Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

Hawawezi kukosekana mkuu,
Pia tusiseme ccm inafika wakati tuuvae utaifa kwanza;
Ikifika hapo vyama tunaviweka hukooo, tunaangalia maslahi ya taifa.

Unanena vyema sana, linapokuja suala la utaifa sote tuwe wamoja. Huu mchakato wa vitambulisho kama wadau watakuwa makini unatakiwa kubatilishwa uanze upya kwa gharama za waliofanya hujuma wakiwemo Mawaziri, na Manaibu waziri wa Fedha, Mambo ya Ndani, Uhamiaji pamoja na makatibu wao na wahusika wengine wote waliobariki mchakato bila kuzingatia mapungufu kama hayo na hasara kwa taifa kwa ujumla.
 
Ufeki wake ni kuwa havina saini ya mtumiaji. Huwezi kutambulika benki bila ya kitambulisho chenye saini yako.Na wale jamaa walioshinda tenda walifanya kusudi ili tuwarudie kuwapam ingine kwa ajili ya kutuuzia scanners maalum kwa ajili ya ukamilisho wa utambuzi wake.

DSC07923.JPG

kwa nini msimuulize huyo jamaa anayecheka cheka hayo matatizo ya vitambulisho!? si yeye ndiye mwenye kitambulisho namba 1?
 
Jamani .... hivi vitambulisho ni biometric .... pale unapoweka Alana za vidole ndipo details na utambulisho wako vinakuwa revealed ikiwamo saini yako, picha na mahali unapoishi ulipo jiandikisha, kwani address yako wewe hauhami? .... hakuna haja ya kujaza mavitu mengi kwenye ile kadi

I don't support any mis-use of taxpayers money ... but a fact remain fact ....

Sasa why bank.wavikatae
 
Hii nchi inachezea hela zetu za kodi;
- Kitambulisho cha kupigia kura cha zamani eti hakitumiki tena;
- Kitambulisho cha taifa, sijui nacho ni feki;
- Kitambulisho kipya cha kupigia kura.

Hivi nyie wanasheria mliobobea mnawezaje kukaa kimya
na kuangalia upotevu mkubwa kama huu wa pesa
za walipa kodi.
Vitambulisho vya benk navyo vimekataliwa na NIDA
 
[/SIZE]
DSC07923.JPG
[/QUOTE]

Nimeshukuru kuwa hapo juu mwanzoni kwenye namba kitambulisho kina tarehe ya kuzaliwa, mwezi, na siku . mfano JK kazaliwa 07-10-1950 i.e 19501007., ILA ingawa vina baadhi ya mapungufu kama saini ya muhusika katika kitambulisho husika , makazi, n.k.
 
Kwa macho tu ya haraka haraka driving licence zina hadhi kuliko hivi vitambulisho vilivyokula mamilioni ya walipa kodi.... Mimi changu nimekitia kabatini sina hata haja nacho driving licence ni kitambulisho tosha maana ina kila kitu, hata bank wanaitambua.

T sims hujui tofauti ya "mabilioni' na "mamilioni"
 
WANA UHAKIKA ATAFIKA 2013?

Nimeshukuru kuwa hapo juu mwanzoni kwenye namba kitambulisho kina tarehe ya kuzaliwa, mwezi, na siku . mfano JK kazaliwa 07-10-1950 i.e 19501007., ILA ingawa vina baadhi ya mapungufu kama saini ya muhusika katika kitambulisho husika , makazi, n.k.[/QUOTE]
 
nchi hii ina malaria bora viongozi wote wapate ebola tu
 
MKUU HUNA HABARI UMEANZA UPYA, BVR ndio uoya wenyewe kiaina mkuu
Unanena vyema sana, linapokuja suala la utaifa sote tuwe wamoja. Huu mchakato wa vitambulisho kama wadau watakuwa makini unatakiwa kubatilishwa uanze upya kwa gharama za waliofanya hujuma wakiwemo Mawaziri, na Manaibu waziri wa Fedha, Mambo ya Ndani, Uhamiaji pamoja na makatibu wao na wahusika wengine wote waliobariki mchakato bila kuzingatia mapungufu kama hayo na hasara kwa taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom