Vita ya kidini inachipua chinichini

Vita ya kidini inachipua chinichini

Christian Nationalists has evangelicals fanatics wa US na pia Zionists wanasapoti vurugu, chuki, ubaguzi na hata vita dhidi ya watu wa dini nyingine hasa Waislamu na Wahindu.
mbona wahindu nao wana bifu na uislam? Cheki India waislam wanavyopewa za uso. Ulishawahi kusikia vikundi vya kigaidi vya kikristo, wanamgambo wa kikristo?
 
MAGA, Groypers na Klu Klux Klan ni vikundi vya kigaidi vya Kikristo, kuna magaidi wa kihundu pia.
hayo magenge ya marekani yalikuwa ni ya kihuni tu, hawakuwa wakristo wale
 
Kituko, unakuta mtanzania wa nangurukuru, namanyele, mwandiga, isuna, ibaga, machame, horohoro, msitu wa tembo na kwingine nchini eti anamuita mwenzake asiye muislam kafiri. Dini yenyewe ni ya waarabu mwafrika kabambikiwa tu na yeye anaamini na kuabudu ujinga
 
Hapo ndipo unafiki ulipo.

Marekani anachofanya ni uharamia, dhulma.

CCM wanapofanya uharamia baadhi ya wanaharakati wanapiga kelele. Lakini uharamia huohuo ukifanywa na Marekani baadhi ya Wanaharakati hushangilia uharamia wake

Dini karibia zote zipo kinyume na uislam sio wakristo tuu. Nimeona hata Wahindu hulo India
 
5422A95F-550F-4331-9D34-2F070E060B23.jpeg
 
Je tuseme mtoa mada nae kaita kwa ukali.
Huwa mara nyingi tunajiwekea dhana mbaya sisi wenyewe
Kwasababu mara nyingi ndicho tunachokisikia kinakuja na maneno fulani ya ubaguzi hivi, ndio manaa tunaona ni jina baya sana!
 
Nina marafiki zangu waislam, marafiki hasa, ambao naujua upendo wao kwangu, tunashirikiana kwa upendo usioelezeka.

Hata mfanye nini, mimi hata siku moja siwezi kuwachukia hawa waislam marafiki zangu ambao hawajawahi kunitendea ubaya wowote. Hata wale nisio kuwa jirani nao, kamwe siwezi kuwachukia kwa sababu ya imani yao. Mtu achukiwe kwa matendo yao. Yaani mnataka hata nikimwona jambazi akisema ni mkristo, nimpende kwa sababu ya ukristo wake, nisaha ujambazi wake? Na mwingine ni mtu mwema, mwenye uoendo, lakini kwa sababu ni muislam, nimchukie. Ni kiapo mbele ya Mungu wangu, kamwe siwezi kufanya hivyo. Mimi naamini kuwa awe muislam, mkristo au mbudha, Mungu huyatazama matendo yao, na siyo dini yao.

Ayatollah ametangulia mbele za haki, sikuwahi kumchukia kwa sababu ya imani yake, lakini nilimchukia kwa matendo yake ya kikatili, kama lile tendo la kumwua mwanamke ambaye hakuvaa ninja, halafu wanawake wengine walipoandama, nao akawaua, akina mama zaidi ya 70! Hiyo siamini kama ni imani, bali ni ushetani.

Habari mbaya kabisa nimeipokea jana, watoto wadogo, wasio na maamuzi yoyote, zaidi ya 100, wameuawa nchini Iran. Kwa kweli hiyo ilinishtua na kunisikitisha sana kwa kiasi ambacho siwezi kuelezea. Miili ya watoto waliouawa imepangwa kwenye mstari, msululu wa maiti.
Tulio wakubwa, tuna jukumu mbele za Mungu, kuwalinda watoto hawa wasio na hatia, na sio kuwaangamiza. Hata kama ni vita, si sahihi kabisa kuwaangamiza watu wasio na hatia, wasio na uwezo wala kuwa na maamuzi yoyote.

Kama mauaji ya Ayatollah kwa wasio na hatia yalikuwa mabaya, basi ya mwingine yeyote dhidi ya wasio na hatia hayawezi kuwa mazuri
Ingependeza kama Dunia ingeungana kusaidia kuwalinda watoto wa Iran, na wale walio wagonjwa, kwa kuwatengea maeneo maalum, hata ndani ya mataifa jirani.
 
Hapo jamaa nae amenable kaleta uchambuzi wa hali ya juu sana.

Jamani watoto waende shule wasome, wapate maarifa. Hatutaki kuwa na taifa la watu wajinga kama mleta mada.
Mleta mada ukichunguza mada zake nyingi unapata picha ya kiwango Cha akili na ufahamu wake.
 
Kwa yanayoendelea.

Ni ngumu kumuona mkristo akiishabikia Iran na pia ni ngumu kumuona muislamu akiishabikia Israel.

Tena ni afadhali kwa muislamu yeye anaweza akabaki neutral ila kwa mkristo huwezi kumuona hata mmoja kwa bahati mbaya akawa upande wa Iran.

Ukitaka kuthibitisha hilo angalia hata wakristo wa humu/makafiri utagundua.
Umebugi big time
 
Back
Top Bottom