Kaharufu ka ubaguzi na udini hakatawaacha salamaHabari hii ni mbaya kwa KKKT,wauza ngada na chodomo ikiongozwa na Mbowe
aende mkoa gani kwa mfano,kigoma au ?Sasa ni wakati mzuri wankumuhamisha makondankwenda mikoa mingine akapeleke uzoefu wake kusaidia mikoa iliyo nyuma
Wangetafuta asilimia tu... Idadi ya wenye vitambulisho gawa kwa idadi ya wanaotakiwa kuwa navyoNawashangaa wanaopongeza Dar kuuza vitambulisho vingi. Dar kuna wakazi wengi walio mjini na ambao ni wajasiriamali. Ukienda Katavi mji ni mdogo sana na population ni ndogo sana. Ingebidi wachukue idadi ya wakazi wa jiji la Dar walinganishe na wakazi wa mji wa mpanda ambao ni makao makuu ya mkoa wa Katavi. Hapo Takwimu zingekuwa halisi.
Chadema akili zao ziko likizo muda woteIssue sio machinga na wafanyabishara kuwa wengi, hapa ni elimu na ubunifu. Ukiongea hivyo ninakuwa na mashaka na shule yako. Unataka kutuaminisha kuwa Tabora imekuwa ya pili kwa kuwa Tabora ina wamachinga wengi kuliko Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma ambazo zinavutana chini? RC Makonda ni super creativity, let we appreciate this
Aende kataviaende mkoa gani kwa mfano,kigoma au ?
Kumtegemea Mwenyezi Mungu katika kila jambo kuna faida kubwa sana natamani ulimwengu wote wamtegee Mungu waache chuki na wivu.Hali inazidi kuwa mbaya kwa wasiomtakia mema RC Makonda baada ya kazi zake kuzidi kumnyokea na safari hii ameongoza katika makusanyo ya hela ya vitambulisho vya wamachinga.
Wenye roho ya korosho na Makonda mjinyonge tu sasa maana bado yupo yupo sana kwenye nafasi yake.View attachment 1098052
mtapata tabu sana kama uRC wa Dar ndio unawaumaAende katavi
Ni utendaji kazi mzuri tu mkuu tunataka akawatumikie watanzania wa kule na aunyanyue ule mkoa uje kwenye ramani na uwe mkoa mashuhuri kwa nchi za africamtapata tabu sana kama uRC wa Dar ndio unawauma
Dar wamepewa vitambulisho 175,000 na Katavi kapewa 60000. Kwa hesabu hapo DAr kapewa mara 3 Zaidi ya Katavi. Sasa wewe kwa uelewa wako wajasiriamali wa Dar kweli ni mara tatu ya wale wa Katavi? Naona wa wa Dar wanazidi hata mara mia na Zaidi wale wa Katavi.Kwani vitambulisho vimegawia sawa mikoa yote?
Hivi unyumbu utawatoka lini kichwani?
Unauzungumziaje mkoa wa Simiyu ulianzishwa juzi tu?Dar wamepewa vitambulisho 175,000 na Katavi kapewa 60000. Kwa hesabu hapo DAr kapewa mara 3 Zaidi ya Katavi. Sasa wewe kwa uelewa wako wajasiriamali wa Dar kweli ni mara tatu ya wale wa Katavi? Naona wa wa Dar wanazidi hata mara mia na Zaidi wale wa Katavi.
Angalia jiji la Tanga nalo wamepewa 60000 kama Katavi, hapo kuna uwiano kweli? Mimi napajua Katavi watu wa kule ni wakulima wengi na hali ya hewa ni nzuri sana inakubali mazao mengi. Karibu kila mtu ana bustani yake ya mboga na pia mashambani watu wana mbogamboga za kutosha hivyo hata wauza mboga ni wachache, migahawa ya kubahatisha. Hili zoezi la lawama tuu. Sasa wampeleke Makonda Katavi tuone kama atauza vitambulisho 166,000 kama alivyouza Dar.
Hasidi hakosi sababu,wewe ni hasidiDar ina idadi ya watu million 5 yawezekana wamachinga ni zaidi ya laki 3 je vitambulisho alivyogawa vinafika laki 1?
Upo sahihi..Dar wamepewa vitambulisho 175,000 na Katavi kapewa 60000. Kwa hesabu hapo DAr kapewa mara 3 Zaidi ya Katavi. Sasa wewe kwa uelewa wako wajasiriamali wa Dar kweli ni mara tatu ya wale wa Katavi? Naona wa wa Dar wanazidi hata mara mia na Zaidi wale wa Katavi.
Angalia jiji la Tanga nalo wamepewa 60000 kama Katavi, hapo kuna uwiano kweli? Mimi napajua Katavi watu wa kule ni wakulima wengi na hali ya hewa ni nzuri sana inakubali mazao mengi. Karibu kila mtu ana bustani yake ya mboga na pia mashambani watu wana mbogamboga za kutosha hivyo hata wauza mboga ni wachache, migahawa ya kubahatisha. Hili zoezi la lawama tuu. Sasa wampeleke Makonda Katavi tuone kama atauza vitambulisho 166,000 kama alivyouza Dar.