Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

Kuna Mbunge wa upinzani nadhani Machali alishawahi kutoa ushauri bungeni kwamba ziara za nje ya nchi kwa ajili ya kujifunza na uzoefu ni upotevu wa pesa maana hazina tija kwa sababu hizo kamati hazijawahi kuleta hata mrejesho wake siku hizi kuna internet ukitaka kitu chochote una google unatapata info zote! Nimekumbuka baada ya kuuliza ilo swali na usikute watu walilamba mabilioni ya fedha kwenda nchi nyingine kwenda kuangalia vitambulisho vya nchi mbali mbali vipo vipi wakati sie ndani ya dakika tu kwenye google tumepata kila kitu na tumeona National ID zao kwamba zina signature!! Tz shamba la bibi.

Tushaliwa
 
Hii nchi imekaa kiujanja ujanja sana.

Sijui tutaponea wapi
 
Kwa jinsi ufisadi ulivyokithiri nchini na hasa Serikalini, tungekuwa China MACCM wengi wangekuwa marehemu miaka mingi iliyopita. Nitakuwa nakukumbusha hii kauli yako ya Utaifa mbele.

Wkati mwingine tunatakiwa tuseme;
Na huyo waziri wa vitambulisho naye hafai vile vile
anaingia mkataba feki kwa ajili ya ten pasent;

Ingekuwa china hapa tungekuwa tunaongea mengine kabisa.

.......... BAK utaifa mbele kwanza.........
 
Inaonekana mleta uzi, ameachwa na teknolojia, Vitambulisho vinavyotengenzwa na NIDA ni vya teknolojia ya hali ya juu duniani (smart card 2nd generation) ambavyo vina contactless chip yenye uwezo wa ubeba taarifa nyingi zikiwamo za kibenki (ATM & Credit Card), leseni ya udereva, e-passport, touch n go na nyingine nyingi. Taarifa nyingi zipo kwenye database na chip. Hivyo, kamwe huwezi kulinganisha ubora wa Vitambulisho vya Taifa na kadi ya mpigakura. NIDA ni wastaarabu ndio maana hawajaweka taarifa zote za mmiliki wa kitambulisho nje ya kadi wakizingatia kwamba taarifa za mtu ni siri. Wanajamvi, ninawaomba tuweke uzalendo wa taifa letu mbele. Tuwapongeze NIDA kwa kazi nzuri wanayofanya ikizingatiwa kwamba nchi nyingi zinakuja kujifunza Tanzania jinsi walivyofanikiwa kuwa na smart National ID.

Hii nchi inachezea hela zetu za kodi;
- Kitambulisho cha kupigia kura cha zamani eti hakitumiki tena;
- Kitambulisho cha taifa, sijui nacho ni feki;
- Kitambulisho kipya cha kupigia kura.

Hivi nyie wanasheria mliobobea mnawezaje kukaa kimya
na kuangalia upotevu mkubwa kama huu wa pesa
za walipa kodi.
 
Huu ni usanii mkubwa ....angalia vya Kenya hapo chini ......kuna alama za vidole na saini .....hii nchi tumelogwa ..

CC Moderator ... King Kong III Invisible ...

Watu washapiga hela washajenga ufukweni sasa wanakula upepo wa beach kwa jasho letu,katiba mpya waweke wazi mtu akigundulika pasipo shaka kafanya ubadhirifu kwenye mali/fedha za umma dawa ni electric chair tu.
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana mleta uzi, ameachwa na teknolojia, Vitambulisho vinavyotengenzwa na NIDA ni vya teknolojia ya hali ya juu duniani (smart card 2nd generation) ambavyo vina contactless chip yenye uwezo wa ubeba taarifa nyingi zikiwamo za kibenki (ATM & Credit Card), leseni ya udereva, e-passport, touch n go na nyingine nyingi. Taarifa nyingi zipo kwenye database na chip. Hivyo, kamwe huwezi kulinganisha ubora wa Vitambulisho vya Taifa na kadi ya mpigakura. NIDA ni wastaarabu ndio maana hawajaweka taarifa zote za mmiliki wa kitambulisho nje ya kadi wakizingatia kwamba taarifa za mtu ni siri. Wanajamvi, ninawaomba tuweke uzalendo wa taifa letu mbele. Tuwapongeze NIDA kwa kazi nzuri wanayofanya ikizingatiwa kwamba nchi nyingi zinakuja kujifunza Tanzania jinsi walivyofanikiwa kuwa na smart National ID.

