Vita kusimama muda wa siku 45

Vita kusimama muda wa siku 45

Nakuambiaje, mavetarani kama hao hata Iraq walikuwa wanatoa maoni kama hayo, siyo kwamba hao waliongea sasa hivi ndio waliokuwa wanaongea kipindi hicho, bali kipindi hicho kulikuwa na mavetaran kama hao pia.

Waziri wa mambo nje wa Iran amesema leo kwamba kuna maswali mengi sana kuhusu tukio lililokuwa linaendelea la marekani kuokoa rubani wao wa ndege iliyotunguliwa. Anasema huenda tukio hilo lilikuwa cover ya kupora madini ya uraniamu ambayo yamesharutubishwa! Kwa kauli hiyo ya waziri wewe unapata picha gani?

Hii vita Iran itamshinda tu maana hata uchumi wenywe wa kuendeshea hiyo vita hana
Niwekee hiyo clip waziri wa mambo ya nje akiongea hiyo kauli kutoka kwenye Valid sources? Maana mimi Abbas Araghchi update zake nyingi naziona na kuzisoma.Kwa hiyo sasa hivi Target ni kupora hiyo Uranium? Mbona Iran akitoka anaweza kuipata hata Russia,North Korea na China? Maana kwa mujibu wa Scott Ritter, Iran ndio taifa lenye PhD nyingi za Nuclear Physics, sasa hiyo issue kwa Iran ni ndogo sana hata wakiichukua.

Sawa hata kipindi kile Maveteran walikuwa wanatoa maoni na mitizamo yao?Okay vipi kipindi hiko ulisikia Rais kawaondoa Mageneral au unaweza kumtaja hata mmoja? Unaondoa brain ya jeshi then utegemee ushindi, halafu unawatimua bila kutaja sababu ya msingi.

Hivi Iran na US nani anawasiwasi na uchumi wake kuharibika? Maana kila anayekataa kutumia hela yake Dollars lazima amuwekee zengwe na ampige kwa sababu za uongo na Iran plan yake kulipisha kwa Yuan au Iran Riyal (equivalent to USD 2m) kwa kila meli itakayopita Hormuz. Sasa jiulizi zaidi ya asilimia ishirini ya mafuta yote duniani ayanapita Hormuz, so malipo yakifanyika kwa Yuan Dollars itakuwa na nguvu ileile? Ushajiuliza impact yake itakuwaje kwa uchumi wa US?

Baada ya hii vita Middle East hamna atakaye kubali uwepo wa US kwenye ardhi yao,maana hasara walio ipata ni kubwa, je unazani uchumi wa US utabaki hivyo hivyo?Yaani unamtishia mtu mwenye vikwazo kwa miaka zaidi ya arobaini na saba,sasa mtu kama huyu utamtishia nini maana amepitia magumu kwa miaka zaidi ya arobaini na saba,na still yupo vizuri Financial, Kitecknolojia na Political sasa huyu unamtisha nini.Kipi kipya watakacho mtishia Iran......?
 
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🤜🤜🤜🤜🤜
 
Umeandika nini sasa
Unajifanya huelewi? Ngoja sasa nirudie!!

Marekani na Israel wameingia vitani na Iran kwa sababu Iran inataka kutengeneza silaha za Nuclear na Iran inaunga mkono magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth hakuna kingine zaidi!!

Haya mambo mengine ni Propaganda tu kutaka kunogesha au kujifariji na kujipa moyo!!
 
Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.

Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.

Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.

Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.

Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
We jamaa upo too delusional.
Viongozi waliobaki ni vijana na wako more radical wakiwa na ideology ile ile ya shia. Mbaya zaidi viongozi wajao wako tayari kuidhinisha uundwaji wa silaha za nuclear. Embu fuatilia mzozo vizuri.
Ukitaka puppet Iran basi ua mzizi mzima wa SHIITE/SHIA.
Na ndicho kilichokuwepo sasa,Rais Masoud Pezeshkian na Abbas Araghchi ndio wanajitahidi sana kuwa hold vijana,laa sivyo mambo yangekua magumu zaidi.
Wacha kuwa delusional.
 
