Vita vya kibiashara ni haramu katika Uislamu

Vita vya kibiashara ni haramu katika Uislamu

Acheni kuwadanganya hao washamba, Wahazabe na Wamasai ni aibu kwa Taifa, wanahitaji kufundishwa ustaarabu, mambo ya kunya vichakani na kujisiriba kwa majani na kulala mapangoni, kujizonga mashuka na kuvaa ngozi za wanyama ni ushamba dunia imesha ondoka huko, acheni kuwadanganya waelemisheni waje waishi nyumba bora wapige pamba wa enjoy maisha, waache kuishi kama wanyama.
Ha ha ha unashangaza sana:
Maisha mazuri sio ya mjini pekee:
Wala sio unayoyawaza wewe:

Wamasai na Wahadzabe wanaishi katika asili ya jamii na mazingira halisi yasiyo na madhara:

Kidogo kidogo watabadilika kutokana na mabadiliko ya tabia nchi na sio kuwatoa ghafla katika mazingira yao ya asili na kuwaleta mjini:

Wataishi vipi ?

Huko porini wanaishi maisha mazuri kabisa kwakuwa asili inashabihiana nao:

Na wana katiba yao
Na lugha yao inayotakiwa kulindwa:
Na Dini yao nzuri sana:
 
Kuna kitu kinakupa tabu katika kichwa chako au hujakubaliana nacho.
Kitu kinapokuwa haramu haiwahusu waislamu peke yao ijapokuwa waislamu wasipotekeleza basi wanakuwa wanatafutia shida kwa makusudi.Hii ni kwa vile uharamu na uhalali umewekwa wazi kwenye dini yao.

Uharamu na madhara ya kufanya kilicho haramu hata akikifanya ambaye si muislamu tuseme mkristo au budha basi ubaya wake hautamuacha hapa duniani na atakuwa anawadhuru wengine ambao wanajiepusha na haramu hiyo.Kwa vile sote tunaishi sayari moja tuliyopangiwa na muumba wetu.

Wewe na mwengine yeyote yule wa dini yoyote ile basi hamna namna ya kuisha mbali na yale yaliyoharamishwa au kuhalalishwa na Mungu (ALLAH) ambayo kwa sasa yapo kwenye Qur'an na suna za Mtume s.a.w

Ni wajibu wa muislamu akiona haramu hizo zinatendeka duniani basi apate hofu kwani madhara yake hayataishia kwa hao wanaotenda peke yao.
Kula nyama ya nguruwe ni haramu kwa mwislamu, hilo lina wahusu nini wasio waislamu? Msijipe umuhimu kwenye hi dunia, hamna umuhimu huo nyie. Popote duniani, kiongozi akiwa muislam wenzenu huaga mnamtetea hata angefanya uovu kiasi gani, mtamtetea tu, kwenu nyie definition ya uovu ni lolote linalo fanywa na mtu asie wa imani yenu, bila kujali ni kibaya au kizuri.
 
Riba ndio kabisa hairuhusiwi na ina makatazo makali zaidi.
Ushindani wa kibiashara upo maeneo mengine sio kufanya ni vita.
Riba ni haramu, lakini kut*mba mtoto wa miaka 9 anayechezea midoli ni halali.

Hii dini inabidi mtu ujizime data ili uielewe.
 
Hakuna haram kwenye Uislamu:

Nyama ya Nguruwe ni haram, ukiwa na njaa kula:
Kwani wanaokula nyama ya
Nguruwe walikuambia kuwa wameshiba ?

Biashara zote zinafanywa na Uislamu na Waislamu, na hakuna biashara isiyo na ushindani.

Nyookeni acheni hizo rangi mbili:
Achana na dini ya watu baki na dini yako uendelee kujiliwaza
 
Wewe jamaa Webabu nahisi uko kwenye mission ya kufanya watu wachukie zaidi huo uislamu na Muhammad wenu, yaani hoja zako hufanya hiyo dini ionekane kama kituko cha kutupwa kule.
 
Achana na dini ya watu baki na dini yako uendelee kujiliwaza

Hiyo dini ndio iache kuharibu dunia, kabla ujio wa allah na Muhammad wake dunia ilikua na amani...

Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.

This led to:

They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.

Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
 
Hii kauli ni ya kuitafakali kwa kina
Siyo ya kuichukulia kiwepesi wepesi
 
Rasi Donald Trump wa Marekani anajaribu kadri iwezekanavyo bidhaa kutoka nje ziwe ghali kiasi kwamba wananchi wake wasizipate kwa urahisi ijapokuwa kwake hazipo.Na kinyume chake.

Mu'az amesimulia: Nimemsikia Mtume wa Allah akisema" Mbaya ni yule anayelundika bidhaa na kuifanya iwe adimu. Kama Allah akifanya bidhaa kuwa rahisi, yeye anachukia na kama Allah akiifanya kuwa ghali, anafurahi, (Razin, Baihaqi).

Maangamizo yatawathubutikia wapunjao (wenzao) Ambao wanapojipimia kwa watu hupokea (kipimo) kamili. Lakini wanapowapimia kwa (kipimo cha) vibaba au mizani (au vinginevyo), wao hupunguza. (83:1-3).

Na timizeni kipimo mpimapo; na pimeni kwa mizani zilizo sawa. Hayo ni wema kwenu na bora mwishoni (kwake). (17:35).

Anas amesimulia kuwa wakati mmoja katika wakati wa Mtume wa Allah bei ya vitu ilikuwa ghali. Wakamuomba Mtume: Ewe mtume wa Allah panga bei kwa nafuu yetu. Mtume wa Allah akajibu: Hakika Allah ndiye anayemiliki bei, anapunguza, anatoa kwa wingi, anatoa riziki, na ninapendelea sana nikutane na Bwana wangu katika hali ambayo hapana yeyote kati yenu atakayenifanya niwe na dhima juu ya damu (iliyomwagika kwa sababu yangu) au mali (aliyopunjwa kwa sababu yangu)! (Tirmidh, Abu Daud, Ibn Majah).

Hadithi hii inatupa fundisho kubwa kuwa Uislamu kama usivyoruhusu kukandamizwa na kudhulumiwa mnunuzi ndivyo hivyo hivyo isivyoruhusu kukandamizwa kwa mchuuzi au muuzaji.

Mtume (s.a.w.) akiwa kiongozi mkuu wa Serikali ya Kiislamu, hakuthubutu kutumia madaraka hayo na kuingilia haki za wafanya biashara waliopewa na Allah (s.w.).

Jibu lake kwa namna nyingine lilikuwa "anayepanga bei ni Allah (s.w.) kwa bei". Kutokana na hadithi hii hapana yeyote mwenye haki ya kukaa chini na kumpangia mfanya biashara bei iliyo kinyume na ile iliyojitokeza yenyewe sokoni. Kinachotakiwa kifanywe na nguvu za dola ni kutokomeza njama zote za ulanguzi na vikwazo vyote vya uchumi. Kisha kuwaacha huru wafanya biashara wauze bidhaa zao kwa bei halisi inayokubaliwa katika soko huru.
Kama bei anapanga ala inakuaje kipindi cha ramazani huwa mnatoa milio,vumilie bei kapanga ala.
 
Acheni kuwadanganya hao washamba, Wahazabe na Wamasai ni aibu kwa Taifa, wanahitaji kufundishwa ustaarabu, mambo ya kunya vichakani na kujisiriba kwa majani na kulala mapangoni, kujizonga mashuka na kuvaa ngozi za wanyama ni ushamba dunia imesha ondoka huko, acheni kuwadanganya waelemisheni waje waishi nyumba bora wapige pamba wa enjoy maisha, waache kuishi kama wanyama.
Kulala na kunya mapangoni kuna uhusiano gani na dini ya Kiislamu wewe? You guys huaga ni waongo kumzidi hadi shetani. Boko Haram wanaishi wapi? Hezbollah na Hamas sasa hvi wanaishi wapi? Si nao wapo kwenye mahandaki? Tofauti ya Handaki na PANGO ni nini? Hamas na Hezbollah wanasali, ni Waislamu wale, Boko Haram wanacho kifanya na walicho kifanya Hamas October 07, 2023 hakina Tofauti yoyote. Lini umesikia Wahadzabe wamepigana? Wamasai as well, bila kuchokozwa lini wamepigana na mtu/watu? Halafu Wamasai wapo na silaha muda wote na hawapigani. Mmasai (asie na dini ) akiwa na silaha hata ndani ya basi, abiria wengine wala hamna wasiwasi nae, sasa aingie mtu ambaye kavaa kanzu, chini ana sandals na kafuga ndevu say kwenye basi halafu ana silaha ya aina yoyote uone kama abiria watabaki humo; wote watashuka kwa kuhofia usalama wao. Uislam na vurugu ni sawa na Samaki na maji, ukiondoa maji, Samaki wanakufa
 
Anyway, the US is not a muslim country which makes your comments completely irrelevant.
Kuna waislamu na inafanya biashara na mataifa yenye waislamu.
 
"kwenu nyie definition ya uovu ni lolote linalo fanywa na mtu asie wa imani yenu, bila kujali ni kibaya au kizuri"

Mwisho wa kunukuu maneno ya Makwizi Band,
Posti namba 22
uovu unabaki kuwa ni uovu hata ukifanywa na mwislamu.Muhimu huo unaoitwa uovu lazima uwe umetajwa kwenye uislamu.
Unaweza ukaona kitu kama ni kawaida kikawa ni kiovu na kiovu kikawa kama ni kizuri.
Hajawahi kusifiwa muislamu anayefanya uovu na hivyo deifinition yako siyo kweli.
 
Kuna kitu kinakupa tabu katika kichwa chako au hujakubaliana nacho.
Kitu kinapokuwa haramu haiwahusu waislamu peke yao ijapokuwa waislamu wasipotekeleza basi wanakuwa wanatafutia shida kwa makusudi.Hii ni kwa vile uharamu na uhalali umewekwa wazi kwenye dini yao.

Uharamu na madhara ya kufanya kilicho haramu hata akikifanya ambaye si muislamu tuseme mkristo au budha basi ubaya wake hautamuacha hapa duniani na atakuwa anawadhuru wengine ambao wanajiepusha na haramu hiyo.Kwa vile sote tunaishi sayari moja tuliyopangiwa na muumba wetu.

Wewe na mwengine yeyote yule wa dini yoyote ile basi hamna namna ya kuisha mbali na yale yaliyoharamishwa au kuhalalishwa na Mungu (ALLAH) ambayo kwa sasa yapo kwenye Qur'an na suna za Mtume s.a.w

Ni wajibu wa muislamu akiona haramu hizo zinatendeka duniani basi apate hofu kwani madhara yake hayataishia kwa hao wanaotenda peke yao.
Haram kwa muislam inabaki kwake na kwa imani yake muislam tu. Laana haiwezi kumpata mtu wa imani nyingine hiyo haram ya kiislam kwa vile asiye muislam haathiriki chochote kwa makatazo yaliyoandikwa katika Quran ambayo Mkristo, Mhindu, Mmbudha, Mshinto na mpagani haiamini na aniona kama gazeti tu.
 
Unalosema ni sawa.Na hata mafundisho ya muislamu ni kwamba ni wajibu kuelimisha na si kulazimisha.
Kilichomuhimu ni kwamba asiye muislamu lazima aheshimu waislamu anaoishi nao.Na asiwalazimishe kufanya haramu au kusaidia haramu kwao.
Kama kunywa pombe kwako ni sawa juu ya kwamba uharamu wake na wewe haukuwachi salama sawa.Kunywa maeneo yaliyo mbali na waislamu.Isiwe unakuja mpaka majumba ya waislamu na kuanza kuwashawishi watu wanywe kama wewe.
 
Hata muislam anakosea sana kutoheshimu Imani zingine. Hasa uarabuni.
 
Hata muislam anakosea sana kutoheshimu Imani zingine. Hasa uarabuni.
Wapi ambapo imani za wengine haziheshimiwi.Tatizo la dini zenu mnapenda kulazimisha pale ambapo hapana ulazima.
Huoni makanisa yapo mpaka Gaza walipo Hamas na hakukuwahi kutokea msuguano baina yao na wakristo wa huko.Na Hamas ndio waliokasirika wakati mtangazaji mashuhuri wa Aljazeera ambaye ni mkristo alipouliwa na mayahudi.
 
Kuna waislamu na inafanya biashara na mataifa yenye waislamu.
Elewa hoja yangu, ni kwamba inawezekana kuna waislam nchini Marekani lakini Marekani sio nchi ya kiislam hivyo haiwajibiki kujua nini msimamo wa uislamu katika jambo lolote na hata Tanzania pia tuko hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom