Vitimbi vya wanandoa majumbani mwetu

Vitimbi vya wanandoa majumbani mwetu

Me aliniambia anakunywa sumu ya panya nikamwambia sumu ya panya siku hizi haiui binadamu ngoja nikakuletee sumu nzuri
Nikaenda pharmacy kununua madawa ili nije nimchanganyie nikamkuta yupo uchi mlangoni akanibeba hadi chumbani kilichotokea tuna mtoto tunalea sasa
Huyo mtoto mmempa jina gani ? Pharmacy au sumu ya panya au kujinyonga ? Ili kuleta kumbukumbu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me aliniambia anakunywa sumu ya panya nikamwambia sumu ya panya siku hizi haiui binadamu ngoja nikakuletee sumu nzuri
Nikaenda pharmacy kununua madawa ili nije nimchanganyie nikamkuta yupo uchi mlangoni akanibeba hadi chumbani kilichotokea tuna mtoto tunalea sasa
Kati ya malofa wa JF upo
Una visa na mikasa lukuki
Wachomoa kimojamoja
Kinaacha taharuki kitaani
Yaani ni kama mchafukoge
Vurugu na fujo ndio msingi
Msingi wa furaha duniani
Nakupenda Miss Natafuta

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwah kuwa na mke,tulikuwa tukigombana,labda kankosea kitu Fulani,namsema sana nikiwa na hasira,anajishusha anaomba msamaha,namwambia nimemsamehe.lakini ndani kwa ndan nakuwa na hasira nae bado.nahis hili alkuwa analijua.

Sasa alkuwa ananpa mtihan ambao Ulikuwa unanchosha sana,ananiambia kama nimemsamehe basi nimgegede ndo ataamin kama nimemsamehe,kwa kwel nilikuwa napata shda sana inabid ujirudshe kwa nguvu kwenye hali ya kuwa kama hakjatokea kitu
 
Mbona hiyo adhabu ya kumpa kumgegeda baada ya kuomba msamaha ni nzuri mkuu au kugombana ilikuwa ni kila lisaa limoja kiasi kwamba mgegedo nao ulikuwa unaendana na muda wa kosa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom