Vita kusimama muda wa siku 45

Vita kusimama muda wa siku 45

Hakuna hata hoja moja uliyoitoa hapa,
Sasa sana umekimbilia kwenye comments za zamani za mtu uliyekua unajibizna nae kisha ukarudi na kumwabia kua eti umeangalia comments zake za nyuama na kugundua kua ana comment kwa kuipenda Iran,yani mwanaume mzima unaenda kuchunguza comments za nyuma za mwanaume mwenzako,umbea waachie wanawake,wewe utakua na tatizo kubwa ila bado hujajijua tu,

Yani mpaka karne hii unaona kunywa chai ni jambo kubwa sana,yani unamuuliz mtu usiyemjua mtandaoni eti umekunya chai! hilo swali linaonyesha wazi kabisa level za maisha unayo yaishi,

When you are loss,speed is useless,speed is irrelevant if you are not heading in the right direction,sasa wewe umepotea njia ila unaenda kwa speed ile ile,matokeo yake unageuka kua kituko bila kujijua.

😂😂😂😂 usipanick mdogo wangu.
Hii ni habar ya muda mfup uliopita

Iran says the intelligence chief of the Islamic Revolutionary Guard Corps, Majid Khademi, was killed in a US-Israeli strike on Monday morning - Israel later claims responsibility.
 
Siasa unazo ziongea kwa sasa zimepitwa na wakati we unajua nchi za Gulf states Qatar, Kuwait wanadai America kawaletea balaa.

Saud Arabia wameisha mchoka America navyo sikia Saud Arabia hata mpango wake kununua F35 wanafikiria kuwachana nao kuna ndege F35 ilipigwa na Iran ikatua Saud Arabia kwa emergency

Warabu wa Gulf states wote wameona USA alikuwa anawaprotect Israel sio wao kwa kuweka hizo base

Nchi ilio baki inataka America aendelee na vita ni UAE tu sababu ana uhakika Iran hatamuwacha kwanza kajidai kuzi freezing pesa za Iran ambao ni chini ya uwezo wake

Baharain yeye anafata mkumbo tu anapo enda UAE lakini hana hamu tena na America.

Kiujumla USA kwenye hi vita kadharaulika vibaya hata Europe wamemdharau sioni kama USA ataheshimika tena kama mwanzo na zile mbwembwe zake zitaisha.

Iran kapiga base 17 zote kazichafua nani tena atakaye mkaribisha USA.

Saud Arabia si ajabu ataelekea zaidi kwa Turkey na China kuliko kwa USA

Iran sasa ataogopwa na nchi zote za Gulf states watajaribu kuwa naye close kuliko mwanzo.

We endelea kuota kama USA ataheshimika tena kama vile mwanzo
👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍🤜🤜🤜🤛🤛🤛🤝🤝🤝🤝✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
 
Watu wote wanakushangaa kwenye hii mada,kila mtu anakuelewesha ila umekaza fuvu,

Kitendo cha kuanza kumuuliza mtu usiyemjua kuhusu kula kina ashiria kua maisha unayoyapitia ni ya mateso,mtu mwenye maisha yake hawezi kuona eti kula ni issue ya kumuuliza mtu,

Kwenye huu uzi umegeuka kituko ila kwa vile ufahamu wako ni mdogo,ndio maana bado hujajishtukia.
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️🤝🤛🤜👍👏👏👏
 
😂😂😂😂 usipanick mdogo wangu.
Hii ni habar ya muda mfup uliopita

Iran says the intelligence chief of the Islamic Revolutionary Guard Corps, Majid Khademi, was killed in a US-Israeli strike on Monday morning - Israel later claims responsibility.
Wewe dogo ni mjinga sana aisee,akili huna,huko ndio kushinda vita?

Ndio maana toka mwanzo nilikwambia kua unajadili kwa mahaba ya kijinga,huna uelewa,
Na ulivyokua huna akili,wewe mwenyewe umethibitisha nilichokisema.
 
mwanaume mzima unaenda kuchunguza comments za nyuma za mwanaume mwenzako,umbea waachie wanawake,wewe utakua na tatizo kubwa ila bado hujajijua tu,
As I told You. M not easily offended.

Na Msimamo wangu ni ule ule.
Ni Harmuz ndio pekee limebaki si ndio. Basi Ni jambo la Muda na utashuhudia.
 
Wewe dogo ni mjinga sana aisee,akili huna,huko ndio kushinda vita?

