Vitambulisho vya wamachinga vyaingiza Bilioni 20. Dar yaongoza, RC Makonda apongezwa

Hali inazidi kuwa mbaya kwa wasiomtakia mema RC Makonda baada ya kazi zake kuzidi kumnyokea na safari hii ameongoza katika makusanyo ya hela ya vitambulisho vya wamachinga.

Wenye roho ya korosho na Makonda mjinyonge tu sasa maana bado yupo yupo sana kwenye nafasi yake.View attachment 1098052

Dar es Salaam haipongezwi kwa Ugawaji wa Vitambulisho vya Wamachinga bali Dar es Salaam inapongezwa kwa Kumaliza Kero ' Sugu ' kama za Jiji / Mkoa kuwa Mchafu, Usafiri, Miundombinu mibovu, Milipuko ya Magonjwa, Kupigania Unyanyasaji wa Haki za Watu katika Nyanja mbalimbali, Elimu haba, Maisha mabaya wanayoishi Walimu na Mapolisi, Mafuriko yaliyozoeleka ya miaka nenda rudi, Mlipuko wa Bei, Uhalifu ambao bado unaendelea hasa humu Mitaani na mengineyo mengi tu. Vyeti vya Wamachinga ' Logically ' tu havina Tija na Mashiko kwa Jiji / Mkoa mzima wa Dar es Salaam kama hizo Changamoto Kuu tajwa hapo hajizatafutiwa ufumbuzi wake. Semeni tu kuwa mnataka Kumpamba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ili Bosi wake ( Mheshimiwa Rais ) azidi Kumuona bora na Sisi tuliowazidi Akili / Fikra ambazo bahati mbaya nyie hamna tutawaelewa.
 
Kule katavi naona takwimu zimeondoka na kichwa cha mkuu wa mkoa ha ha ha ha ha ha ila kazi za siasa tabu sana jamaa jana wakati anakula dinner alikua mkuu wa mkoa kufika mida ya saa mbili na nusu anakuta meseji kesho uhame hapo you are no longer RC
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa wasiomtakia mema RC Makonda baada ya kazi zake kuzidi kumnyokea na safari hii ameongoza katika makusanyo ya hela ya vitambulisho vya wamachinga.

Wenye roho ya korosho na Makonda mjinyonge tu sasa maana bado yupo yupo sana kwenye nafasi yake.View attachment 1098052
Katibu Mkuu wa Chama, Nd. Bashiru alisikika.." Haya ni matokeo ya kutowaandaa vijana kuwa viongozi bora"

Soma ulichoandikika ama kusifia alafu pita muda kufikiri...huenda utamuelewa Nd. Katibu..

Alafu jiulize Changamoto za Dar ni Vitambulisho vya Machinga!!?

Je ni sahihi changamoto hiyo, kulinganisha na Katavi au na mikoa mingine...?

au ni kujitutumua tu kama Kifutu au kama Chatu?
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa wasiomtakia mema RC Makonda baada ya kazi zake kuzidi kumnyokea na safari hii ameongoza katika makusanyo ya hela ya vitambulisho vya wamachinga.

Wenye roho ya korosho na Makonda mjinyonge tu sasa maana bado yupo yupo sana kwenye nafasi yake.View attachment 1098052
Katili! Dictator uchwara mdogo amefanikisha kwa kuwasukumiza watu. Unadhani kwa hiari yao wanataka?
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa wasiomtakia mema RC Makonda baada ya kazi zake kuzidi kumnyokea na safari hii ameongoza katika makusanyo ya hela ya vitambulisho vya wamachinga.

Wenye roho ya korosho na Makonda mjinyonge tu sasa maana bado yupo yupo sana kwenye nafasi yake.View attachment 1098052

Dar inaidadi ya watu wanaokisiwa kuwa zaidi ya Milioni 5, na Dar hakuna wakulima, ni mji wa wafanyakazi na wafanyabiashara, ukiangalia kuna wafanyabiashara wadogo zaidi ya 700k hivyo nilitegemea angalau vitambulisho 450k kutolewa kwa Dar peke yake.
 
Yani mwanaume unashangilia mradi unaofanyika bila ridhaa ya bunge kwamba hata matumizi ya hizo fedha yasipokugusa hauna pa kuhoji then wewe unakuja humu kukata viuno? Shwain!.
 
Back
Top Bottom