Uliona hizo smart chip au una akili za weekend/usiku?
 
Lile zoezi lilikuwa la kisanii sana, rasilimali za wavuja jasho zinatumika vibaya sana nchi hii
 
Acha kutuletea mawenge hapa;
Wanachoficha ni nini?
Kwa hiyo nikienda nacho benki ni mpaka wawasiliane na NIDA
ili muwaletee laptop zenu?

Halafu nyie ni wezi na bado unaleta ushambenga wako hapa;
Mlichukuwa saini zetu na madole gumba yetu, mmeyaweka wapi?

Ipo siku na nyie 40 yenu itafika tu.

Inaonekana mleta uzi, ameachwa na teknolojia, Vitambulisho vinavyotengenzwa na NIDA ni vya teknolojia ya hali ya juu duniani (smart card 2nd generation) ambavyo vina contactless chip yenye uwezo wa ubeba taarifa nyingi zikiwamo za kibenki (ATM & Credit Card), leseni ya udereva, e-passport, touch n go na nyingine nyingi. Taarifa nyingi zipo kwenye database na chip. Hivyo, kamwe huwezi kulinganisha ubora wa Vitambulisho vya Taifa na kadi ya mpigakura. NIDA ni wastaarabu ndio maana hawajaweka taarifa zote za mmiliki wa kitambulisho nje ya kadi wakizingatia kwamba taarifa za mtu ni siri. Wanajamvi, ninawaomba tuweke uzalendo wa taifa letu mbele. Tuwapongeze NIDA kwa kazi nzuri wanayofanya ikizingatiwa kwamba nchi nyingi zinakuja kujifunza Tanzania jinsi walivyofanikiwa kuwa na smart National ID.
 
Fanya utafiti kwanza ndio uhoji, kama unakitambulisho angalia sehemu ya juu kulia utaona chip imo ndani.

Kwahiyo Chip na yenyewe imefichwa kama sahihi? Nenda kawaambie watu wa naminywili au mwalusembe huu utumb.o!
 
Be serious baada ya miaka 10 sura inakuwa imebadilika, watu wanakuwa na mvi, vipara, watu wanabadili dini na titles zinabadilika kwa nini kitambulisho kisihuishwe?

kwamba uraia wako unaexpire hahhhha
 
Acha kutuletea mawenge hapa;
Wanachoficha ni nini?
Kwa hiyo nikienda nacho benki ni mpaka wawasiliane na NIDA
ili muwaletee laptop zenu?

Halafu nyie ni wezi na bado unaleta ushambenga wako hapa;
Mlichukuwa saini zetu na madole gumba yetu, mmeyaweka wapi?

Ipo siku na nyie 40 yenu itafika tu.

Mamndenyi kweli leo uko huru mpaka nimeshangaa. Nimependa namna unavyojenga hoja kwa leo hasa ulipoonyesha uchungu kwenye kodi zetu na kukemea porojo na usanii uliofanyika kwenye vitambulisho. Huo ndio ukweli, NIDA wakubali wamechemka sana safari hii.
 
Last edited by a moderator:
Be serious baada ya miaka 10 sura inakuwa imebadilika, watu wanakuwa na mvi, vipara, watu wanabadili dini na titles zinabadilika kwa nini kitambulisho kisihuishwe?

thanks

Such a healthy piece of lesson from your post
 
Back
Top Bottom