bado nimeshikilia mguu wako nikitumaini tumaini lako.
nao wakija watasema wanaume ndio wanamatatizo, yani hii ishu hakuna upande ulio sawa au unaokosea.ndoa zina vituko sana na hasa hawa viumbe wanaoitwa ke, ni shida ndani,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au uliitumia ukanunua nyingine ukawekaMM aliniwekea kondom wakati nasafiri, nilivorudi home akakuta sijaitumia. akamind eti nimemsaliti bila kinga. wanaaqke sijawahi kuwaelewa
Ungemwambia hiyo sio brand unayotumia ulinunua ukamaliza zote [emoji23][emoji23] labda asingemind.MM aliniwekea kondom wakati nasafiri, nilivorudi home akakuta sijaitumia. akamind eti nimemsaliti bila kinga. wanaaqke sijawahi kuwaelewa
Mkuu huitakii mema ndoa yanguUngemwambia hiyo sio brand unayotumia ulinunua ukamaliza zote [emoji23][emoji23] labda asingemind.
Wamefikisha ila inarudi reverseWewe na mkeo mmeshafikisha miaka 18?
Astaghafirulilah...Wamefikisha ila inarudi reverse
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpangaji mwenzangu kula kichapo huku akipiga kelele nauaaa tukawakaushia maana nikawaida yao kwenda kupika teke Mlango mshikaji ndio kakandamizwa chini kichwa chini ya meza Demu kamkalia juu Na nikibonge haswaa. kwakua naheshimika nikamtoa Demu kwa kalipio moja akamwacha Jamaa mwili mdogo unaenda kuoa pulling. Jamaa akawa anaona aibu kama week akanipa mkasa.