Vita ya biashara iliyoanzishwa na Marekani haikuweza kurudisha nyumbani kampuni zake kutoka China

Kinacho nishangaza mimi ni kuona baadhi ya third World ku-emulate propaganda chafu za nchi za magharibi kuhusu Uchina - joining blindly western driven band wagon of demonizing China kwa kuwa inakuja juu kiuchumi na kijeshi badala ya nchi za magharibi ku-compete na Wachina kiuchumi na kijeshi badala yake wamepania kuihujumu China.

Hivi wewe kwa mfano unaweza kutupatia takwimu za kuaminka zinazo dhilisha kwamba uchumi wa China umeanza kuporomoka/zorota wakati Uchumi wa washindani wao unapaa, sio mnatuletea propaganda kutoka MSM media,notably: Reuters, BBC,CNN,FoxNews,NYT and like mind, repeating western dirty campaign to the letter, please revisit your comments herein about China utagunduwa kwamba intonations zako/zenu kuhusu Taifa la Uchina hazina tofauti na misimamo ya utawala wa Merikani na Uingereza, actually one gets an impression kwamba mnacopy na ku-paste handouts mnazo patiwa kutoka Whitehouse au Whitehall/Westminster/ Number ten Downing Street. Please clarify hivi wewe binafsi Wachina wanakukwaza nini kimaisha au wapi waliwahi kukwaza Taifa lako - ya nini bwana!!!

Kwa taarifa yako Uchina ilisha jipanga vizuri muda mrefu jinsi ya ku-absorb Tsunami zote za kuhujumiwa na washindani wao bila ya kuteteleka, ndio maana uchumi wake including ujenzi wa viwanda vipya, infrastructures nyingine lukuki, sayansi na teknilojia, R&D nk vinaongezeka kwa kasi ya kutisha bila kusahau ongezeko la nguvu za kijeshi nk - actually come 2030 China ndio itakuwa inaongoza Duniani kiuchumi kwa kuipiku Merikani, takwimu za Umoja wa Mataifa zinaonyesha hivi sasa Uchina ndio inaongoza Duniani kiuchumi in terms of PPP, tangu miaka mitano iliyopita.

Mataifa ya magharibi specifically the USA ambayo imepania kuihujumu Uchina kiuchumi na ikiwezekana kijeshi,pia Merikani inawashinikiza washiriki wake kuichukia Uchina ili waihujumu katika nyanja zote za kiuchumi ikiwezekana na kijeshi,wamechanganyikiwa kweli kweli kuhusu kasi ya maendeleo ya taifa la Uchina.

Binafsi sioni kama watafanikiwa kuirudisha nyuma China kimaendeleo, after all China ndio soko kubwa la bidhaa zinazo zalishwa kutoka mataifa ya magharibi - mfano viwanda vya kuzalisha semiconductors huko Silicon Valley California na Wakulima wa soya beans na ngano vyote vinategemea soko kubwa la Uchina ili visitawi na kuzalisha ajira - hivi sasa wamiliki wa viwanda vya huko Merikani na wakulima wamemshikiza Biden abembeleze Serikali ya Uchina ili ianze kununua kwa mara nyingine tena product na produce za Kimerikani, hiyo ni mifano michache ya kudhilisha kwamba regardless of western Political rhetoric they still cannot do without China - like it or not up2them.
Too long, boring and devoid of substance.
 
Mkuu

China inajenga vitu vya low technology in massive scale.......thats can be done by anyone akipata mwekezaji

Ndio maana wanahamisha

China haijavumbua kitu

Simu haijavumbulia na China

China anatumia proprietary inventions za West na analipa royalties...hajawahi vumbua chochote

All inventions come from the West.

Kujenga kitu kwa maelekezo ya uvumbuzi wa mtu mwingine hakukufanyi wewe kua "mvumbuzi"
5G ni uvumbuzi ama ni nini??
 
nani kakwambia 5G ni uvumbuzi?

kuna mtu kapata nobel prize kwa 5G?

Unajua uvumbuzi original ni nini?Au unasemea "applications za uvumbuzi original"?

ni kama uniambie eti iPhone 12 ni "uvumbuzi" maana kulikua na iPhone 11?