Naona America kajitahidi kwa kutumia pressure kwa nchi hizi Oman, Egypt, Pakistan na Turkey na nchi za Europe wamuambie Iran dunia inapata tabu sana akubali kusimamisha vita kama 1st step ili badaye waje na solution ya maana moja wapo ikiwa nikuondolewa vikwazo Iran. Trump alianza mpaa kulia eti atatumia Nuclear Iran wala hawakujali

Bada kidogo tutasikia America anasema Iran ndio kaomba vile hahaha

Tatizo Israel wanahara debe ikiwa USA na Iran watafanya deal hapo ni kama kuwapa green light Iran waimalize Israel

View: https://youtu.be/7KfodUArUD8?si=l-v4udKxFzJNBZJ5

==========

Iran and the United States have received a plan to end hostilities that could come into effect on Monday and ‌reopen the Strait of Hormuz, a source aware of the proposals said on Monday.

A framework to end hostilities has been put together by Pakistan and exchanged with Iran and the U.S. overnight, the source said, outlining a two-tier approach with an immediate ceasefire followed by a comprehensive agreement.

"All elements need to be agreed today," the source said, adding the initial understanding would be structured as a memorandum of understanding finalised electronically through Pakistan, the sole communication channel in ⁠the talks.

Axios first reported on Sunday that the United States, Iran and regional mediators were discussing a potential 45-day ceasefire as part of a two-phase deal that could lead to a permanent end to the war, citing U.S., Israeli and regional sources.

The source told Reuters Pakistan's army chief, Field Marshal Asim Munir, has been in contact "all night long" with U.S. Vice President JD Vance, special envoy Steve Witkoff and Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi.

Source: Reuters

Wafuga Midevu na Majini acheni kututoa kwenye reli kwa kueneza uongo na kupotosha Mambo ili tu kuficha alichosema Trump juzi ali-Tweet na kuonya siku ya Jumanne atafanya kitu kibayq kwa Iran.

Naamini Iran alitafakqri na kuona ni bora wazungumze kuliko kuja kupigwa kama ngoma!!

Tukirudi nyuma kabla ya vita kuanza Iran ilisema kama marekani ataanzisha vita basi hakutakuwepo na ceasefire zitapigwa mpaka marekani ishindwe vita.

Sasa kiko wapi ceasefire ya nini? Na kwa nini azungumze na mtu aliyemvamia?Nawaomba Iran washikilie ahadi zao kutokuzungumza na Marekani ili zipigwe tuone nani ana nguvu!!

Na ninyi Waarabu-koko acheni kutuzuga Iran keshadoda kachoka kila siku kupigwa kama ngoma sasa kakubali vita isimame kwa rugha ya kimatumbi Mbwa kala Matapishi yake Mwenyewe
 
Attachments

  • IMG_20260406_170720_813.jpg
    IMG_20260406_170720_813.jpg
    97.2 KB · Views: 12
Iran atumie muda huo kuingiza silaha za kisasa. Mmarekani bila sapoti ya nchi za ulaya na adui kuwekewa vikwazo hana nguvu.
Tatizo la America anajua wazi Iran hana silaha ya nuclear na wala hawana haja nayo USA kaingia hi vita kwa ajili ya Israel anacho taka Iran awe hana Missiles zinazo zidi 350 to 500 ili asiwe na Missiles za kuweza kufika Israel na hicho Iran ndio amekataa amemuambia America wacha turndelee na vita tuone mwisho wake piga unacho taka kupiga lakini hutabaki hapo Gulf states.
 
Wafuga Midevu na Majini acheni kututoa kwenye reli kwa kueneza uongo na kupotosha Mambo ili tu kuficha alichosema Trump juzi ali-Tweet na kuonya siku ya Jumanne atafanya kitu kibayq kwa Iran.