Ndio maana toka mwanzo nilikwambia kua unajadili kwa mahaba ya kijinga,huna uelewa,
Na ulivyokua huna akili,wewe mwenyewe umethibitisha nilichokisema.

Mm najadili kwa uhalisia dogo.
Sina Mahaba yoyote na USA wala Israel.

Ila nimefanya tathmin na kuangalia mambo yalivyoanza na yanapoenda.

kuwa Kinzan na ww hakunifanyi kuwa mjinga. Na wala kamwe hakuwez nifanya.

Ni jambo la Muda mdogo wangu. Kaa kwa kutulia dogo.
 
As I told You. M not easily offended.

Na Msimamo wangu ni ule ule.
Ni Harmuz ndio pekee limebaki si ndio. Basi Ni jambo la Muda na utashuhudia.
Hormuz leo ni zaidi ya mwezi imefungwa,Trump ameomba mara ngapi ifunguliwe ila Iran wamegoma? kaomba msaada mpaka Nato wamsaidie kuifungua ila Nato wakamgomea,katoa vitisho mara ngapi ila Iran wamegoma?

Get a life kijana ili kunywa chai lisiwe ni jambo kubwa kwako.
 
Hawataki kukubali ukweli Trump kabaki ku tweet kila kukicha mara tapiga nuclear mara tapiga visima vya mafuta mara tapiga energy infrastructure hahaha
Akili hamna kabisa anatuka hovyo Rais anapost daraja kuvunjwa anashangilia😂

Hamn tena regine change.

Analeta mambo ya cinema anashangilia kumuokoa pailot wakati kapoteza ndege 4.
 
Hormuz leo ni zaidi ya mwezi imefungwa,Trump ameomba mara ngapi ifunguliwe ila Iran wamegoma? kaomba msaada mpaka Nato wamsaidie kuifungua ila Nato wakamgomea,katoa vitisho mara ngapi ila Iran wamegoma?

Get a life kijana ili kunywa chai lisiwe ni jambo kubwa kwako.

Eventual Harmuz itafunguliwa.

USA kabla ya kuivamia Iran alijua hili litatokea. Akaanza kwanza kuhodh mafuta ya Venezuela.

Hili la Harmuz kushirikishwa mataifa mengne ni moja ya counter measure . Sio kwamba USA ameshindwa au Iran ameshinda.

Alaf Hii Kunywa Chai imekuuma sana 😂😂😂😂.
 
Unajua kua US mafuta yamepanda bei? unajua kua raia wa US wanalalamika kua mafuta yamepanda bei? ndio maana nakwambia kua huna uelewa wa mambo,yani akili yako inakuaminisha kua kufungwa kwa Hormuz,US hapati hasara yeyote!
Alaf Hii Kunywa Chai imekuuma sana 😂😂😂😂.
Hii imenipa picha kujua aina ya maisha unayo yapitia,
Halafu Mwanaume kujichekesha chekesha hovyo hua haileti picha nzuri,hua sio dalili nzuri,utafanya sasa tuanze kukushtukia.
 
Mpaka pale Matakwa na maridhiano yatakapokuwa fikiwa.
ni jambo la Muda.

"Iran says the intelligence chief of the Islamic Revolutionary Guard Corps, Majid Khademi, was killed in a US-Israeli strike on Monday morning - Israel later claims responsibility"
Source CNN
Sawa wacha tusubiri tuone. Swali wewe ndiye yule Echolima1 au mana kila kukicha mnatuletea sijui kamanda kafa we unajua kwenye vita kamanda anatakiwa awe frontline kufa ni kitu cha kawaida sana we unadhani hao makamanda wanao tuma vile vile askari mbele kama hao wa Israel na America wanajificha afu vile vyenye cheo kidogo au havina ndio vinauliwa.

Jeshi la Iran sio kama la Uganda chief of staff hata kutembea hawezi sa ngapi atauliwa 🤣

Nilisha sema Iran wanaona ufahari kabisa kutangaza kamanda zao wakifa tofouti ni lile taifa lililo laniwa afu livyo wajinga mnaliita eti taifa teule hivi we kwenye akili zako taifa ka Mungu litakuwa maisha yake vitani hivi kwa Mungu ndio kwenye peace au vita.
 
Hiyo tathmini yako umeifanya kwa kutumia hizi hizi akili zako au unazo akili zingine ambazo umeziweka kwenye mfuko wa shati?

