Vita kusimama muda wa siku 45

Vita kusimama muda wa siku 45

Akili hamna kabisa anatuka hovyo Rais anapost daraja kuvunjwa anashangilia😂

Hamn tena regine change.

Analeta mambo ya cinema anashangilia kumuokoa pailot wakati kapoteza ndege 4.
Wapepoteza ndege 8 kabla hapo tatu majuzi na tano jana moja ilikuwa drone MQ9 na huyo Pilot wao hawakuweza kumuokoa ni propoganda tu na pilot yupo mikononi mwa Iran.

USA alichezewa game huyo Pilot aliambiwa na Iran atume message ili waje wamuokoe alipo tuma wakaja kumuokoa kumbe Iran anawasubiri akawatandika vizuri mpaa waliomba ndege za vita waje wasaidie wakaja kuokolewa na ndege ba hizo ndege za vita sababu walipokuwa wanataka kukimbia ziluanguswa ndege zao mpaa zilipo kuja ndege za vita kuwaokoa kwa hamaki wakawa wanapiga maboom hovyo hovyo kama vichaa hu ndio ukweli nimeupata kutoka mchambuzi wa siri za Middle East.

America ni muongo anacho sema usikiamini lakini anacho sema Iran wengi wanasema kiamini 💯

Ngojea nikuwekee aliye chambua habari hizo na huyu akisema huwa ni 💯 kweli

View: https://youtu.be/6C1RdonDMTU?si=iysVwCW0I5JmVGOI

Nakuzidishia na hii pia pilot hakuokolewa

View: https://youtu.be/INReKeWmdjA?si=T9zHKbU186AS6QaV
 
Hauwez kuelewa kwasababu umejaa chuki na makasiriko mdogo wangu.

Najua unatetea kwa nguvu zote Iran. Unlike You. Mm naona ni sawa. Na mm natetea upande ninaoona uko sawa
Ndio maana nakwambia kua hujielewi na wala huelewi unachokiandika,sasa hivi umetuma habari na kufurahia sijui mkuu gani wa jeshi wa Iran kuuawa,halafu hapa unajifanaya eti unatetea upande unaoona uko sawa,
Hivi unafikiri sisi wote ni vilaza wenzako sio?
Alaf member akiwa upande wa US na Israel anakuwa ndio echolima?.
Hapo juu unasema unatetea upande unaoona uko sawa,halafu hapa unasema upo upande wa US na Israel,unafikiri mimi kukwambia kua hujielewi nabahatisha? nimesha kusoma toka mwanzo kabisa,ndio maana nilikwambia kua hata unachokiandika hukielewi,unajichanganya mwenyewe kwa kukosa kumbukumbu kwa ulichokisema mwanzo.
 
Ndio maana nakwambia kua hujielewi na wala huelewi unachokiandika,sasa hivi umetuma habari na kufurahia sijui mkuu gani wa jeshi wa Iran kuuawa,halafu hapa unajifanaya eti unatetea upande unaoona uko sawa,
Hivi unafikiri sisi wote ni vilaza wenzako sio?

Hapo juu unasema unatetea upande unaoona uko sawa,halafu hapa unasema upo upande wa US na Israel,unafikiri mimi kukwambia kua hujielewi nabahatisha? nimesha kusoma toka mwanzo kabisa,ndio maana nilikwambia kua hata unachokiandika hukielewi,unajichanganya mwenyewe kwa kukosa kumbukumbu kwa ulichokisema mwanzo.

Napata wasiwas kama uko sawa mdogo wangu.

Mm natetea upande ambao naona uko sawa.
Na upande naona uko sawa ni US-Israel.
Sasa hapo ulikuwa haujaelewa?..
Ulitaka niwe upande wa Iran kama ww? Kwamba wao ndio wako sawa?.
 
Kumbe huna hata kumbukumbu ya ulichokisema,
You should consider seeing a Psychologist.
 
Wapepoteza ndege 8 kabla hapo tatu majuzi na tano jana moja ilikuwa drone MQ9 na huyo Pilot wao hawakuweza kumuokoa ni propoganda tu na pilot yupo mikononi mwa Iran.

USA alichezewa game huyo Pilot aliambiwa na Iran atume message ili waje wamuokoe alipo tuma wakaja kumuokoa kumbe Iran anawasubiri akawatandika vizuri mpaa waliomba ndege za vita waje wasaidie wakaja kuokolewa na ndege ba hizo ndege za vita sababu walipokuwa wanataka kukimbia ziluanguswa ndege zao mpaa zilipo kuja ndege za vita kuwaokoa kwa hamaki wakawa wanapiga maboom hovyo hovyo kama vichaa hu ndio ukweli nimeupata kutoka mchambuzi wa siri za Middle East.

America ni muongo anacho sema usikiamini lakini anacho sema Iran wengi wanasema kiamini 💯

Ngojea nikuwekee aliye chambua habari hizo na huyu akisema huwa ni 💯 kweli

View: https://youtu.be/INReKeWmdjA?si=T9zHKbU186AS6QaV

Kuna kabinti katakuja kubisha na hii.
 