Hakuna uvumbuzi hapo,ni kuongeza ukubwa vitu ndani ya simu,same principles
Usinifokee basi nimeuliza tu daah🙌🙌
 
nani kakwambia 5G ni uvumbuzi?

kuna mtu kapata nobel prize kwa 5G?

Unajua uvumbuzi original ni nini?Au unasemea "applications za uvumbuzi original"?

ni kama uniambie eti iPhone 12 ni "uvumbuzi" maana kulikua na iPhone 11?

Hakuna uvumbuzi hapo,ni kuongeza ukubwa vitu ndani ya simu,same principles
Upo 3rd world country ambapo vyandarua, condom na matundu ya choo ya wanafunzi wa shule mnategemea US AIDS halafu unasimama kuibeza China?
Weka mindset yako iwe huru na ukubaliane na hali halisi utabarikiwa na utafanikiwa zaidi, China teknolojia yao inatisha kwa sasa, it doesn't matter wame copy au wame cut, kaa ujue huwezi copy tech ya mtu halafu kichwani huna elimu ya hio tech, China ni wasomi mkuu, mtu anaweza copy tech na akakuzidi kwa kuiboresha zaidi kuliko wewe, akaifanyia research za kutosha akarudi akawa mwalimu wako😂, hio ndio China..

Elon Musk na satellite zake umeona alivyofanya mapinduzi kwa kurusha satellite kwa gharama nafuu? Rocket zinakwenda na kurudi, nchi ngapi, kampuni ngapi, mashirika mangapi Bw Musk amewakuta na kuwapiku kwa tech hio toka space x?

Hata Rumi ilitawala dunia, Turkey ilitawala dunia, Africa tulitawala dunia na kuongoza kwenye tech lakini kuimba kupokezana mkuu, ifike muda tuache kuimba ngonjera za kuipondea China kwa maneno halafu wenzetu wanatu prove wrong kwa matendo na kuzidi kwenda mbali.

Kama vijana tukiwa na akili iliyo huru, mawazo huru, tuwaze tunanufaika vipi kipindi hiki China inakuja juu kiuchumi, kijeshi ili kujinufaisha kama Taifa na bara letu la Africa, tuone mbali zaidi baadae miaka 20,30 hali itakuwaje?

Lakini hoja za kupinga eti China hana uvumbuzi hazina mashiko na wala hazipingi moja kwa moja kwamba China ni moja ya superpower, na pia sijajikita zaidi kwenye hio njia ya kusema China hana uvumbuzi kwa sababu haina mashiko, naweza kukuletea vumbuzi nyingi tu za China, unaweza leta vumbuzi nyingi sana za Ulaya na USA lakini hazitosaidia au kupinga ukweli kwamba China ni tishio kwa sasa na sio ya kupuuza.
 
China is rising so rapidly, iwe ni kwa kuiba tech's, kufyatua low quality products etc etc. It is rising, mahesabu yao ni by 2050 they run the World ...

Sasa turudi kwetu, has it benefited us? Mimi naona ndio
Je wangechagua kuwa 'mazoba' kama sisi dunia ya leo ingekua bora zaidi? Mimi nasema hapana
 
Watu wanaozamia kwenda China
Watu wanaozamia kwenda USA.

Ukijiuliza watu hupenda kuzamia kwenda wapi ndio utajua nchi gani ni zaidi kati ya hizo nchi mbili
 
Kwahiyo kwavile mimi Afrika sina uwezo wa kuzalisha chochote kwahiyo natakiwa niseme UONGO?

Yaani unataka niseme UONGO kuhusu China compared na USA sababu tu mimi Mwafrika sina uwezo wa kuzalisha hivyo vitu?

Tangu lini ni ruksa kusema UONGO regardless ya chochote kile?

Pamoja na umasikini wangu siwezi pindisha FACTS sababu eti sina kitu....

Wewe endelea kusema vitu vya uongo kuhusu China!
Uongo upi nimesemaje, na uongo upi nimekulazimisha ukubaliane nao?

Nilichokuambia ni kwamba hoja zako kuhusu uvumbuzi wa China hazina mahusiano ya moja kwa moja na uchumi na nguvu aliyonayo China kwa sasa, we komaa kusema Wana copy tech lakini wenzako wanasonga mbele na mbele zaidi... Hoja ya uvumbuzi ni dhaifu na China kwenye historian wana vumbuzi nyingi tu kama gun powder, compass n.k hapo hujaja vumbuzi za karibuni lakini tusielekee huko kwani hakuna mashiko yeyote na mada iliyopo mezani..

