Vita vya kibiashara ni haramu katika Uislamu

Vita vya kibiashara ni haramu katika Uislamu

Hivi ukiwa mtoto wa Mungu unahitaji malipo gani zaidi ya hayo?
Mwana wa Mungu anakuwa na uwezo wa kufanya chochote kinachompendeza yeye na Mungu.

Ndio maana Yesu Kristo hakuitamani dunia na sheshe zake:

Akitaka mvinyo anautengeneza kwa neno tu:
Akitaka kula mikate na samaki anatamka tu na inakuja:

Sasa ukiwa na huo uwezo unahitaji nini tena:
Uwana wa Mungu ndio kikoma cha uhitaji:
Mbingu ya wakristo ni ngumu
 
Mbingu ya wakristo ni ngumu
Ndio hapo unapo pata fulsa ya kuchagua:
Kutokana na ahadi ulizo ahidiwa:

Kati ya jambo jema ambalo Mungu amewapa Binadamu pekee ni:
UHURU WA KUCHAGUA

Unaweza kuchagua kufa au kiishi:
Unaweza kuchagua kumwabudu Mungu au Shetani:
Unaweza kuchagua kunywa maziwa na Asali 🤣🤣🤣🤸🤸🤸
 
Ndio hapo unapo pata fulsa ya kuchagua:
Kutokana na ahadi ulizo ahidiwa:

Kati ya jambo jema ambalo Mungu amewapa Binadamu pekee ni:
UHURU WA KUCHAGUA

Unaweza kuchagua kufa au kiishi:
Unaweza kuchagua kumwabudu Mungu au Shetani:
Unaweza kuchagua kunywa maziwa na Asali 🤣🤣🤣🤸🤸🤸
Mi nachagua ngono
 
Huo unaouita ujinga ndio umeileta dunia kuwa pahala salama pa kuishi.
Allah kaumba kwa hekima zake na kwa uadilifu mkubwa kila eneo liwe na rasilimali zake ili waja wake wakaribiane
Marekani hawezi kuwa na kila bidhaa kama unavyodai.Zile walizonazo wengine lazima aziagize kwa nidhamu na za kwake asilazimishe wengine wazikose kifisadi.
ukileta mambo ya kiislam hutaeleweka, tupilia mbali uislam mada yako ieleweke
 
Kulala na kunya mapangoni kuna uhusiano gani na dini ya Kiislamu wewe? You guys huaga ni waongo kumzidi hadi shetani. Boko Haram wanaishi wapi? Hezbollah na Hamas sasa hvi wanaishi wapi? Si nao wapo kwenye mahandaki? Tofauti ya Handaki na PANGO ni nini? Hamas na Hezbollah wanasali, ni Waislamu wale, Boko Haram wanacho kifanya na walicho kifanya Hamas October 07, 2023 hakina Tofauti yoyote. Lini umesikia Wahadzabe wamepigana? Wamasai as well, bila kuchokozwa lini wamepigana na mtu/watu? Halafu Wamasai wapo na silaha muda wote na hawapigani. Mmasai (asie na dini ) akiwa na silaha hata ndani ya basi, abiria wengine wala hamna wasiwasi nae, sasa aingie mtu ambaye kavaa kanzu, chini ana sandals na kafuga ndevu say kwenye basi halafu ana silaha ya aina yoyote uone kama abiria watabaki humo; wote watashuka kwa kuhofia usalama wao. Uislam na vurugu ni sawa na Samaki na maji, ukiondoa maji, Samaki wanakufa
Kuna miji kama Kisimayu huko Somalia sehemu ya mkusanyiko wa watu kama sokoni stendi, ikisikika sauti ya mtu anaimba "Allahu Akbaru" kunatokea taharuki kubwa sana, watu wa dini moja wanakimbia kwa hofu kuokoa maisha yao:

Kuna mtafiti mmoja aliongea kuwa tunakoelelea wimbo wa "Allahu Akbar" utakuwa ndio wimbo unao ogopwa zaidi na watu wa dini zote ikijumuishwa na wao:

Maana sasa inaanza kuzoeleka baada ya kusikika huo wimbo, unafuatia mlipuko mkuwa wenye madhara mengi kwa viumbe hai vya dunia:

Na akauliza
Who is Allah ?

Ni mara elfu kuishi na WAHADZABE, watu waliostaarabika katika viwango bora kabisa:
 
Soma maandishi yako bro, nipo na wewe
Nionyeshe wapi nimetaja Dini, usinikokote kwenye kilevi cha imani, mimi naongozwa na akili sio imani.
1000017369.jpg
 
Ahadi Waliyo ahidiwa Wakristo ni ahadi ambayo haijawahi kutolewa kwa Binadamu, Malaika, Shetani au Jinni.
Ahadi yenyewe ni hii hapa
....................
Yohana 1:10
Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.

11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.

12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
..................
Ukiwa na hadhi ya kuwa mtoto wa Mungu ni kwamba uko juu ya mahitaji ya kimwili kama hayo ya kibinadamu:

Unakuwa juu ya habari za kunywa Maziwa na Asali, na kufurahia wanawake warembo:
Unakuwa mtawala wa viumbe vyote, yaani Mfalme wa Kiroho:

Hakuna kiumbe kilichowahi kupewa hiyo ahadi toka dunia iumbwe:
Iko very vague.Wewe ndio umeongeza mengine.
Wakristo hawana walichoahidiwa huko mbinguni.Watakachokikuta ndio hicho.
Ukiwa mtoto wa Mungu ndio ule asali wakati Mungu hali wala hanywi.
Kwa imani ya kiislamu kama mtaondoka bila kumuamini mtume wa mwisho rehma na amani zimfikie na kufuata mafunzo yake basi mtakachokikuta ni kibaya sana kama kitakachowapata waislamu wanafiki.Hamtaonja chochote kitamu na kinachoburudisha.
 
Kuna miji kama Kisimayu huko Somalia sehemu ya mkusanyiko wa watu kama sokoni stendi, ikisikika sauti ya mtu anaimba "Allahu Akbaru" kunatokea taharuki kubwa sana, watu wa dini moja wanakimbia kwa hofu kuokoa maisha yao:

Kuna mtafiti mmoja aliongea kuwa tunakoelelea wimbo wa "Allahu Akbar" utakuwa ndio wimbo unao ogopwa zaidi na watu wa dini zote ikijumuishwa na wao:

Maana sasa inaanza kuzoeleka baada ya kusikika huo wimbo, unafuatia mlipuko mkuwa wenye madhara mengi kwa viumbe hai vya dunia:

Na akauliza
Who is Allah ?

Ni mara elfu kuishi na WAHADZABE, watu waliostaarabika katika viwango bora kabisa:
Huyo mtafiti hakukamilisha kazi yake.Hao watu sio kwamba wanakimbia bali walikuwa wanakimbilia msikitini.Hata Tanzania inatokea kidogo hiyo.Angalia maeneo ya Kariakoo huo unaouita wimbo ukipigwa utaona kundi la watu wanaelekea upande ilipo misikiti.
Mimi mwenyewe niliwahi kutembelea mji mmoja huko kwa waarabu.nI soko kubwa sana la dhahabu.Huo wimbo ukipigwa tu watu wanakimbizana huku wakiacha hata kufunga maduka yao.Muda mfupi tu utaona wote wamelala na kusujudu ardhini.
Baada ya hapo wanainuka na kurudi kwenye maeneo yao kuonesha kuwa hawakukimbia kiukweli bali walikuwa wanakimbila wito.
 
Rasi Donald Trump wa Marekani anajaribu kadri iwezekanavyo bidhaa kutoka nje ziwe ghali kiasi kwamba wananchi wake wasizipate kwa urahisi ijapokuwa kwake hazipo.Na kinyume chake.

Mu'az amesimulia: Nimemsikia Mtume wa Allah akisema" Mbaya ni yule anayelundika bidhaa na kuifanya iwe adimu. Kama Allah akifanya bidhaa kuwa rahisi, yeye anachukia na kama Allah akiifanya kuwa ghali, anafurahi, (Razin, Baihaqi).

Maangamizo yatawathubutikia wapunjao (wenzao) Ambao wanapojipimia kwa watu hupokea (kipimo) kamili. Lakini wanapowapimia kwa (kipimo cha) vibaba au mizani (au vinginevyo), wao hupunguza. (83:1-3).

Na timizeni kipimo mpimapo; na pimeni kwa mizani zilizo sawa. Hayo ni wema kwenu na bora mwishoni (kwake). (17:35).

