Vita kusimama muda wa siku 45

Vita kusimama muda wa siku 45

😂😂😂😂😂 sio Nzega. Niko namtumbo kilangale ndan ndan huku. Kwa shemej angu

Nakushangaa ww unayekebeh mtu wakat wa kujadiliana nae.
Heshima niliyokuwa nimeweka juu yako imeshuka Hadi 0.

Nikajua ww ni moja ya watu makini.
Wewe kweli ni pimbi aisee,niliwahi kuiomba hiyo heshima toka kwako?
Heshima yako ina faida gani kwangu au dharau yako ina hasara gani kwangu?
Kumbe unaishi humu JF kutafuta heshima kwa strangers! pole sana kijana bado una safari ndefu sana.
 
Wewe bila shaka ni wale walokole pori wanao amini Yahudi ni mlokole mwenzao,ndio maana wanakua wanaandika vitu vya kijinga dhidi ya Iran,
Raia wengi wa US na Europe wenyewe wanasema hii vita imewatia hasara na hakuna lengo lililofanikiwa,ila wewe uliyepo Nzega vijijini huko unadai US kapata ushindi!

Umerukia Russia na Ukraine tena? Mzee piga tu kimya ili usiendelee kujiaibisha.

Unaniita majina yooote.
Haiwez badilisha mtazamo wangu.
na uhalisia uliopo kwa sasa.

By the end of the Day . USA atashinda. Ni jambo la muda.
Sio kwasababu limechelewa kutokea basi halitatokea.

Na Usiweke Udini waka Ukabila.
 
Tofaut na Venezuela ni kuwa Wao Rais wao yuko hai wakat Iran viongozi 100 wameuliwa
Nilijua tu toka mwanzo kua umejikita kuiponda Iran kwa chuki zako za kijinga tu,
Hiyo comment yako hapo juu inathibitisha hilo,
Sio lazima ujikite kwenye kila mjadala hata kama hua idea na jambo hilo,
Wewe jamaa ni kilaza wa mwisho kabisa.
 
Wewe kweli ni pimbi aisee,niliwahi kuiomba hiyo heshima toka kwako?
Heshima yako ina faida gani kwangu au dharau yako ina hasara gani kwangu?
Kumbe unaishi humu JF kutafuta heshima kwa strangers! pole sana kijana bado una safari ndefu sana.

Hujawai kuiomba. Haikusaidii na wala yako hainisaidii. Na Wala siishi kwa kutafuta heshima JF.

Ila nastahili Heshima. Na kila member mwenye uelewa huku JF anastahili Heshima.
So nawaheshim wote kasoro ww.

Najua ww ni mtoto mdogo. Probably unajitafuta na una hasira za maisha. Kias kwamba kujadiliana na mtu ni lazima umkebeh ili ujifurahishe.

Hilo haliwez kubadili hali yako uliyonayo.
 
Nilijua tu toka mwanzo kua umejikita kuiponda Iran kwa chuki zako za kijinga tu,
Hiyo comment yako hapo juu inathibitisha hilo,
Sio lazima ujikite kwenye kila mjadala hata kama hua idea na jambo hilo,
Wewe jamaa ni kilaza wa mwisho kabisa.

Umekuwa Blinded na chuki kias kwamba hauon uhalisia.
 
Unaniita majina yooote.
Haiwez badilisha mtazamo wangu.
na uhalisia uliopo kwa sasa.

By the end of the Day . USA atashinda. Ni jambo la muda.
Sio kwasababu limechelewa kutokea basi halitatokea.

Na Usiweke Udini waka Ukabila.
Huna akili wewe,katafute akili kwanza kisha njoo tena hapa ili ujadili vitu vya maana,unatia aibu hata kwa mtoto mdogo kwa hizi pumba unazotema hapa.
 
Puppet mara nying hawawekwi na wao. Wanawekwa na wananchi.
Wakishakuwa Viongozi sasa.
Wao USA wakiwa na interest flan wanawafuata na kuwaelekeza wafanye ABC.

Viongozi wakikataa kufanya nao hizo maelekezo na Deal . Ndio chokochoko zinaanza na majibizano yanaenda Public. Ila kama viongoz wakifanya interest za USA unakuwa rafik wao.

