Vitambulisho vya wamachinga vyaingiza Bilioni 20. Dar yaongoza, RC Makonda apongezwa

Pongezi kwa rc wa tabora aggrey mwanri.dar imebebwa na population.wafanyabiashara wengi mno so kua ya kwanza sio kitu cha ajabu.again and again ongera rc mwanri
 
Kwamba hamjui kuwa idadi ya wafanyabiashara dar ni kubwa sana kulinganisha na mikoa mingine? wakati mwingine tumieni akili zenu japo kwa uchache basiii... aaargh!
 
Uongozi hupimwa kwa matokeo
Ila mjue mmepunguza sana kodi kwa upande wa Dar maana biashara zilizokuwa zinalipa kodi kubwa sasa hivi zinalipa buku 20 wanajilia bata. Mpaka wahindi wamefunga biashara wamewapa machinga buku 20 wawauzie bidhaa
Kudos serikali ya wanyonge. Pia uwezo wa halamashauri zake kujiendesha umepungua sana. Ila kwakua umejiloga utabisha Mr. jingalao
 
Dar ina idadi ya watu million 5 yawezekana wamachinga ni zaidi ya laki 3 je vitambulisho alivyogawa vinafika laki 1?
 
Tanzania baada kufeli kwenye viwanda sasa wamehamia kwenye machinga ambao wanauza bidhaa za Kichina.
Eti mashindano ya kugawa vitambulisho vya wamachinga!!!!!
 
Kwahiyo mlitegemea idadi ya wajasiliamali wa dar iwe sawa na ya katavi? Bashite hana cha kupongezwa katika hili
 
Yani arusha anapitwa na manyara na wako jirani tu pale huyu jamaa hayuko serious
 
Proportions bado zinaipa Dar nafasi ya kwanza
Nawashangaa wanaopongeza Dar kuuza vitambulisho vingi. Dar kuna wakazi wengi walio mjini na ambao ni wajasiriamali. Ukienda Katavi mji ni mdogo sana na population ni ndogo sana. Ingebidi wachukue idadi ya wakazi wa jiji la Dar walinganishe na wakazi wa mji wa mpanda ambao ni makao makuu ya mkoa wa Katavi. Hapo Takwimu zingekuwa halisi.
 
Yani arusha anapitwa na manyara na wako jirani tu pale huyu jamaa hayuko serious
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom