kwa kweli kama taifa, tumekwama!!
Mimi nafikri rais wetu anataka mambo makubwa sana kuliko uwezo wake wa kuyashughulikia. Hapa namaanisha kuwa uwezo wake kiakili uko below average! Ni kipi ambacho huyu mkmnna ameweza kufanikisha? Ona mambo ya katiba yalivyomwendea kombo, vitambulisho vya taifa ndo hivyo vinakataliwa benki (sasa hapa wataanzisha mchakato upya?), ujenzi wa barabara wenyewe ni za kichina (ndani ya miaka miwili tu, tunaanza kuweka viraka), maisha bora kwa kila mtanzania ku.ma.ma.ke yameshindikana (sasa hivi amekuja na chorus nyingine - rais wa mwisho kuongoza tanzania maskini), na mengine mengiiiiiiiiiiiiiiii!
Haaaa! Tumechoka, hebu atuachie nchi yetu tusubiri rais mwenye akili kubwa labda ataweza kututoa hapa tulipo. Wakati anazindua utoaji wa vitambulisho vya taifa hakugundua mapungufu yoyote yeye kama mkuu wa nchi? Kila kitu anachopelekewa yeye ni kuidhinisha tu bila kuhoji (nafikri mnakumbuka habari ya vyoo vya bagamoyo)? Hii ni akili ya mtu mwenye akili ambayo iko below average, period!!! Samahani kwa ubaguzi huu, watu wa pwani itabidi mjitathimini sana uwezo wenu wa kuongoza uko chini sana. Awamu ijayo iwe zamu ya bara (kaskazini, kati, ziwa, nyanda za juu kusini au magharibi) na siyo pwani tena, tupate vionjo vipya katika uongozi. Hawa wa pwani wabaki wakicheza mdundiko, segere, kangamoko n.k, ndiyo size yao!!
Haya matumizi mabaya ya fedha za walalahoi yataisha lini?