Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

Bank tunavitumia mbona

Bank zipi si mzitaje?? Mbona bank nyingi tu vinatumika

~Wewe ndio utaje bank gani vinatumika maana title inasema vyakataliwa bank
~Katika swala la certification bank huwa wanacertify ID kwa kuangalia picha na Signature kuhakiki as a true copy of the original na wanaangalia expire date ya ID that means ikifika mda wa kuexpire watu wanapiga tena mabillion yani ni wizi wizi.
 
Nlitegemea vitambulisho hivi vitakua bora zaidi kuliko vya mzanzibar ukaazi kumbe imekua kinyume chake.
 
Kitendo cha kukataliwa bank kwanza kimeonyesha udhaifu mmoja wapo maana hakina sign pili tuliambiwa hivi vitambulisho vitakuwa ni smart ambavyo vitaunganisha kwenye mifumo yote ya utambuzi zikiwemo bank chuo etc lakini ukikiangalia hicho kitambulisho hakina kitu chochote cha utambulisho wa smart hata wakisema na hiyo imefichwa ki-electrinically nayo ni uongo na wizi mtupu tatu hologram waliyoweka ni ya kitoto sana ni rahisi sana kuwa faked,kina expire date,hakielezi utambulsiho wa makazi.
Mkuu bado vinakataliwa?
Maana kwetu mchakato ndio umeanza napiga hesabu niende au nisiende!
 
Back
Top Bottom