Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

Vitambulisho vya Taifa vyakataliwa Benki

halafu hiyo expiry date ina maana gani? Kwamba ikifika hiyo tarehe mwenye kitambulisho atakuwa amebadilika au?

ikifika tarehe hiyo ya expire date ulowekewa ndo siku yako ya kufa hvy na kitambulisho chako kitakuwa kime expire. Wamefanya vzr kutuwekea na tarehe ya kufa kwetu.hvy ikikaribia tarehe ya kuexpire date uza mali ponda raha kisha tubu dhambi kisha moja kwa moja peponi.
 
Nina cha kura , nina cha ukaz, nina passport sasa cha utaifa hv ndugu zangu utitiri huu wa vitambulisho vya kaz gan?
 
Ufeki wake ni kuwa havina saini ya mtumiaji. Huwezi kutambulika benki bila ya kitambulisho chenye saini yako.Na wale jamaa walioshinda tenda walifanya kusudi ili tuwarudie kuwapam ingine kwa ajili ya kutuuzia scanners maalum kwa ajili ya ukamilisho wa utambuzi wake.

DSC07923.JPG

Blood fool...
Hapa ndipo Zile kauli za mh.Mnyika za...
.......sababu ya Udhaifu wa .,,,..
.......sababu ya uzembe wa....... Nk KWANGU NIMEANZA KUONA ZINA UKWELI.

Mh.Mkuu njoo huku uchukue kadi ya Chama chako siitaki tena japo uchaguzi wa Jimbo la Moshi mjini ilinipa Baiskeli.
 
Nimekicheck kitambulisho cha taifa nikachoka hoi kina mapungufu kibao wajanja wametafuna mabilioni ya bure lakini hakina kitu,bank wana haki kuvikataa.

Mapungufu yapi mkuu?

Halafu hivi hizi national ID ni smart ID au ni za kawaida kama driving licence ilivyo?
 
Jamani .... hivi vitambulisho ni biometric .... pale unapoweka Alana za vidole ndipo details na utambulisho wako vinakuwa revealed ikiwamo saini yako, picha na mahali unapoishi ulipo jiandikisha, kwani address yako wewe hauhami? .... hakuna haja ya kujaza mavitu mengi kwenye ile kadi

I don't support any mis-use of taxpayers money ... but a fact remain fact ....
 
Hivi nyie wanasheria mliobobea mnawezaje kukaa kimya
na kuangalia upotevu mkubwa kama huu wa pesa

za walipa kodi.
Binafsi kama mtu wa kawaida bila professional, nina kitambulisho cha mpiga kura (cha zamani). driving license, cheti cha kuzaliwa, TIN certificate ya TRA, Passport ya kusafiria vyote vikiwa vimetolewa na Serikali hii hii yetu sikivu ya lichama likongwe. Siongezi kiingine!
Sasa nilipofuatilia mchakato wa vitambulisho vya taifa na kuona ufisadi uliokuwa umezingira huu mradi huku nikiwa sina jinsi ya kuzuia hili zoezi lililojaa ujasiri wa kifisadi, nikaamua moja nalo ni kutoshiriki katika huu ufisadi kwa kutojihusisha na sehemu yoyote ya mchakato huu.
Kama kweli vimekataliwa na benki ni wazi nami nilikuwa sahihi kutoshiriki hili zoezi.
 
Hii nchi inachezea hela zetu za kodi;
- Kitambulisho cha kupigia kura cha zamani eti hakitumiki tena;
- Kitambulisho cha taifa, sijui nacho ni feki;
- Kitambulisho kipya cha kupigia kura.

Hivi nyie wanasheria mliobobea mnawezaje kukaa kimya
na kuangalia upotevu mkubwa kama huu wa pesa
za walipa kodi.

Mfumo wa kiCCM
 
ndio maana mimi sijajiandikisha, halafu tuone kama watanifuta utaifa wangu, hata details zilizomo ni za kawaida za kila siku, kwanza kitambulisho cha utaifa kina expire date kama leseni? wakati wewe ni mtu wa taifa hili moja kwa moja, na ili kitambulisho kikamilike lazima kiwe na saini yako ambayo inathibitisha kuwa chako. tusubiri vya kura vipya, tutaanza kutembea na pochi rasmi ya vitambulisho na kadi za bank.

Mi personally sijakiona na wala sojajiandikisha but kama kitambulisho cha uraia kina expire date ni upuuzi ambao sijawah kuuona aisee
Kwahyo Urania wetu unaexpire?
Hehehehe hupati seven.nyingine zaid ya bongo
 
Lengo kubwa ni kuuweka utambulisho wa utaifa baadala ya Utanganyika na Uzanzibar.....................


Serikali mbili kuelekea serikali moja.......

Kwa mtu mwenye akili vitu vya muhm kama HV vingetakiwa kuanza kutengenezwa baada ya katiba mpya kupatikana sababu ingedifine kila kitu
Let me ask u
What if zikapatikana serial I Tatu au simply Zanzibar ikajitenga itakuaje kwa visiwani?
 
Jamani .... hivi vitambulisho ni biometric .... pale unapoweka Alana za vidole ndipo details na utambulisho wako vinakuwa revealed ikiwamo saini yako, picha na mahali unapoishi ulipo jiandikisha, kwani address yako wewe hauhami? .... hakuna haja ya kujaza mavitu mengi kwenye ile kadi

I don't support any mis-use of taxpayers money ... but a fact remain fact ....

Hivyo vitu ni vya msingi sana kuwepo basi hata picha wasingeweka kama alama ya vidole inatosha maana pix inalamba bytes nyingi kuliko text,wangefanya kama vya bank ili kupunguza gharama zisizo na tija.
 
Hivyo vitu ni vya msingi sana kuwepo basi hata picha wasingeweka kama alama ya vidole inatosha maana pix inalamba bytes nyingi kuliko text,wangefanya kama vya bank ili kupunguza gharama zisizo na tija.

tunakubaliana hivyo vitu ni vya msingi ... hizo info zipo lakini hazijawa revealed zipo concealed na zinaweza kufahamika kwa mfumo wa biometric .....

tusubiri pia biometric voting system
 
Nina cha kura , nina cha ukaz, nina passport sasa cha utaifa hv ndugu zangu utitiri huu wa vitambulisho vya kaz gan?

Kina umuhm wake mkuu
But kilitakiwa kukusanya kila aina ya detail ambayo inakuhusu mpka blood group so hvyo vitambulisho vingine visibgekua na kazi
Ni muhm sana trust me but kwa Tanzania wamechakachua tu
 
Sasa si bora ya wenzangu!
mimi hata hicho cha kitaifa sina ingawa niliandikisha Ubungo.
Kama sasa hivi wakisema mimi sio mtanzania cha kujitetea nitakuwa sina kwa sababu hata jina la mtoto yeyote wa shangazi yake babu silijui.
Manina zake sirikali hii ya sisiem.
 
~Sio Smart ID.
~Vina Expire Date
~Havina Signature
~Easy ku-fake
~Lack of important informations eg Makazi


Mbona passport INA expiry date ..... Mbona ATM card INA expiry date

King Kong III .... you can urgue better than this
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom