Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,019
- 21,913
Kuna wamachinga wangapi?
3370
Kuna wamachinga wangapi?
Mbona unapenda sana kutukana bila sababu za msingi mkuu?Nani amelinganisha idadi ya wafanya biashara??
Kenge wa njano kabisa
Kemia Na uchumi wapi Na wapiSasa Bilioni 20 kwa mwaka jiwe zitamsaidia nini.Hii ni roho ya kutu.Ushauri wangu kwake.
-Ondoa bureaucracy kwenye uanzishaji wa biashara mpya.
-Punguza kodi na matozo yasiyo na tija.
Zikianzishwa biashara nyingi,utapata zaidi.Hizi hela za wauza mchicha na vitumbua ni uonevu tu.
I can imagine. That is insignificant amount. Ila chururu, sio ndondondo. Ina mchango wake. Na wanaolipia wanatakiwa wawe wafuatiliaji sasa hela zao zinatumikaje. It will raise accountability for allNi zaidi ya bilioni 450.
Kazi moja wapo kuu ya Bunge ni kuidhinisha vyanzo vya Mapato na Matumizi
Mapato ya vitambulisho vya Wamachinga yalipitishwa kwenye wizara au mamlaka gani Bungeni?
Mwanzoni nilijua mahitajii ya Vitambulisho yatakuwa Makubwa kuliko supply lakin nashuhudia aggressive selling kubwa sana
Kuna mtu kasema population ya machina + wafanyabiashara iko dar..Haya tumuulize imekuaje no.2 iwe TABORA na sio Mwanza au Arusha???Kitakwimu, baada ya Dar es Salaam inatakiwa ifuatie Mwanza na Arusha; kuna shida somewhere
Uongozi hupimwa kwa matokeo
bora wivu kuliko unafikiHuu wivu utakufa nao
Ungesema amewaleta yeye hao wamachinga Dar ningekuelewa, sio ubingwa kuwagawia vitambulisho wala si hiari.Hali inazidi kuwa mbaya kwa wasiomtakia mema RC Makonda baada ya kazi zake kuzidi kumnyokea na safari hii ameongoza katika makusanyo ya hela ya vitambulisho vya wamachinga.
Wenye roho ya korosho na Makonda mjinyonge tu sasa maana bado yupo yupo sana kwenye nafasi yake.View attachment 1098052
Kuongezea tu, Dar ni Jiji la kwanza kwa ukubwa Afrika Mashariki - ukweli ndo huo hizo takwimu kwa kweli hazisaidii saana maana ndo kitovu cha biashara!!Dar inaidadi ya watu wanaokisiwa kuwa zaidi ya Milioni 5, na Dar hakuna wakulima, ni mji wa wafanyakazi na wafanyabiashara, ukiangalia kuna wafanyabiashara wadogo zaidi ya 700k hivyo nilitegemea angalau vitambulisho 450k kutolewa kwa Dar peke yake.
Lakini ni nzuri kwetu watoza kodi ya KICHWA CCM!Habari hii ni mbaya kwa KKKT,wauza ngada na chodomo ikiongozwa na Mbowe