Vita kusimama muda wa siku 45

Vita kusimama muda wa siku 45

Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.

Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.

Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.

Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.

Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Kwa hiyoo wameweka tayari kibaraka wao??
Kauliwa Ayatollah karudi Ayatollah
Akiuliwa kamanda mwenye cheo fasta nafasi yake inachukuliwa na mungine
Vita ni malengo kama vitaisha Leo basi Iran kashinda
 
Kwa hiyoo wameweka tayari kibaraka wao??
Kauliwa Ayatollah karudi Ayatollah
Akiuliwa kamanda mwenye cheo fasta nafasi yake inachukuliwa na mungine
Vita ni malengo kama vitaisha Leo basi Iran kashinda

Sio kuweka kibaraka wao.
awekwe yoyote, ila atakayewekwa afuate maelekezo yanayonufaisha pia USA.

kiongoz akae yoyote.
Mfano Ni kama Siasa za TZ.
wapinzan wako. Ila walikuwa wanafanya interest za CCM. Na ukikataa maelekezo ndio yanakukuta ya Lissu.

Hili jambo sio geni kabisa.
 
Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.

Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.

Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.

Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.

Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Unaamini kijana aliyeuliwa familia yake yoote na USA naawezakuwa puppet wa Marekani?
Jamani tuacheni matamanio tujadili nje ya box kwa bahati nzuri humu hakuna Muiran wala Mzayuni hata mmoja 😁
 
Naona America kajitahidi kwa kutumia pressure kwa nchi hizi Oman, Egypt, Pakistan na Turkey na nchi za Europe wamuambie Iran dunia inapata tabu sana akubali kusimamisha vita kama 1st step ili badaye waje na solution ya maana moja wapo ikiwa nikuondolewa vikwazo Iran. Trump alianza mpaa kulia eti atatumia Nuclear Iran wala hawakujali

Bada kidogo tutasikia America anasema Iran ndio kaomba vile hahaha

Tatizo Israel wanahara debe ikiwa USA na Iran watafanya deal hapo ni kama kuwapa green light Iran waimalize Israel

View: https://youtu.be/7KfodUArUD8?si=l-v4udKxFzJNBZJ5

==========

Iran and the United States have received a plan to end hostilities that could come into effect on Monday and ‌reopen the Strait of Hormuz, a source aware of the proposals said on Monday.

A framework to end hostilities has been put together by Pakistan and exchanged with Iran and the U.S. overnight, the source said, outlining a two-tier approach with an immediate ceasefire followed by a comprehensive agreement.

"All elements need to be agreed today," the source said, adding the initial understanding would be structured as a memorandum of understanding finalised electronically through Pakistan, the sole communication channel in ⁠the talks.

Axios first reported on Sunday that the United States, Iran and regional mediators were discussing a potential 45-day ceasefire as part of a two-phase deal that could lead to a permanent end to the war, citing U.S., Israeli and regional sources.

The source told Reuters Pakistan's army chief, Field Marshal Asim Munir, has been in contact "all night long" with U.S. Vice President JD Vance, special envoy Steve Witkoff and Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi.

Source: Reuters

Hahahaha Iran kawambia kuwa
Vipengele vyote vinahitaji kukubaliwa leo,"
 
Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.

Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.

Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.

Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.

Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Endelea kuota ndoto za mchana,itakua huijui Iran vizuri,
Futa hiki ulichokiandika hapa ili tusije kuonekana hamnazo kwa generation itakayo kuja.
 
Unaamini kijana aliyeuliwa familia yake yoote na USA naawezakuwa puppet wa Marekani?
Jamani tuacheni matamanio tujadili nje ya box kwa bahati nzuri humu hakuna Muiran wala Mzayuni hata mmoja 😁

Haiwezekan akawa puppet.
Ila anaweza akabalance mzani ukawa 50/50. Au akawa kama Baba yake na akauliwa pia.

kama anajiamini atoke hadharan ajigambe aone.

Kwahiyo mambo ni mawili.
Akubaliane na maridhiano na maelekezo ili atoke hadharan. Au ajifiche na kuongoza nchi yake akiwa mafichoni.
 
Nimesoma comments zako za nyuma.
Nimeona hoja zako zimejikita ndan ya Chuki uliyonayo dhidi ya USA kiasi cha kufanya uwe kipofu na usione hali halisi.

Muda ni Mwalim mzuri.
tutarud hapa soon kuona namna huu msala wa Harmuz itavyosawazishwa.

Maana ndio pekee kilichobaki.

Talking about ndege vita za USA.
Hivi Ni ngap vile wameziangusha toka tar 28? .
Kuna damage nyingne zaid ya hizo ndege?.
Alaf ukimaliza kupata jibu linganisha VS gharama ya kuuliwa Viongoz wa Iran.
Utaona lipi ni zito.
Wewe ndio unaonekana unajadili kwa chuki dhidi ya Iran,
Hivi wewe jamaa unajielewa kweli? unaandika pumba ambazo hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuandika,
Jipe muda ujielimishe kwanza kuliko kujitia aibu hapa.
 
Huyo kaandika mambo ambayo anatamani yatokee ili kujifariji tu,wishful thinking
Haijui Iran vizuri.

Siasa za Marekani Middle East na Gulf nation ziko far beyond na unavyofikiria.
Ni kwa vile Trump ana kamdomo.
Ila meng yanafanywa nyuma ya Pazia.

Ukiacha Iran , Syria na Yemen.
Hebu nitajie nchi nyingne ya pale Middle East ambayo sio Rafik na USA?.

alaf Miongo 3 nyuma kama huu urafik ulikuwepo.
 
