Naweza kusema kuwa una maslahi na mradi huu na kama ni hivyo nihakikishie kuwa kitambulisho hiki kama kikitumika kila mara kitadumu miaka kumi. Kumbuka kuwa si wewe peke yako uliyeerevuka.
Hoja hapa ni vitambulisho hivi kutokubalika benki na kwingineko kutokana na mapungufu kadhaa. Mifano pia imewekwa ya nchi zingine walivyoboresha. Wewe unakuja na hoja za dharaudharau humu just because your tummy get swollen for doing nothing!
Research gani unayoiizungumzia wakati vitu vipo wazi na dhahiri?
imefutika ?
Wkati mwingine tunatakiwa tuseme;
Na huyo waziri wa vitambulisho naye hafai vile vile
anaingia mkataba feki kwa ajili ya ten pasent;
Ingekuwa china hapa tungekuwa tunaongea mengine kabisa.
.......... BAK utaifa mbele kwanza.........
ha ha ha ha! tangu lini GAMBA akawa na uzalendo wa taifa lake?
Kitendo cha kukataliwa bank kwanza kimeonyesha udhaifu mmoja wapo maana hakina sign pili tuliambiwa hivi vitambulisho vitakuwa ni smart ambavyo vitaunganisha kwenye mifumo yote ya utambuzi zikiwemo bank chuo etc lakini ukikiangalia hicho kitambulisho hakina kitu chochote cha utambulisho wa smart hata wakisema na hiyo imefichwa ki-electrinically nayo ni uongo na wizi mtupu tatu hologram waliyoweka ni ya kitoto sana ni rahisi sana kuwa faked,kina expire date,hakielezi utambulsiho wa makazi.
Ni kweli kabisa hiki ni feki, kile cha kupiga kura kilikuwa kinafaa sana, kwa sababu kilikuwa kinamfanya mtu atambulike mpaka anapoishi kirahisi unaweza kumpata hata muhalifu. Ni sawa kabisa Bank na taasisi nyingine kukikataa.
uutatumiaje bank wakati sahihi haipo ni picha details zenyewe za kutafuta
Kama vina viwango mbona bank wanavikataa? NIDA mnasemaje kwa hili?
umenipa kajiwazo kazuri
Hii nchi inachezea hela zetu za kodi;
- Kitambulisho cha kupigia kura cha zamani eti hakitumiki tena;
- Kitambulisho cha taifa, sijui nacho ni feki;
- Kitambulisho kipya cha kupigia kura.
Hivi nyie wanasheria mliobobea mnawezaje kukaa kimya
na kuangalia upotevu mkubwa kama huu wa pesa
za walipa kodi.
Wanasheria gani unazungumzia?akina Mkono?akina Werema?Shivji?iulize Tanesco na BOT,na Warioba!poleni watz.Mwenyezi Mungu awajaalie "wepesi" katika vichwa vyenu na "uzito" katika matendo yenu,inshallah,inshallah,allah yisfik.
kuna wanashria wa aina mbili, wanaojua sheriaa na wanaomjua jaji/hakimuWanasheria gani unazungumzia?akina Mkono?akina Werema?Shivji?iulize Tanesco na BOT,na Warioba!poleni watz.Mwenyezi Mungu awajaalie "wepesi" katika vichwa vyenu na "uzito" katika matendo yenu,inshallah,inshallah,allah yisfik.