Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

habari nyingine za kutisha sana kama hii
 
tanzania ingeingizwa katika orodha ya nchi yenye viongozi mabwe..... kuliko wote duniani,
 
images (1).jpg
Uganda kina saini
 
Wkati mwingine tunatakiwa tuseme;
Na huyo waziri wa vitambulisho naye hafai vile vile
anaingia mkataba feki kwa ajili ya ten pasent;

Ingekuwa china hapa tungekuwa tunaongea mengine kabisa.

.......... BAK utaifa mbele kwanza.........
Nimekicheck kitambulisho cha taifa nikachoka hoi kina mapungufu kibao wajanja wametafuna mabilioni ya bure lakini hakina kitu,bank wana haki kuvikataa.
Nazidi kupata undani wa kauli za JK kuwa atatengeneza mabillionea kwa kuanzia na mabillion yake mwenyewe. Nafikiri hata wengine hamkumuelewa kama mimi hapo awali.

 
ukitaka kula sharti ULIWE KIDOGO
Nazidi kupata undani wa kauli za JK kuwa atatengeneza mabillionea kwa kuanzia na mabillion yake mwenyewe. Nafikiri hata wengine hamkumuelewa kama mimi hapo awali.

 
huenda tuhoji nchi nyingine vikoje

Kuna Mbunge wa upinzani nadhani Machali alishawahi kutoa ushauri bungeni kwamba ziara za nje ya nchi kwa ajili ya kujifunza na uzoefu ni upotevu wa pesa maana hazina tija kwa sababu hizo kamati hazijawahi kuleta hata mrejesho wake siku hizi kuna internet ukitaka kitu chochote una google unatapata info zote! Nimekumbuka baada ya kuuliza ilo swali na usikute watu walilamba mabilioni ya fedha kwenda nchi nyingine kwenda kuangalia vitambulisho vya nchi mbali mbali vipo vipi wakati sie ndani ya dakika tu kwenye google tumepata kila kitu na tumeona National ID zao kwamba zina signature!! Tz shamba la bibi.
 
Binafsi kama mtu wa kawaida bila professional, nina kitambulisho cha mpiga kura (cha zamani). driving license, cheti cha kuzaliwa, TIN certificate ya TRA, Passport ya kusafiria vyote vikiwa vimetolewa na Serikali hii hii yetu sikivu ya lichama likongwe. Siongezi kiingine!
Sasa nilipofuatilia mchakato wa vitambulisho vya taifa na kuona ufisadi uliokuwa umezingira huu mradi huku nikiwa sina jinsi ya kuzuia hili zoezi lililojaa ujasiri wa kifisadi, nikaamua moja nalo ni kutoshiriki katika huu ufisadi kwa kutojihusisha na sehemu yoyote ya mchakato huu.
Kama kweli vimekataliwa na benki ni wazi nami nilikuwa sahihi kutoshiriki hili zoezi.


gOOD i did the same
 
Back
Top Bottom