Naamini Iran alitafakqri na kuona ni bora wazungumze kuliko kuja kupigwa kama ngoma!!

Tukirudi nyuma kabla ya vita kuanza Iran ilisema kama marekani ataanzisha vita basi hakutakuwepo na ceasefire zitapigwa mpaka marekani ishindwe vita.

Sasa kiko wapi ceasefire ya nini? Na kwa nini azungumze na mtu aliyemvamia?Nawaomba Iran washikilie ahadi zao kutokuzungumza na Marekani ili zipigwe tuone nani ana nguvu!!

Na ninyi Waarabu-koko acheni kutuzuga Iran keshadoda kachoka kila siku kupigwa kama ngoma sasa kakubali vita isimame kwa rugha ya kimatumbi Mbwa kala Matapishi yake Mwenyewe
Wapi Iran alisema hakutakuwa na ceasefire tupe quote na prove Iran alichosema vita ni yeye ndiye ataye amua kusimama sio USA.

Na hata hio ceasefire ni America ndiye anaye omba na Iran kakataa mpaa USA atoe ahadi hata gusa tena Iran na alipe aliyo haribu Iran.
 
Sijui kwa nini watu wengi hawaelewi hizi tricky za USA.
Iran kwa sasa anatakiwa akaze Sana maana kupitia kukaza ndio anachelewesha anguko lake. Kwenye kuchelewa huwezijua msaada unaweza kutokea mbeleni.
Iran kuanguka SAHAU.
Kama kuanguka ilitakiwa ianguke 1980-1988 ilipovamiwa na Saddam Hussein. Iran ni nchi inayoweza kuvumilia vita za muda mrefu naweza kusema kuliko hata USA. Sidhani kama leo hii USA ndio ingekua inashambuliwa ndani ya mipaka yake kama ingedumu kwa muda mrefu.
Hapa anatafutwa kuokolewa Israel ndio maana USA anakimbilia ceasefire.
 
Huyu mjinga hajui Iran imewahi kupigana vita miaka 7 na Iraq wakati huo Iraq akisandiwa na USA na UK na Ufarasa
Pia nchi za Gulf states zote zilimsaidia Iraq isipokuwa Oman tu.

Plus Jordan alimsaidia Iraq pia na Egypt si ajabu hata Morocco walikuwepo wakimsaidia Iraq.

Iran ni mwamba peke anaye weza kusimana mbele ya mafala kama USA.

Tazama Hasara aliyo pata USA kwenye hi vita

View: https://youtu.be/POKCpT2k9Xo?si=0W8asYTIPaGwdywC
 
Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.

Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.

Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.

Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.

Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Imeshajulikana kuwaondoa viongozi wakubwa Iran sio solution,maana Iran wenyewe walisha liona hilo swala miaka mingi na kuliwekea mikakati ni sawa na kumwaga maji kwenye kinu.
 
Hii vita Marekani hatashinda na ni vita ngumu sana Kwa marekani.
Sababu zangu ni hizi.

Amini usiamini nyuma ya Iran Kuna nguvu kubwa mno haitakubali Irani ianguke.

-Kuna BRICS.

-Urusi,China,Korea kaskazini.
-Kushindwa Kwa Iran ni pigo kubwa kwa Urusi na china.
-wameumia sana Maduro kutekwa
-waliumia sana Assad kuangushwa.

Urusi.
-Huyu ameptata nafasi ya kulipa kisasi Kwa marekani alichomfanyia Ukraine.

-Urusi alishasema zamani kua nae atakua anatoa silaha Kali kwa maadui wa west (USA) baada ya wao kumpa Ukraine silaha Kali,Sasa kapata mtu sahihi.

China.
-Huyu ameinvest Hela nyingi Iran.
-Amepata nafasi ya kumdhoofisha USA ili atakapoenda kuikamata Taiwan asipate upinzani mkali kutoka USA.
-amepata nafasi ya kumdhoofisha USA kiuchumi na kijeshi Ali awe na amani.
-usa amekua anaichukia sana china baada ya kuona china inakaribia kiuchumi,amekua akiiwekea china vikwazo,hivyo china amepata nafasi nae ya kumuumiza USA.