Refers na UAE vs USA na deal zao.

Iran na nchi nying za Middle East kwa Miongo kadha wa kadha zilikuwa hazifuat sera wala kuwa marafik na USA.

As we speak . Gulf Region zote na Middle East ziko rafik na USA. Ilibaki Iran.

Refers pia Iraq ya Sadam Hussein, Afrighanistan . Na mahusiano yao na USA sasahivi.
hadi leo hii zaid ya wanajeshi 2,500 wa Marekan wako Iraq pekee. (Kwa kipind kile vita inaanza hili jambo ulihisi linawezekana?) Bila shaka hapana. Ila Limewezekana.

Thats how Siasa za USA works.
Siasa unazo ziongea kwa sasa zimepitwa na wakati we unajua nchi za Gulf states Qatar, Kuwait wanadai America kawaletea balaa.

Saud Arabia wameisha mchoka America navyo sikia Saud Arabia hata mpango wake kununua F35 wanafikiria kuwachana nao kuna ndege F35 ilipigwa na Iran ikatua Saud Arabia kwa emergency

Warabu wa Gulf states wote wameona USA alikuwa anawaprotect Israel sio wao kwa kuweka hizo base

Nchi ilio baki inataka America aendelee na vita ni UAE tu sababu ana uhakika Iran hatamuwacha kwanza kajidai kuzi freezing pesa za Iran ambao ni chini ya uwezo wake

Baharain yeye anafata mkumbo tu anapo enda UAE lakini hana hamu tena na America.

Kiujumla USA kwenye hi vita kadharaulika vibaya hata Europe wamemdharau sioni kama USA ataheshimika tena kama mwanzo na zile mbwembwe zake zitaisha.

Iran kapiga base 17 zote kazichafua nani tena atakaye mkaribisha USA.

Saud Arabia si ajabu ataelekea zaidi kwa Turkey na China kuliko kwa USA

Iran sasa ataogopwa na nchi zote za Gulf states watajaribu kuwa naye close kuliko mwanzo.

We endelea kuota kama USA ataheshimika tena kama vile mwanzo
 
Huna akili wewe,katafute akili kwanza kisha njoo tena hapa ili ujadili vitu vya maana,unatia aibu hata kwa mtoto mdogo kwa hizi pumba unazotema hapa.

Umepanick mdogo wangu.😎😎😎😎

Umepata hata kifungua kinywa leo?. Pengne ni njaa inakufanya ukebehi watu.

Maisha yako yakiwa magumu hayawez kuwa mepes kwa kukebeh watu.
 
Hujawai kuiomba. Haikusaidii na wala yako hainisaidii. Na Wala siishi kwa kutafuta heshima JF.
Kwanza mwanaume rijali anayejielewa,ni aibu kumwambia mwanaume mwenzake kua eti nilikua nakuheshimu ila sasa hivi sikuheshimu,hizi ni pigo za mademu wakigombana,wanaume hatupo hivyo,
Najua ww ni mtoto mdogo. Probably unajitafuta na una hasira za maisha. Kias kwamba kujadiliana na mtu ni lazima umkebeh ili ujifurahishe.
Naona umeamua kujifariji sasa,kama una dhiki na unajitafuta usifikiri ni wote wapo kama wewe,naona sasa hivi umerukia kutabiri maisha ya watu sasa sio kutabiri vita tena,
Hilo haliwez kubadili hali yako uliyonayo.
Kama unapata faraja kujiaminisha hivyo,Basi endelea kujiaminisha hivyo kijana.
 
Umepanick mdogo wangu.😎😎😎😎

Umepata hata kifungua kinywa leo?. Pengne ni njaa inakufanya ukebehi watu.

Maisha yako yakiwa magumu hayawez kuwa mepes kwa kukebeh watu.
Watu wote wanakushangaa kwenye hii mada,kila mtu anakuelewesha ila umekaza fuvu,

Kitendo cha kuanza kumuuliza mtu usiyemjua kuhusu kula kina ashiria kua maisha unayoyapitia ni ya mateso,mtu mwenye maisha yake hawezi kuona eti kula ni issue ya kumuuliza mtu,

Kwenye huu uzi umegeuka kituko ila kwa vile ufahamu wako ni mdogo,ndio maana bado hujajishtukia.
 