Kuwa muelewa..
 
MULTINATIONAL COMPANIES MOVING OUT OF CHINA

a73c8c96-e178-4190-bd72-c4068eaf8198-nike_factory_china.jpg

ANDREW HOLBROOKE/Corbis via Getty Images

Famous firms pulling out of the People's Republic​

As the US-China trade war rumbles on and relations between other liberal democracies and Beijing deteriorate due to everything from intellectual property (IP) theft to human rights violations in Xinjiang and the eroding away of Hong Kong's autonomy, many globally-renowned companies are deserting China.

In fact, research firm Gartner revealed last year that a third of supply chain leaders had plans to move at least some of their manufacturing out of China before 2023. Coronavirus-related sales slumps and supply chain disruption, as well as rising production costs, have also hastened the exodus. Read on to discover which world-famous firms are partially or completely pulling out of the People's Republic. All dollar amounts in US dollars.

f1a7375e-0a2c-42f6-aea4-b7d431f9760c-1the-companies-deserting-china-nike.jpg

Sorbis/Shutterstock

Nike​

A study by the UBS Evidence Lab found that a staggering 76% of US companies with factories in China were in the process of or considering moving operations to other countries in 2020. They include sportswear colossus Nike. The firm's suppliers have been relocating production facilities to southeast Asia and Africa for some time now, and the company reviewed its supply chains in Xinjiang too following stories of the mistreatment of Muslim Uyghurs in the region.

Swathes of Chinese people then boycotted international brands such as Nike who chose to speak out against what was happening in Xinjiang. Sales were down by 59% in April compared to the previous year as shoppers turned to domestic companies instead, according to Morningstar Inc.

e36e8d71-456f-4567-859c-4596696a77de-2the-companies-deserting-china-apple.jpg

Anthony Dixon/AFP/Getty

Apple​

Though the bulk of Apple's manufacturing will remain in China, the tech giant has been encouraging its suppliers, which include Taiwanese firm Foxconn plus Delta Electronics and Pegatron, to move up to 30% of iPhone production from China. Foxconn, for instance, is investing up to $1 billion (£762m) to expand a plant in India, while other contract manufacturers are setting up in Vietnam, Thailand and Indonesia. Apple is also planning to have 30% of its classic AirPods produced in Vietnam instead of China, while a “significant number” of iPads were set to be produced in Vietnam as of mid-2021, according to Nikkei. That said, Vietnam has been hit particularly badly by the Delta variant of coronavirus, which has caused delays to Apple’s transition into the country.

0c5cadf6-9eeb-4393-8f47-b3774c0c80d9-3the-companies-deserting-china-samsung.jpg

Chintung Lee/Shutterstock

Samsung Electronics​

American companies aren't the only ones beating a retreat from China. South Korea's Samsung Electronics shut its remaining smartphone factory in the country in 2019, reportedly turning the city in which it was based into a ghost town. Further closures were announced last year, with Samsung ceasing production at its last PC plant in China in August, instead moving operations to Vietnam, and the company also shuttered its only TV factory in the country last November.

769c542d-6b29-4ca4-8142-34229a046cb4-4the-companies-deserting-china-lg.jpg

Photosite/Shutterstock

LG Electronics​

Fellow South Korean firm LG Electronics has followed in the footsteps of Samsung and relocated the manufacturing of some of its products from China. In an effort to avert hefty US tariffs, the company shifted all production of refrigerators bound for the American market from China's Zhejiang province to South Korea.

7002f1d0-3c0a-45a2-b0d0-2701d33cd62d-5the-companies-deserting-china-adidas.jpg

Alex Grimm/Getty

Adidas​

Almost a quarter of German companies operating in China were planning to relocate production from the country in 2019, according to a report by the German Chamber of Commerce in China. For example, Adidas has halved its Chinese manufacturing since 2010, with much of the production moving to Vietnam, and pledged in July last year to cut all ties with suppliers implicated in a report that uncovered forced labour being used in some factories.