Kumbe huna hata kumbukumbu ya ulichokisema,
You should consider seeing a Psychologist.

Unajiabisha sana mdogo wangu.

Hebu rudia kusoma mara 2 tatu comments zangu.
Since beginning niko na US-Israel.
na ndio chanzo cha ww kuanza hizo kebehi zako.

Hayo ni maneno yako tu mdogo wangu. Ongea utakavyo. Ila Haiwez badili uhalisia , tathmini na mtazamo wangu kamwe.
 
Ulivyo mjinga hujui hata kua tathmini na mtazamo ni maneno yanayo pingana,
Kilaza mpya wa JF kapatikana.
 
Kwamba Tathmin na mtazamo maneno yanayopingana?.😎😎😎😎

Mdogo wangu. Napata wasiwas pia hata darasa la 7 hujamaliza.

Hebu google kwanza kabla haujajiabisha zaidi.

Ukishafanya Tathmin ndio unatoa mtazamo.

Alaf Hata huko kwa ndugu zako Iran mafuta yamepanda Bei maradufu.
Wana note mpya ya Mill 10.
  • Food inflation has surged to 105%, with the price of essential oils and fats increasing by 219%. To manage the currency's collapse, the central bank issued its largest-ever banknote (10 million rials).
  • The closure of the Strait of Hormuz has blocked 90% of Iran’s vital imports, including food and medicine.
 
Nafikiri Majini yako yamepanda subiru yakitulia utaongea!!

Kwa sasa nyamaza kimya utachanganyikiwa bure tu!!!
Trump kasurrender dogo utaipata sasa Israel kabaki pekee yake na Iran Shetanyahu atakusumbua kusafisha vyoo Pampers zitakuwa nyingi sana.

Iran anasema kusimamisha vita na USA au kuongea naye mambo ya peace ni ujinga tu anacho tafuta USA ni break ili ajipange upya. Tatizo ni Pakistan ndio anawakera Iran, na Iran kasema kama ni hivyo lazima USA alipe naasirudie tena kushambulia Iran na Al Houth na Hezbullah

View: https://youtu.be/CKMt-fPmynU?si=srygi5r3fpAZyc_a

USA lazima atakuja na uwongo tu
 
Wapepoteza ndege 8 kabla hapo tatu majuzi na tano jana moja ilikuwa drone MQ9 na huyo Pilot wao hawakuweza kumuokoa ni propoganda tu na pilot yupo mikononi mwa Iran.

USA alichezewa game huyo Pilot aliambiwa na Iran atume message ili waje wamuokoe alipo tuma wakaja kumuokoa kumbe Iran anawasubiri akawatandika vizuri mpaa waliomba ndege za vita waje wasaidie wakaja kuokolewa na ndege ba hizo ndege za vita sababu walipokuwa wanataka kukimbia ziluanguswa ndege zao mpaa zilipo kuja ndege za vita kuwaokoa kwa hamaki wakawa wanapiga maboom hovyo hovyo kama vichaa hu ndio ukweli nimeupata kutoka mchambuzi wa siri za Middle East.

America ni muongo anacho sema usikiamini lakini anacho sema Iran wengi wanasema kiamini 💯

Ngojea nikuwekee aliye chambua habari hizo na huyu akisema huwa ni 💯 kweli

View: https://youtu.be/6C1RdonDMTU?si=iysVwCW0I5JmVGOI

Nakuzidishia na hii pia pilot hakuokolewa

View: https://youtu.be/INReKeWmdjA?si=T9zHKbU186AS6QaV

Endeleeni tu kujifariji na kujipa moyo
 
Endeleeni tu kujifariji na kujipa moyo
Nilisha kuambia USA ka failed vibaya sana hata ingiza boots Iran.

Sa hivi analilia kuomba Pakistan awasemeshe Iran wayamalize bila masharti upande wake kwenye zile article 15 alizo toa mwanzo kwa hio watarudi pale pale walipo kataa deal na Iran plus atawalipa Iran ndio ceasefire itawezekana.

Kumbuka hio kusema 45 days hana jipya USA atacho fanya hawezi kuwa na base kwa hio ni kama kuficha aibu tu hakusurrender
 
Kwamba Tathmin na mtazamo maneno yanayopingana?.😎😎😎😎

Mdogo wangu. Napata wasiwas pia hata darasa la 7 hujamaliza.

Hebu google kwanza kabla haujajiabisha zaidi.

