Vitendo ndani ya School buses!

Matron anasaidia. Ila kuna siku niliwahi kumuona 'matron' au dada wa shule akishuka kabla mtoto wa mwisho hajashushwa..

Hili pia ni tatizo, but ni kujipanga na kuhakikisha kuwa hawa mamatron wasaini kwa yule mzazi wa mtoto wa mwisho na wakwanza kuchukuliwa
 
TZ ni vugumu kufatilia recodi za hao makondkta kama wameshashtakiwa polisi b4. Ila hata wanawake wana tabia hizo pia kuchezea watoto hivyo hii ni muhimu mashule yawe wakali wanapowaajili hao wafanyakazi na walimu kuwauliza wanafunzi kama wapo salama safarini na pia wazazi wengi wanarudi wamechoka toka job na ni kujitahidi kuwahi home na kuongea na watoto wao pia kuzingatia ukali unafanya watoto wawe waoga
 
Mh kwa wanawake yawezekana pia, but ni nadra sana.
Ok ni vyema watoto wasichezewe hovyo na mtu yoyote .
Bado nasisitiza Wazazi ni kuamka na kufuatilia usalama wa watoto wao
 
Back
Top Bottom