Anas amesimulia kuwa wakati mmoja katika wakati wa Mtume wa Allah bei ya vitu ilikuwa ghali. Wakamuomba Mtume: Ewe mtume wa Allah panga bei kwa nafuu yetu. Mtume wa Allah akajibu: Hakika Allah ndiye anayemiliki bei, anapunguza, anatoa kwa wingi, anatoa riziki, na ninapendelea sana nikutane na Bwana wangu katika hali ambayo hapana yeyote kati yenu atakayenifanya niwe na dhima juu ya damu (iliyomwagika kwa sababu yangu) au mali (aliyopunjwa kwa sababu yangu)! (Tirmidh, Abu Daud, Ibn Majah).

Hadithi hii inatupa fundisho kubwa kuwa Uislamu kama usivyoruhusu kukandamizwa na kudhulumiwa mnunuzi ndivyo hivyo hivyo isivyoruhusu kukandamizwa kwa mchuuzi au muuzaji.

Mtume (s.a.w.) akiwa kiongozi mkuu wa Serikali ya Kiislamu, hakuthubutu kutumia madaraka hayo na kuingilia haki za wafanya biashara waliopewa na Allah (s.w.).

Jibu lake kwa namna nyingine lilikuwa "anayepanga bei ni Allah (s.w.) kwa bei". Kutokana na hadithi hii hapana yeyote mwenye haki ya kukaa chini na kumpangia mfanya biashara bei iliyo kinyume na ile iliyojitokeza yenyewe sokoni. Kinachotakiwa kifanywe na nguvu za dola ni kutokomeza njama zote za ulanguzi na vikwazo vyote vya uchumi. Kisha kuwaacha huru wafanya biashara wauze bidhaa zao kwa bei halisi inayokubaliwa katika soko huru.
Kinachofanyika ni kulinda soko la ndani kwa maendeleo ya wananchi.

Adui yako akikuvamia! Je utajibu mapigo au utafata ya Allah kwakuwa amesema mpende adui yako?
 
Kinachofanyika ni kulinda soko la ndani kwa maendeleo ya wananchi.

Adui yako akikuvamia! Je utajibu mapigo au utafata ya Allah kwakuwa amesema mpende adui yako?
Mpaka jana Marekani ilikuwa na 346,871,707 pamoja na vichanga vyke.Inakuwaje nchi hiyo ifanye ugomvi wa kibiashara na dunia ikiwemo China ambko kuna mabilioni ya watu.
 
Kuna kitu kinakupa tabu katika kichwa chako au hujakubaliana nacho.
Kitu kinapokuwa haramu haiwahusu waislamu peke yao ijapokuwa waislamu wasipotekeleza basi wanakuwa wanatafutia shida kwa makusudi.Hii ni kwa vile uharamu na uhalali umewekwa wazi kwenye dini yao.

Uharamu na madhara ya kufanya kilicho haramu hata akikifanya ambaye si muislamu tuseme mkristo au budha basi ubaya wake hautamuacha hapa duniani na atakuwa anawadhuru wengine ambao wanajiepusha na haramu hiyo.Kwa vile sote tunaishi sayari moja tuliyopangiwa na muumba wetu.

Wewe na mwengine yeyote yule wa dini yoyote ile basi hamna namna ya kuisha mbali na yale yaliyoharamishwa au kuhalalishwa na Mungu (ALLAH) ambayo kwa sasa yapo kwenye Qur'an na suna za Mtume s.a.w

Ni wajibu wa muislamu akiona haramu hizo zinatendeka duniani basi apate hofu kwani madhara yake hayataishia kwa hao wanaotenda peke yao.
Quran ni kwa ajili ya waarabu na utamaduni wao wa karne ya saba na wala haituhusu sisi waafrika kwani nasi tuna utamaduni wetu kwa sisi waafrika tunaojitambua.
 
Quran ni kwa ajili ya waarabu na utamaduni wao wa karne ya saba na wala haituhusu sisi waafrika kwani nasi tuna utamaduni wetu kwa sisi waafrika tunaojitambua.
Ni kwa ajili ya watu wote ijapokuwa wengine hawataki kukifuata.
Miongoni mwa wanaokifuata kwa wingi ni waafrika mpaka watanzania kwa mamilioni wanakifuata.
 
Ni kwa ajili ya watu wote ijapokuwa wengine hawataki kukifuata.
Miongoni mwa wanaokifuata kwa wingi ni waafrika mpaka watanzania kwa mamilioni wanakifuata.
Watanzania wanaoenzi huo utamaduni wanapungua kila mwaka.
 
Back
Top Bottom