Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 1,230
- 2,189
Tuende mbele turudi nyuma mtoto si kumlisha na kumsomesha tu. Malezi ya kitabia ndio kipengere na hapa hakuna mbabe !!Hata uwe mkali vipi mtoto anaweza kukushinda tu kwa kuwa na tabia zisizo faa au kutokua na tabia unazozitegemea.
Kuna vitu kadhaa kadhaa kwa kijana wangu nimechemka kabisa kumbadilisha richa ya kumpiga ,Kuongea nae na mbinu zote.Sasa nikapata wazo la kusoma vitabu najua siwezi kosa mbinu zaidi!!
Je ni vitabu gan naweza soma kwa ajili ya kushinikiza tabia fulani na zikamuingia mtoto passipo kumpiga.
Wataalam wa vitabu karibuni