Korea kaskazini
Huyu amekua akitishiwa sana na USA Kwa sababu ya makombora yake ya masafa marefu ICBM,zuio la kumiliki nyukilia analopewa Iran hata yeye anapewa hivyo hivyo.
Kwa hiyo hayuko tayari kuona Iran inaanguka kwa sababu anajua atakae fuata ni yeye.

Kwa ujumla
Ikiwa USA alishindwa kuwashinda Watalaban ambao hawakua wanasaidiwa na nchi yoyote hapa duniani,Leo atawezaje kuwashinda Wa Iran wanaopata misaada kutoka nchi zenye nguvu kabisa kijeshi duniani?

Changamoto.
Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka mingi sana kupita Marekani anajukuta Hana mshirika kabisa katika vita hii.
NATO wamemkatalia.

Kwa mara ya kwanza Israel haikuwahi kupigwa katika ardhi yake Kwa kipigo inachopigwa safari hii au kipindi hiki.

Vita hii kwa upande wa USA na Israel haiungwi mkono na raia zaidi ya Nusu ya Wamarekani wote,EU wote na sehemu kubwa ya Dunia.
Watu sehemu kubwa ya Dunia wanaombea USA ishindwe.
Ushahidi haijawahi kutokea katika nchi yoyote duniani Majenerali zaidi ya 12 kutokubaliana na Amiro Jeshi Mkuu wao.
Hizo sio dalili nzuri.

Ushindi pekee wa USA ni kupiga bomu la nyukilia,hata hiyo Urusi na china zimetoa onyo kwa Israel au USA zisijaribu kutumia nyukilia.
IngLisH ndefu but USA wins economic war

They will control over 50% ya globs oil supply Chain
 
Wapi Iran alisema hakutakuwa na ceasefire tupe quote na prove Iran alichosema vita ni yeye ndiye ataye amua kusimama sio USA.

Na hata hio ceasefire ni America ndiye anaye omba na Iran kakataa mpaa USA atoe ahadi hata gusa tena Iran na alipe aliyo haribu Iran.
Muda utaongea
 
Wewe sing'ara macho hapo kesho Jumanne ndio hukumu ya Iran inatoka na hayo mambo ya kusitisha vita ni mambo ya watu wa kati tu akina Pakistan ila kiukweli hakuna usitishwaji vita.
 
Wewe sing'ara macho hapo kesho Jumanne ndio hukumu ya Iran inatoka na hayo mambo ya kusitisha vita ni mambo ya watu wa kati tu akina Pakistan ila kiukweli hakuna usitishwaji vita.
Sawa tutaona mwisho wake America itakuwa ni history tu alikuwa super power kama wenzake akijidai kutumia Nuclear na yeye atapigwa
 
Hamna cha vita kusimama hizo ni porojo tu. Kesho Jumanne ndio hukumu ya Iran inatoka wanarudishwa kwenye zama za mawe.

Hakutakuwa na daraja litakalo kuwa zima nchini Iran wala umeme hautakuwepo nchi yote itakuwa giza tororo.

Wapagazi muiombee Iran kwa sababu ndicho mnachoweza kufanya maanake kwenda mstari wa mbele hamuwezi kwa uoga mliyonayo, mnaishia tu kwenye keyboard 🎹
 
Hizo ndoto kesho itapita hawezi fanya lolote anajua kitakacho mkuta

Iran kamuambia kesho utaona dilaha zetu za siri zikitua Washington endelea na ujinga wako

View: https://youtu.be/59eHO6Vk9oQ?si=ItQ5d69_LcrLBaeR

Urusi pia kamuambia America acha lugha ya kutisha tisha umeshindwa vita rudi kwenye mazungumzo ukijidai kutumia Nuclear na sisi rutsingia vita vya ww3
 
Back
Top Bottom