Like Apple, Adidas also felt the impacts of Vietnam’s rising COVID-19 infection rate, which has stalled production since mid-July and is expected to cause losses of up to $600 million (£431m) during the latter half of 2021. Adidas also saw its sales plummet on Chinese ecommerce giant Alibaba after the company took a stand against the treatment of Uyghurs in the Xinjiang region. In April, sales dropped 78% compared to the same period in 2020, according to Morningstar Inc.

b6e8cd31-88ea-4c69-8820-0f874a0311eb-6the-companies-deserting-china-puma.jpg

2p2play/Shutterstock

Puma​

Adidas' German arch-rival Puma is shifting production away from China as well. The company, which makes more than a quarter of its products in the People's Republic, is keen to diversify its manufacturing base and supply chains, not to mention avoid US tariffs by producing more of its running shoes, sportswear and other products in Bangladesh, Cambodia, Indonesia and Vietnam. The brand faced online attacks in March following statements it made about the treatment of Uyghur Muslims in China, which prompted uncertainty about the company’s future sales in the country. Sales did slow after a strong first quarter, and Puma CEO Bjorn Gulden said: “There is less activity in the Western brand stores [in China] than there would have been if tension wasn’t there”.

9d47a19f-1960-46ad-b0c3-819ca9140e18-7the-companies-deserting-china-zoom.jpg

ymphotos/Shutterstock

Zoom​

US teleconferencing platform Zoom has skyrocketed in popularity during the COVID-19 pandemic, but while the firm behind the app is going from strength to strength, opening new data and R&D centres in India and the US, it announced it was stopping direct sales to customers in mainland China in August last year. Its video conferencing services are still available via third-party partners.

1c4d05d8-f04f-4d30-b251-4b17a6a67e2a-8the-companies-deserting-china-sharp.jpg

Tomohiro Ohsumi/Getty

Sharp​

In a bid to reduce the country's reliance on China, the Japanese government set aside 243.5 billion yen ($2.2bn/£1.7bn) in April last year in order to incentivise domestic companies to pivot production away from the People's Republic and into Japan and southeast Asia. Among the 87 firms that benefitted from state subsidies is world-renowned consumer electronics company Sharp, which is majority-owned by Taiwan's Foxconn.
Duuu!!!!ukisoma hizi ripot unaweza dhani uko China hakuna kampun kubwa litakalobak
 
Kinacho nishangaza mimi ni kuona baadhi ya third World ku-emulate propaganda chafu za nchi za magharibi kuhusu Uchina - joining blindly western driven band wagon of demonizing China kwa kuwa inakuja juu kiuchumi na kijeshi badala ya nchi za magharibi ku-compete na Wachina kiuchumi na kijeshi badala yake wamepania kuihujumu China.

Hivi wewe kwa mfano unaweza kutupatia takwimu za kuaminka zinazo dhilisha kwamba uchumi wa China umeanza kuporomoka/zorota wakati Uchumi wa washindani wao unapaa, sio mnatuletea propaganda kutoka MSM media,notably: Reuters, BBC,CNN,FoxNews,NYT and like mind, repeating western dirty campaign to the letter, please revisit your comments herein about China utagunduwa kwamba intonations zako/zenu kuhusu Taifa la Uchina hazina tofauti na misimamo ya utawala wa Merikani na Uingereza, actually one gets an impression kwamba mnacopy na ku-paste handouts mnazo patiwa kutoka Whitehouse au Whitehall/Westminster/ Number ten Downing Street. Please clarify hivi wewe binafsi Wachina wanakukwaza nini kimaisha au wapi waliwahi kukwaza Taifa lako - ya nini bwana!!!

Kwa taarifa yako Uchina ilisha jipanga vizuri muda mrefu jinsi ya ku-absorb Tsunami zote za kuhujumiwa na washindani wao bila ya kuteteleka, ndio maana uchumi wake including ujenzi wa viwanda vipya, infrastructures nyingine lukuki, sayansi na teknilojia, R&D nk vinaongezeka kwa kasi ya kutisha bila kusahau ongezeko la nguvu za kijeshi nk - actually come 2030 China ndio itakuwa inaongoza Duniani kiuchumi kwa kuipiku Merikani, takwimu za Umoja wa Mataifa zinaonyesha hivi sasa Uchina ndio inaongoza Duniani kiuchumi in terms of PPP, tangu miaka mitano iliyopita.