Unajua maana ya tathmini? hebu weka hapa details na outcomes ya hiyo tathmini yako.

Ninajua Tathmini. Mm ni mbobevu wa M&E .

Uongoz mpya utakaokuja hata kama hawatafuata sera na maelekezo meng ya USA ila yatakuwa na faida kwa USA kwa namna moja tofaut na ilivyokuwa hapo awali.

Hormuz itafunguliwa kwa maridhiano.

Ni jambo la muda mdogo wangu.
Watch and see.
 
Hii imenipa picha kujua aina ya maisha unayo yapitia,
Halafu Mwanaume kujichekesha chekesha hovyo hua haileti picha nzuri,hua sio dalili nzuri,utafanya sasa tuanze kukushtukia.

😂😂😂😂 ww jua kuwa hauwez kufanya kitu nikawa offended mdogo wangu.

Ni moja ya nafsi zenye High self-esteem.
 
Ninajua Tathmini. Mm ni mbobevu wa M&E .

Uongoz mpya utakaokuja hata kama hawatafuata sera na maelekezo meng ya USA ila yatakuwa na faida kwa USA kwa namna moja tofaut na ilivyokuwa hapo awali.

Hormuz itafunguliwa kwa maridhiano.

Ni jambo la muda mdogo wangu.
Watch and see.
Wewe akili huana,nadhani umesha changanyikiwa tayari,
Hata unachokiandika hakieleweki wala wewe mwenyewe hukielewi,

Halafu kuna mdau hapo juu amedai kua wewe ni Echolima,ndio maana akili zenu zinafanana,Kuropoka pumba.
 
Sawa wacha tusubiri tuone. Swali wewe ndiye yule Echolima1 au mana kila kukicha mnatuletea sijui kamanda kafa we unajua kwenye vita kamanda anatakiwa awe frontline kufa ni kitu cha kawaida sana we unadhani hao makamanda wanao tuma vile vile askari mbele kama hao wa Israel na America wanajificha afu vile vyenye cheo kidogo au havina ndio vinauliwa.

Jeshi la Iran sio kama la Uganda chief of staff hata kutembea hawezi sa ngapi atauliwa 🤣

Nilisha sema Iran wanaona ufahari kabisa kutangaza kamanda zao wakifa tofouti ni lile taifa lililo laniwa afu livyo wajinga mnaliita eti taifa teule hivi we kwenye akili zako taifa ka Mungu litakuwa maisha yake vitani hivi kwa Mungu ndio kwenye peace au vita.

Tuweke Udini pemben. Hii vita ni ya Kiuchumi na kisiasa.
 
Wewe akili huana,nadhani umesha changanyikiwa tayari,
Hata unachokiandika hakieleweki wala wewe mwenyewe hukielewi,

Halafu kuna mdau hapo juu amedai kua wewe ni Echolima,ndio maana akili zenu zinafanana,Kuropoka pumba.

Hauwez kuelewa kwasababu umejaa chuki na makasiriko mdogo wangu.

Najua unatetea kwa nguvu zote Iran. Unlike You. Mm naona ni sawa. Na mm natetea upande ninaoona uko sawa.

Alaf member akiwa upande wa US na Israel anakuwa ndio echolima?.

Kwahiyo nae ulimtukana na kumkebehi kama mm?.
If so. Una shida kubwa sana kijana.
Pengne ni Mtu mzima ila hata wajinga pia wanazeeka.
 
Sawa wacha tusubiri tuone. Swali wewe ndiye yule Echolima1 au mana kila kukicha mnatuletea sijui kamanda kafa we unajua kwenye vita kamanda anatakiwa awe frontline kufa ni kitu cha kawaida sana we unadhani hao makamanda wanao tuma vile vile askari mbele kama hao wa Israel na America wanajificha afu vile vyenye cheo kidogo au havina ndio vinauliwa.

Jeshi la Iran sio kama la Uganda chief of staff hata kutembea hawezi sa ngapi atauliwa 🤣

Nilisha sema Iran wanaona ufahari kabisa kutangaza kamanda zao wakifa tofouti ni lile taifa lililo laniwa afu livyo wajinga mnaliita eti taifa teule hivi we kwenye akili zako taifa ka Mungu litakuwa maisha yake vitani hivi kwa Mungu ndio kwenye peace au vita.
Nafikiri Majini yako yamepanda subiru yakitulia utaongea!!

Kwa sasa nyamaza kimya utachanganyikiwa bure tu!!!
 
Back
Top Bottom