Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

Serikali wanachukua fedha then hawarudishi,mafisadi wanakopa kwenye mifuko nao hawarudishi unategemea itaendelea? Kila mwaka ma DG na officers wanalipana bonus za 200m hadi 400m unategemea nini? Saccos wanakopeshwa watu wanakula hawarudishi ni kama mabillioni ya jk.

Ndo mana hata mim sirudish hiyo hela ya mkopo wa chuo kikuu,
Hili ndo shamba la bibi kila mtu kwa sehemu yake
 
kanchi kataamu miccm inapiga hela! Walaaniwe Maccm yoootee
 
Be serious baada ya miaka 10 sura inakuwa imebadilika, watu wanakuwa na mvi, vipara, watu wanabadili dini na titles zinabadilika kwa nini kitambulisho kisihuishwe?

Hizo ni individual issue NIDA wapo kila sehemu kama mtu amechange surname/title a-update NIDA individually kuhusu kuzeeka kwa Sura/bold-head sio issue sana maana ulivyokuwa umri wa miaka 10 na ulivyo sasa 40 na hata ukiwa 70 sura zitashabihiana so kuna haja hiyo saccos yenu ya NIDA iajiri watu wa CIA katika facial recognition.
 
Kazi ya NIDA ni kusajili taarifa za watu na kufanya utambuzi, hivyo individual's info ndizo NIDA inazokusanya.

Hizo ni individual issue NIDA wapo kila sehemu kama mtu amechange surname/title a-update NIDA individually kuhusu kuzeeka kwa Sura/bold-head sio issue sana maana ulivyokuwa umri wa miaka 10 na ulivyo sasa 40 na hata ukiwa 70 sura zitashabihiana so kuna haja hiyo saccos yenu ya NIDA iajiri watu wa CIA katika facial recognition.
 
Mimi nina mpango wa kuhama TZ maana usanii umezidi kila pembe ya nchi
 
Hizo ni individual issue NIDA wapo kila sehemu kama mtu amechange surname/title a-update NIDA individually kuhusu kuzeeka kwa Sura/bold-head sio issue sana maana ulivyokuwa umri wa miaka 10 na ulivyo sasa 40 na hata ukiwa 70 sura zitashabihiana so kuna haja hiyo saccos yenu ya NIDA iajiri watu wa CIA katika facial recognition.

Sidahani kama hicho kitambulisho kina uimara wa kukaa miaka 10. At most miaka 3 kimeshafutika kama sio kukatika...
 
Hii nchi inachezea hela zetu za kodi;
- Kitambulisho cha kupigia kura cha zamani eti hakitumiki tena;
- Kitambulisho cha taifa, sijui nacho ni feki;
- Kitambulisho kipya cha kupigia kura.

Hivi nyie wanasheria mliobobea mnawezaje kukaa kimya
na kuangalia upotevu mkubwa kama huu wa pesa
za walipa kodi.

na MKURUGENZI WA UCHAGUZI ALE WAPI NA WENZAKE

ALLAH
 
Sidahani kama hicho kitambulisho kina uimara wa kukaa miaka 10. At most miaka 3 kimeshafutika kama sio kukatika...

Sure Low quality kuna bank moja wana ATM card yao ni nzuri yani tamu hasa na inauzwa 10 kama ndio mara ya kwanza na ikiexpire unapata bure,hivi vya NIDA havitodumu kwa hiyo miaka 10 lazima maneno yafutike ndani ya mwaka tu!
 
Mimi nakumbuka niliweka sahihi kwenye digital signature pad.

Vitakuwa na embeded microchip. Kama tatizo ni kwa sahihi kutoonekana kweli majanga
 
No research no right to speak/write. Usifanye dhahania TZNID vina viwango vya kimataifa.

Naweza kusema kuwa una maslahi na mradi huu na kama ni hivyo nihakikishie kuwa kitambulisho hiki kama kikitumika kila mara kitadumu miaka kumi. Kumbuka kuwa si wewe peke yako uliyeerevuka.

Hoja hapa ni vitambulisho hivi kutokubalika benki na kwingineko kutokana na mapungufu kadhaa. Mifano pia imewekwa ya nchi zingine walivyoboresha. Wewe unakuja na hoja za dharaudharau humu just because your tummy get swollen for doing nothing!

Research gani unayoiizungumzia wakati vitu vipo wazi na dhahiri?
 
Mimi nakumbuka niliweka sahihi kwenye digital signature pad.

Vitakuwa na embeded microchip. Kama tatizo ni kwa sahihi kutoonekana kweli majanga
imefutika ?
 
Back
Top Bottom