Viti Maalumu Vijana Watoto wa matajiri waongoza

Haya yote yana fanyika chini ya ccm, ccm hoyeeeeee
Mh. Rais aangalie namna ya kupunguza maslahi ya Ubunge maana huko kumegeuka mahali ambako kiafya ya Ubora wa Uwakilishi sio salama.
 
Safi sana huko ndiyo kutapunguza huu upuuzi wa kila mtu kukimbilia bungeni
Kabisa ili kunusuru Taifa, Wabunge walipwe chini ya 1m kwa mwezi. Wapewe madereva wa Serikali na pawe na hostel za bunge dodoma
 
Nadhani angeongeza idadi ya viti maalum na nafasi za uteuzi, ndizo ajira zenyewe hizo.
Mkimshauri akapunguza watakwenda wapi?!
 
Huo ndio utamaduni wa miaka yote kwa ndugu zetu wa CCM, wewe kama huna hela wala connection sahau huu unaitwa ubunge ndugu..

Ndio maana mnatakiwa kwa nguvu moja tuipe pressure CCM isijione iko kwenye comfort zone kila siku matokeo yake ni kulewa kama hivi na kuifanya CCM ndio Tanzania na Tanzania ni mali ya CCM na wanaCCM...
 
Back
Top Bottom