Mataifa ya magharibi specifically the USA ambayo imepania kuihujumu Uchina kiuchumi na ikiwezekana kijeshi,pia Merikani inawashinikiza washiriki wake kuichukia Uchina ili waihujumu katika nyanja zote za kiuchumi ikiwezekana na kijeshi,wamechanganyikiwa kweli kweli kuhusu kasi ya maendeleo ya taifa la Uchina.

Binafsi sioni kama watafanikiwa kuirudisha nyuma China kimaendeleo, after all China ndio soko kubwa la bidhaa zinazo zalishwa kutoka mataifa ya magharibi - mfano viwanda vya kuzalisha semiconductors huko Silicon Valley California na Wakulima wa soya beans na ngano vyote vinategemea soko kubwa la Uchina ili visitawi na kuzalisha ajira - hivi sasa wamiliki wa viwanda vya huko Merikani na wakulima wamemshikiza Biden abembeleze Serikali ya Uchina ili ianze kununua kwa mara nyingine tena product na produce za Kimerikani, hiyo ni mifano michache ya kudhilisha kwamba regardless of western Political rhetoric they still cannot do without China - like it or not up2them.
Wakorawait
 
nani kakwambia 5G ni uvumbuzi?

kuna mtu kapata nobel prize kwa 5G?

Unajua uvumbuzi original ni nini?Au unasemea "applications za uvumbuzi original"?

ni kama uniambie eti iPhone 12 ni "uvumbuzi" maana kulikua na iPhone 11?

Hakuna uvumbuzi hapo,ni kuongeza ukubwa vitu ndani ya simu,same principles
Ni sawa na nchi yoyote itengeneze gari lake la kwanza leo sasa watasema wamevumbua gari. Naona huyo haelewi nini maana ya Invention Vs Innovation. People need to go back to the drawing board.
 
China juzi naye katuma roboti sayari ya mars kufika tu limeshindwa kufanya kazi.

Tuje kwenye mada

Tafati nyingi zipo Ulaya na Marekani au tuseme main source.

Kwa sababu wenzetu kuzarau hawana hata kiwe cha uongo kitafanyiwa kazi mpaka kiwe cha ukweli.

Mfano leo ukisema mtungi wa gesi ufanane na betri ya simu basi utafanyiwa tafiti mpaka kieleweke.

Wenzetu kwenye bajeti wapo vizuri ndio maana unaona wanafanikiwa.

Tatizo linakuja pale zikimalizika tafiti zinakuwa wazi na kuingizwa kwenye elimu.

Hapa inakuwa rahisi wale wa free kitonga kama Mchina copy and paste kumalizia
UCHINA sio ya mwanzo kushindwa nawala haitakua ya mwisho kwahilonpole sana MKUU
 
Kila siku nasema China ni kimbunga kisichozuilika ambacho kinazidi kupata nguvu kila sekunde!

Bado muda kitambo kidogo tu kimbunga hiki kitabeba kila kitu
.... China hiihii inayojaza dampo langu kwa bidhaa zinazoharibika kwa kufanya kazi siku mbili'mbili? ... dampo langu limejaa matochi, maredio, maTV, makufuli ... kila siku wanataka kuniuzia spea za pikipiki yangu, vioo vya TV kila siku nibadilishe .....!
🤮 🤮 🤮
HAKUNA UKOLONI MAMBOLEO MBAYA KAMA WA CHINA!
INABIDI TUMTOE BARU SHETANI! (Kwa sauti ya Gwajiboy!)
 
5G ni uvumbuzi ama ni nini??
3gpp alliance ndio wahusika wa 5g.

3gpp ni muungano WA kampuni nyingi jump utakuta.
Qualcomm
Samsung
Nokia
Erickson
Cisco
Verizon
Huawei, nk.

Na kama ukizungumzia mchango basi ni Qualcomm ya USA wamehusika pakubwa.
 
Asante kwa kunijuza mdau nashAngaa lile dubwana linanikaripia badala ya kunielekeza
 
Mkuu

China inajenga vitu vya low technology in massive scale.......thats can be done by anyone akipata mwekezaji

Ndio maana wanahamisha

China haijavumbua kitu

Simu haijavumbulia na China

China anatumia proprietary inventions za West na analipa royalties...hajawahi vumbua chochote

All inventions come from the West.

