Vitendo ndani ya School buses! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitendo ndani ya School buses!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MONTESQUIEU, Feb 4, 2011.

 1. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna malalamiko mengi kuwa watoto wanatendewa vitendo visivyo vizuri ndani ya school buses .

  Nasikia kuna kesi tele zinalipotiwa na huwa zinamalizwa juu kwa juu, juu ya ukatili wanaofanyiwa watoto wadogo ndani ya hizi school buses.

  Je hii ni kweli wanajamii?

  Nilichofikiri haraka ni kwamba hizi school buses

  Zinaendeshwa na madereva vijana wa mitaani
  Kondactors wao ni wavulana ambao wengi ni mateja wa mitaani


  KAMA HIZI TETESI NI KWELI

  Ni bora kila shool bus condactor wake akawa mwanamke ili kunusuru maisha ya hawa watoto!

  Wazazi mhakikishe mazijua bus na mnawajua watu wanao beba watoto wenu alfajiri saa 11 na kuwarudisha jioni saa 12 hata saa moja
   
 2. P

  Pokola JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hujaeleweka meku
   
 3. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hujaelewa nini mkuu, kuwa kunavitendo viovu vinavyofanywa juu ya hawa malaika wakiwa ndani ya hizi bus na hawa makonda?
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  kama mtoto wa mwisho kumshusha ni binti au mvulana madereva na konda huwa najisi kwa kuwadanganja watoto na vi chips
   
 5. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na hawa watoto bado ni wadogo hawajui chochote, na wazazi wao ndio hao kutwa kukimbizana na vishilingi habari ya watoto wanajua kulipa school fee na bus fare!
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Hata watoto wenyewe kwa wenyewe wananajisiana pia....mtoto wa form 6 na wa darasa la 1 wanapand basi moja
   
 7. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndipo kunapohitajika uangalizi wa mamatron ndani ya hizi school bus.
   
 8. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa jirani yangu, ni wa kiume kanajisiwa na "anko" bus conductor wa school bus...
  Very sad
   
 9. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Story ya kutunga hii!
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mchakato mzima wa kusaka hela bongo unabidi upitiwe vizuri. Wazee tumeacha kulea tunadhani pesa itatulelea watoto wetu.

  Katika nchi isiyo na sheria wala mifumo ya kueleweka, kumkabidhisha mtoto wako kwa dereva wa basi ni sawa na kujinunulia janga.
   
 11. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani ona sasa, na wanaogopa kureport eti kwa maslahi ya mtoto. Jamani wazazi tuamke tukatae ma uncle kwenye usafiri unao husu watoto hawa malaika
   
 12. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwanini unasema hivyo ? Ungana na jamii kupambana na vitendo vya ukatili juu ya watoto!
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Hata DOWANS mlisema tumetunga
   
 14. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa ndio wa TZ wanaangalia sana maslahi yao binafsi.
   
 15. m

  mbombongafu Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wengine bwana mtu atunge story kwa maslahi ya nani humu ndani jamvini jaribu kuwa serious watu wanaongea vitu vinvyotokea mitaani
   
 16. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  thread hii imenigusa sana,ni kweli haya yanayozungumzwa huenda yanafanyika na ni vema kuchukua hatua kukabiliana na vitendo hivi vya kishenzi la sivyo watoto wetu wa kiume kwa wa kike watakuwa katika hatari ya kuharibiwa future yao au hata kuambukizwa magonjwa!
   
 17. T

  Truenorth Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  .... kweli huwezi kuamini, mtoto wangu wa kike 6 years aliombwa apeleke sh 5,000 na "uncle" wa school bus. na huu ndio ulikiwa mwisho wa school buses kwangu ....
   
 18. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh wanawafundisha hata wizi watoto wetu, kwa kweli hawa ma uncle wa school buses hawana maadili yakuweza kuwa wanatubebea waaminifu kutusafirishia hawa malaika
   
 19. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wachangiaji mmechukua hatua gani kuondoa ili tatizo?
   
 20. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hili ni tatizo lingine la kukurupuka. Wazazi wameona school bus ndio mwisho wa matatizo. Hajui mwanawe anachukuliwa na basi gani wala anaendeshwa na nani. Madereva bangi wanakimbiza magari ya watoto hovyo na kupita njia zingine za ajabu ajabu
   
Loading...