Vita ya kidini inachipua chinichini

Vita ya kidini inachipua chinichini

Watu wanapigana kisa mafuta, sisi huku tunawashabikia kisa dini.

Matajiri Huwa ndo wanatengeneza dini ili watawale watu, ila masikini ndo Huwa washika dini namba moja.
 
Kwa yanayoendelea.

Ni ngumu kumuona mkristo akiishabikia Iran na pia ni ngumu kumuona muislamu akiishabikia Israel.

Tena ni afadhali kwa muislamu yeye anaweza akabaki neutral ila kwa mkristo huwezi kumuona hata mmoja kwa bahati mbaya akawa upande wa Iran.

Ukitaka kuthibitisha hilo angalia hata wakristo wa humu/makafiri utagundua.
Screenshot_20260304-144512.jpg
 
Hii Dini ingekuwa ni kabila basi wangekuwa na ukabila sana:
Living with Muslims

Muslims with Hindus = War
Muslims with Budhas = War
Muslims with Jews = War
Muslims with Christians=War
Muslims with Pagans = War
Muslims with Muslims = War
Muslims with Muhamad =War
Muslims with Allah = War
Muslim with Jinns = Friendship
 
Back
Top Bottom