Too long, boring and devoid of substance.Kinacho nishangaza mimi ni kuona baadhi ya third World ku-emulate propaganda chafu za nchi za magharibi kuhusu Uchina - joining blindly western driven band wagon of demonizing China kwa kuwa inakuja juu kiuchumi na kijeshi badala ya nchi za magharibi ku-compete na Wachina kiuchumi na kijeshi badala yake wamepania kuihujumu China.
Hivi wewe kwa mfano unaweza kutupatia takwimu za kuaminka zinazo dhilisha kwamba uchumi wa China umeanza kuporomoka/zorota wakati Uchumi wa washindani wao unapaa, sio mnatuletea propaganda kutoka MSM media,notably: Reuters, BBC,CNN,FoxNews,NYT and like mind, repeating western dirty campaign to the letter, please revisit your comments herein about China utagunduwa kwamba intonations zako/zenu kuhusu Taifa la Uchina hazina tofauti na misimamo ya utawala wa Merikani na Uingereza, actually one gets an impression kwamba mnacopy na ku-paste handouts mnazo patiwa kutoka Whitehouse au Whitehall/Westminster/ Number ten Downing Street. Please clarify hivi wewe binafsi Wachina wanakukwaza nini kimaisha au wapi waliwahi kukwaza Taifa lako - ya nini bwana!!!
Kwa taarifa yako Uchina ilisha jipanga vizuri muda mrefu jinsi ya ku-absorb Tsunami zote za kuhujumiwa na washindani wao bila ya kuteteleka, ndio maana uchumi wake including ujenzi wa viwanda vipya, infrastructures nyingine lukuki, sayansi na teknilojia, R&D nk vinaongezeka kwa kasi ya kutisha bila kusahau ongezeko la nguvu za kijeshi nk - actually come 2030 China ndio itakuwa inaongoza Duniani kiuchumi kwa kuipiku Merikani, takwimu za Umoja wa Mataifa zinaonyesha hivi sasa Uchina ndio inaongoza Duniani kiuchumi in terms of PPP, tangu miaka mitano iliyopita.
Mataifa ya magharibi specifically the USA ambayo imepania kuihujumu Uchina kiuchumi na ikiwezekana kijeshi,pia Merikani inawashinikiza washiriki wake kuichukia Uchina ili waihujumu katika nyanja zote za kiuchumi ikiwezekana na kijeshi,wamechanganyikiwa kweli kweli kuhusu kasi ya maendeleo ya taifa la Uchina.
Binafsi sioni kama watafanikiwa kuirudisha nyuma China kimaendeleo, after all China ndio soko kubwa la bidhaa zinazo zalishwa kutoka mataifa ya magharibi - mfano viwanda vya kuzalisha semiconductors huko Silicon Valley California na Wakulima wa soya beans na ngano vyote vinategemea soko kubwa la Uchina ili visitawi na kuzalisha ajira - hivi sasa wamiliki wa viwanda vya huko Merikani na wakulima wamemshikiza Biden abembeleze Serikali ya Uchina ili ianze kununua kwa mara nyingine tena product na produce za Kimerikani, hiyo ni mifano michache ya kudhilisha kwamba regardless of western Political rhetoric they still cannot do without China - like it or not up2them.