Kujenga kitu kwa maelekezo ya uvumbuzi wa mtu mwingine hakukufanyi wewe kua "mvumbuzi"
Yes ni Mwizi wa Technology lakini kafanikiwa. Hiyo Low Technology unayosema Mbona nchi yako haiwezi. Njoo Marekani kwenyewe uone items kutoka China zinavyouzwa. Marekani Mwenyewe anaumiza kichwa namna China inavyokuja kasi halafu wewe wa Mivumoni ndio unaleta Analysis eti Low Technology
 
Unaongea kama umepigwa ufunguo

Hata huelewi clasifications of technologies

China anatengeneza Low technology high volume items wakati USA na Europe wanajenga High Technology Low volume

Mfano ni China anajenga malapa ya kuvaa kulisha dunia nzima wakati USA anajenga Jet Engine moja akiuza ni zaidi ya malapa yote ya China aliyojenga kulisha dunia nzima kwa miaka kadhaa

Sasa unadhani technology ya kujenga Jet Engine una compare na upumbavu wakujenga malapa ya kuvaa?

Halafu unaonesha ulivyo mpumbavu kutaka ku-compare Tanzania niliyopo na China

Yaani kwa akili yako ya mavi unadhani kwavile hujui kucheza mpira kama Messi basi Messi akikosea uwanjani huna haki ya kukosoa kama mshabiki?Hivi unaelewa mshabiki ana haki ya kukosoa yeyote yule?

Hapa tupo washabiki wa USA na China,hatuna uwezo wa kucheza kama wao,ila tuna haki ya kukosa kama ilivyo ushabiki wa mpira,hivyo punguza ukichaa!

China anakuja kwa kasi kwa kukopi,atafikia mwisho wa kukopi,akili yake binafsi ya kuvumbua chochote hana

Ukivumbua kitu china ni mali ya serikali,kila mchina anaetaka kuvumbua au ana uvumbuzi wake chumbani anakata tiketi anaenda Silicon Valley Carlifornia kuandikisha patent maana USA ina mfumo imara na serious wa kisheria kulinda maslahi yake na sio China

At the end of the day nchi yenye mifumo imara ita prevail...and USA will prevail!

China inajenga ndala,ndoo,vyombo vya ndani,nguo cheap,utensils,mabati,solar,etc..vitu vyote vya low tech kuuzia wanadamu

Magari tu dunia bado haijaiamini China na magari yake,ndio maana barabarani yapo magari ya Japan,USA,Germany,UK,etc....Avuke magari kwanza ndio aje kwenye vitu vya ajabu kama Jet Engines,moja tu hela yake ni uchumi wa Tanzania wote
Umeandika Kama chizi aliyekatwa kichwa embu fatilia vizuri ulichoandika nikwambie tu China anakuja kutake over Kwa kila kitu izoo jeti engine unazosemea nikwambie tu China yupo kwenye majaribia ya mwisho ya ndege zake binafsi za abiria, utengenezaji wa magari China ameshatoka uko kitambo ana zaidi ya kampuni Saba za uundaji wa magari na miaka mitano ijayoo asilimia 30 ya magari yote ya umeme duniani yatakuwa yanatokea China, China ni muundaji mkubwa WA meli duniani kijana embu tafuta habari achana na vyombo vya magharibi vilivyoegemea upande mmoja WA habari sababu ya ugumu wa maisha ndyo maana China wanaleta bidhaa zenye Hadhi na thamani ya pesa uliyo nayoo Ila China Wana bidhaa Bora na nzurii snaa Leo hii upatikanaji wa bidhaa kama simu, computer na vingine vingi vimekuwa rahisi sababu ya China kama hukuwai kumiliki simu 2004 huwezi kujua thamani ya simu kipindi kile na Leo
 
Ni ukweli usiopingika China wako juu kiteknolojia na wamejidhatiti kuzidi kuishangaza dunia Kwa uvumbuzi mpya wa kiteknolojia kila kukicha

Huwa naangalia ZBC kipindi cha AMAZING CHINA,jamaa wamejipanga kisawasawa kiteknolojia na kiuchumi.Nikitoka kuangalia hiki kipindi kisha nikaanza kuvinjari viunga vya jiji la Dar es salaam nadiriki Kusema Dar ni kakijiji Fulani hivi kalikochangamka..Africa safari yetu bado haijaanza kabisa

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hahaaaaaa
 
Back
Top Bottom