Vita kusimama muda wa siku 45

Vita kusimama muda wa siku 45

IngLisH ndefu but USA wins economic war

They will control over 50% ya globs oil supply Chain
Wacha kuropoka wewe. Hiyo global oil atayoi control USA ya nyokwe!??
Wakati huo washindani wake wako wapi??
Pia unajisahaulisha kuwa tarrif war alizozianzisha USA zishampotezea ushawishi duniani na zinaendelea kumpotezea ushawishi.
 
Hizo ndoto kesho itapita hawezi fanya lolote anajua kitakacho mkuta

Iran kamuambia kesho utaona dilaha zetu za siri zikitua Washington endelea na ujinga wako

View: https://youtu.be/59eHO6Vk9oQ?si=ItQ5d69_LcrLBaeR

Uru s I pia kamuambia America acha lugha ya kutisha tisha umeshindwa vita rudi kwenye mazungumzo ukijidai kutumia Nuclear na sisi rutsingia vita vya ww3

Tunahesabu masaa tu sasa hivi.

Russia aende zake akapambane na Ukraine ni mwaka wa tano sasa bado anapigana kuteka mkoa tu katika hiyo nchi na jana tu amelipuliwa kinu cha kusafisha mafuta.
 
Tunahesabu masaa tu sasa hivi.

Russia aende zake akapambane na Ukraine ni mwaka wa tano sasa bado anapigana kuteka mkoa tu katika hiyo nchi na jana tu amelipuliwa kinu cha kusafisha mafuta.
Mimi nakuambia Iran hi vita hashindwi je USA wataweza vumilia ICBM za Iran kumbukeni hizo zinabeba Nuclear America anazo 400 Iran ni 500 je Kim alisho wapa Iran Nuclear hapo ndio swali.


Nani kakuambia Iran anamtegemea Mrusi nilicho sema Ikiwa USA atatumia Nuclear Russia 💯 Atatumia pia Nuclear kumuwahi kichaa asidhani anacheza play station
 
Naona America kajitahidi kwa kutumia pressure kwa nchi hizi Oman, Egypt, Pakistan na Turkey na nchi za Europe wamuambie Iran dunia inapata tabu sana akubali kusimamisha vita kama 1st step ili badaye waje na solution ya maana moja wapo ikiwa nikuondolewa vikwazo Iran. Trump alianza mpaa kulia eti atatumia Nuclear Iran wala hawakujali

Bada kidogo tutasikia America anasema Iran ndio kaomba vile hahaha

Tatizo Israel wanahara debe ikiwa USA na Iran watafanya deal hapo ni kama kuwapa green light Iran waimalize Israel


View: https://youtu.be/7KfodUArUD8?si=l-v4udKxFzJNBZJ5


==========

Iran and the United States have received a plan to end hostilities that could come into effect on Monday and ‌reopen the Strait of Hormuz, a source aware of the proposals said on Monday.

A framework to end hostilities has been put together by Pakistan and exchanged with Iran and the U.S. overnight, the source said, outlining a two-tier approach with an immediate ceasefire followed by a comprehensive agreement.

"All elements need to be agreed today," the source said, adding the initial understanding would be structured as a memorandum of understanding finalised electronically through Pakistan, the sole communication channel in ⁠the talks.

Axios first reported on Sunday that the United States, Iran and regional mediators were discussing a potential 45-day ceasefire as part of a two-phase deal that could lead to a permanent end to the war, citing U.S., Israeli and regional sources.

The source told Reuters Pakistan's army chief, Field Marshal Asim Munir, has been in contact "all night long" with U.S. Vice President JD Vance, special envoy Steve Witkoff and Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi.

Source: Reuters


Ulichoandika wewe na kile kilichopo kwenye habari yenyewe ni tofauti! Ni tatizo la lugha au kukosa umakini?
 
Siasa za Marekani Middle East na Gulf nation ziko far beyond na unavyofikiria.
Ni kwa vile Trump ana kamdomo.
Ila meng yanafanywa nyuma ya Pazia.

Ukiacha Iran , Syria na Yemen.
Hebu nitajie nchi nyingne ya pale Middle East ambayo sio Rafik na USA?.

alaf Miongo 3 nyuma kama huu urafik ulikuwepo.
Urafiki au ukoloni, humjui hayo mahusiano kaaa kimya
 
UKIONA MARAFIKI NA NDUGU ZAKO WANAKUKATAA UJUE UNACHOFANYA SIO KITU SAHIHI. Nasikitika kusema wanasapoti Marekani ni wajinga, yaani Ulaya Japani Canada Australia wote wamemgomea harafu wewe rofa WA afrika moshipa ya shingoni imekutoka et unafurahia dhuluma anayo fanya USA wewe ni chizi, na unamahaba ya kichizi.
USA Hana urafiki na nchi za ghuba ila yupo pale kuilinda Israel, na anazikalia nchi hizo kimabavu haziko huru, viongozi wake wanalindwa na iSrael na marekani, Hawawezi kuchagua kiongozi yeyote atakaye kwenda kinyume na masrahi ya marekani na Israel. Mfano misri walimchagia Morsi mosad walimpindua na akauwawa
 
Back
Top Bottom