Ukishafanya Tathmin ndio unatoa mtazamo.
Mara hii umegeuka na kuanza kusema kua unaongea kwa Mtazamo na sio uhalisia tena!
Alaf Hata huko kwa ndugu zako Iran mafuta yamepanda Bei maradufu.
Wana note mpya ya Mill 10.
  • Food inflation has surged to 105%, with the price of essential oils and fats increasing by 219%. To manage the currency's collapse, the central bank issued its largest-ever banknote (10 million rials).
  • The closure of the Strait of Hormuz has blocked 90% of Iran’s vital imports, including food and medicine.
Wewe kilaza bei ya mafuta inapangwa au inaenda na soko la Dunia,nchi zote mafuta yamepanda bei,
Mbona unakua na ujinga uliopitiliza? hata huko kwenye nchi za Kiarabu wanakozalisha mafuta, pia mafuta yamepanda bei,hata nchi zenye akiba kubwa ya mafuta,bei imepanda,

Ndio maana nikakwambia,jifundishe ujue jinsi Dunia inavyokwenda,bado una safari ndefu sana.
 
Nilisha kuambia USA ka failed vibaya sana hata ingiza boots Iran.

Sa hivi analilia kuomba Pakistan awasemeshe Iran wayamalize bila masharti upande wake kwenye zile article 15 alizo toa mwanzo kwa hio watarudi pale pale walipo kataa deal na Iran plus atawalipa Iran ndio ceasefire itawezekana.

Kumbuka hio kusema 45 days hana jipya USA atacho fanya hawezi kuwa na base kwa hio ni kama kuficha aibu tu hakusurrender
Tatizo Wafuga Midevu na Majini mnasahau sana Kumbuka Iran alisema hakuna kuwa na Ceasefire tena Kama Israel wanavamia Iran sasa Iran anaongelea CEASEFIRE ya nini Kama kweli Mwanaume!!
 
Naona America kajitahidi kwa kutumia pressure kwa nchi hizi Oman, Egypt, Pakistan na Turkey na nchi za Europe wamuambie Iran dunia inapata tabu sana akubali kusimamisha vita kama 1st step ili badaye waje na solution ya maana moja wapo ikiwa nikuondolewa vikwazo Iran. Trump alianza mpaa kulia eti atatumia Nuclear Iran wala hawakujali

Bada kidogo tutasikia America anasema Iran ndio kaomba vile hahaha

Tatizo Israel wanahara debe ikiwa USA na Iran watafanya deal hapo ni kama kuwapa green light Iran waimalize Israel

View: https://youtu.be/7KfodUArUD8?si=l-v4udKxFzJNBZJ5

==========

Iran and the United States have received a plan to end hostilities that could come into effect on Monday and ‌reopen the Strait of Hormuz, a source aware of the proposals said on Monday.

A framework to end hostilities has been put together by Pakistan and exchanged with Iran and the U.S. overnight, the source said, outlining a two-tier approach with an immediate ceasefire followed by a comprehensive agreement.

"All elements need to be agreed today," the source said, adding the initial understanding would be structured as a memorandum of understanding finalised electronically through Pakistan, the sole communication channel in ⁠the talks.

Axios first reported on Sunday that the United States, Iran and regional mediators were discussing a potential 45-day ceasefire as part of a two-phase deal that could lead to a permanent end to the war, citing U.S., Israeli and regional sources.

The source told Reuters Pakistan's army chief, Field Marshal Asim Munir, has been in contact "all night long" with U.S. Vice President JD Vance, special envoy Steve Witkoff and Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi.

Source: Reuters

Chanzo ni credible lakini taarifa yenyewe bado ni source-based, sio official confirmation.

Kwa mtizamo wangu diplomacy ya aina hii huwa na leaks nyingi kabla ya makubaliano rasmi.

Pia historically Marekani na Iran hutumia Oman au Qatar kama mediators, sio Pakistan pekee.

Kwa hiyo hii ni indication ya talks zinaendelea, sio proof kwamba ceasefire tayari imekubaliwa.
 
Mara hii umegeuka na kuanza kusema kua unaongea kwa Mtazamo na sio uhalisia tena!

Wewe kilaza bei ya mafuta inapangwa au inaenda na soko la Dunia,nchi zote mafuta yamepanda bei,
Mbona unakua na ujinga uliopitiliza? hata huko kwenye nchi za Kiarabu wanakozalisha mafuta, pia mafuta yamepanda bei,hata nchi zenye akiba kubwa ya mafuta,bei imepanda,

Ndio maana nikakwambia,jifundishe ujue jinsi Dunia inavyokwenda,bado una safari ndefu sana.

Ww mtoto mdogo ambaye unasema Tathmini na mtazamo zinakinzana.
Hiyo Nimekujibu ile hoja yako uliyosema US mafuta yamepanda bei. Kuonyesha Hata Iran yamepanda maradufu.

Mara hii umegeuka na kuanza kusema kua unaongea kwa Mtazamo na sio uhalisia tena!

Ujiandikishe Memkwa dogo. Ukaondoe Ujinga.
Maneno yangu ni haya .👇👇👇👇

Hayo ni maneno yako tu mdogo wangu. Ongea utakavyo. Ila Haiwez badili uhalisia , tathmini na mtazamo wangu kamwe.

Wap nimebadili?.
Tangu mwanzo i stand firm kutetea Hoja zangu, hauwez niyumbisha kamwe mdogo wangu.

Vipi? Usha google kujua kuwa Tathmin na mtazamo hazikingani?.
 
Back
Top Bottom