Muda ni Mwalim mzur.

Mlisema haya toka Hata vita haijaanza. Lakin uhalisia unauona.
Tulisema nini?
Muda gani huo unaousubiri? vita inapiganwa zaidi ya mwezi sasa US + Israel dhidi ya nchi moja Iran,hilo halikushangazi bado? Super power kashindwa kufungua Hormuz,kaomba msaada Nato wakamgomea,akaamua kutuma nchi zingine ziongee na Iran,

Hebu punguza speed ili usipotee zaidi coz umesha potea tayari.
 
Wewe ndio unaonekana unajadili kwa chuki dhidi ya Iran,
Hivi wewe jamaa unajielewa kweli? unaandika pumba ambazo hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuandika,
Jipe muda ujielimishe kwanza kuliko kujitia aibu hapa.

mm niko non-align.
Naangalia history ya hizi vita za Kiuchum zinavyopigana ikihusisha USA.

Ukikejeli sio kwamba ww ndio unaelewa zaid. Ila inadhihirisha namna gan una jazba.

M not easily offended.
 
Siasa za Marekani Middle East na Gulf nation ziko far beyond na unavyofikiria.
Ni kwa vile Trump ana kamdomo.
Ila mengi yanafanywa nyuma ya pazia.

Ukiacha Iran , Syria na Yemen.
Hebu nitajie nchi nyingne ya pale Middle East ambayo sio Rafik na USA?.

alaf Miongo 3 nyuma kama huu urafik ulikuwepo.
Yani mambo yanafanywa nyuma ya pazia,lakini Iran hayajui ila wewe uliyepo Nzega vijijini huko ndio unayajua sio?

Kumbe wewe jamaa ni kilaza wa kiwango hiki!
 
Tulisema nini?
Muda gani huo unaousubiri? vita inapiganwa zaidi ya mwezi sasa US + Israel dhidi ya nchi moja Iran,hilo halikushangazi bado? Super power kashindwa kufungua Hormuz,kaomba msaada Nato wakamgomea,akaamua kutuma nchi zingine ziongee na Iran,

Hebu punguza speed ili usipotee zaidi coz umesha potea tayari.

Na ndio siasa yenyewe inachezwa namna hiyo.

Kwahiyo ushafikiri kuwa Iran kashinda? 😂😂😂😂.

ww ni shahid hata Vita ya Russia na Ukraine, Puttin alisema ndan ya siku 4 Russian atakuwa Kyiv.

Ila had leo vita vinapigana.
Je unataka kusema Ukrain ameshinda? Only kwa sababu Kyiv haijafikiwa?.

Vita zote hizi zitamalizia kwa maridhiano ambayo yatakuwa 50/50 na itakuwa ushind kwa USA kwasababu mwanzo ilikuwa 0/100 in favour ya Iran.
 
Yani mambo yanafanywa nyuma ya pazia,lakini Iran hayajui ila wewe uliyepo Nzega vijijini huko ndio unayajua sio?

Kumbe wewe jamaa ni kilaza wa kiwango hiki!

😂😂😂😂😂 sio Nzega. Niko namtumbo kilangale ndan ndan huku. Kwa shemej angu

Nakushangaa ww unayekebeh mtu wakat wa kujadiliana nae.
Heshima niliyokuwa nimeweka juu yako imeshuka Hadi 0.

Nikajua ww ni moja ya watu makini.
 
Na ndio siasa yenyewe inachezwa namna hiyo.

Kwahiyo ushafikiri kuwa Iran kashinda? 😂😂😂😂.

ww ni shahid hata Vita ya Russia na Ukraine, Puttin alisema ndan ya siku 4 Russian atakuwa Kyiv.

Ila had leo vita vinapigana.
Je unataka kusema Ukrain ameshinda? Only kwa sababu Kyiv haijafikiwa?.

Vita zote hizi zitamalizia kwa maridhiano ambayo yatakuwa 50/50 na itakuwa ushind kwa USA kwasababu mwanzo ilikuwa 0/100 in favour ya Iran.
Wewe bila shaka ni wale walokole pori wanao amini Yahudi ni mlokole mwenzao,ndio maana wanakua wanaandika vitu vya kijinga dhidi ya Iran,
Raia wengi wa US na Europe wenyewe wanasema hii vita imewatia hasara na hakuna lengo lililofanikiwa,ila wewe uliyepo Nzega vijijini huko unadai US kapata ushindi!

Umerukia Russia na Ukraine tena? Mzee piga tu kimya ili usiendelee kujiaibisha.
 
Yani mambo yanafanywa nyuma ya pazia,lakini Iran hayajui ila wewe uliyepo Nzega vijijini huko ndio unayajua sio?

Kumbe wewe jamaa ni kilaza wa kiwango hiki!

😂😂😂😂😂 sio Nzega. Niko namtumbo kilangale ndan ndan huku. Kwa shemej angu

Nakushangaa ww unayekebeh mtu wakat wa kujadiliana nae.
Heshima niliyokuwa juu yako imeshuka sana.

Nikajua ww ni moja ya watu makini
Unaangalia historia! wewe jama utakua na shida aisee,
Iran wenyewe wanasema wao sio Venezuela na wamethibitisha hilo,yani unatabiri matokeo ya vita kwa historia!

Tofaut na Venezuela ni kuwa Wao Rais wao yuko hai wakat Iran viongozi karibia 100 wameuliwa.
 
Back
Top Bottom