Siasa unazo ziongea kwa sasa zimepitwa na wakati we unajua nchi za Gulf states Qatar, Kuwait wanadai America kawaletea balaa.

Saud Arabia wameisha mchoka America navyo sikia Saud Arabia hata mpango wake kununua F35 wanafikiria kuwachana nao kuna ndege F35 ilipigwa na Iran ikatua Saud Arabia kwa emergency

Warabu wa Gulf states wote wameona USA alikuwa anawaprotect Israel sio wao kwa kuweka hizo base

Nchi ilio baki inataka America aendelee na vita ni UAE tu sababu ana uhakika Iran hatamuwacha kwanza kajidai kuzi freezing pesa za Iran ambao ni chini ya uwezo wake

Baharain yeye anafata mkumbo tu anapo enda UAE lakini hana hamu tena na America.

Kiujumla USA kwenye hi vita kadharaulika vibaya hata Europe wamemdharau sioni kama USA ataheshimika tena kama mwanzo na zile mbwembwe zake zitaisha.

Iran kapiga base 17 zote kazichafua nani tena atakaye mkaribisha USA.

Saud Arabia si ajabu ataelekea zaidi kwa Turkey na China kuliko kwa USA

Iran sasa ataogopwa na nchi zote za Gulf states watajaribu kuwa naye close kuliko mwanzo.

We endelea kuota kama USA ataheshimika tena kama vile mwanzo
Shida anameza kila kitu kwa mahaba na Marekani kuna kipindi Marekani kadharaulika kama hiki😅
 
Kwanza mwanaume rijali anayejielewa,ni aibu kumwambia mwanaume mwenzake kua eti nilikua nakuheshimu ila sasa hivi sikuheshimu,hizi ni pigo za mademu wakigombana,wanaume hatupo hivyo,

Naona umeamua kujifariji sasa,kama una dhiki na unajitafuta usifikiri ni wote wapo kama wewe,naona sasa hivi umerukia kutabiri maisha ya watu sasa sio kutabiri vita tena,

Kama unapata faraja kujiaminisha hivyo,Basi endelea kujiaminisha hivyo kijana.

Mimi sijifariji. Na nimekujibu the way ulivyokuja.

Kukebehi watu hakukufanyi ww usikilizwe kwenye kujadiliana kwa hoja. Kila mtu anatetea hoja zakd. Sasa wakat ww unatetea ya kwako hautakiwi kutukana mtu.

Inaonyesha ni kias gan hajapevuka.
Au kama ni mtu mzima basi ni stress za maisha ndio zinakufanya kuona kutukana mtu kunakufanya ww ukae sawa.

Sawa dogo.
 
Watu wote wanakushangaa kwenye hii mada,kila mtu anakuelewesha ila umekaza fuvu,

Kitendo cha kuanza kumuuliza mtu usiyemjua kuhusu kula kina ashiria kua maisha unayoyapitia ni ya mateso,mtu mwenye maisha yake hawezi kuona eti kula ni issue ya kumuuliza mtu,

Kwenye huu uzi umegeuka kituko ila kwa vile ufahamu wako ni mdogo,ndio maana bado hujajishtukia.

Najibizana kwa Hoja na watu kadha wa kadha hapa. Na mm pia nina hoja zangu.

Ila woote hawajajibizana na mm kama unavyofanya ww.

Huwez kukebeh mtu wakat mnajibizana. Hiyo ni stress dogo.
Ni kiashiria unateseka sana na maisha.
 
Wewe kweli ni pimbi aisee,niliwahi kuiomba hiyo heshima toka kwako?
Heshima yako ina faida gani kwangu au dharau yako ina hasara gani kwangu?
Kumbe unaishi humu JF kutafuta heshima kwa strangers! pole sana kijana bado una safari ndefu sana.
🤣😂🤣😂🤣🤣😂😅😄😅
 
Najibizana kwa Hoja na watu kadha wa kadha hapa. Na mm pia nina hoja zangu.
Hakuna hata hoja moja uliyoitoa hapa,
Sasa sana umekimbilia kwenye comments za zamani za mtu uliyekua unajibizna nae kisha ukarudi na kumwabia kua eti umeangalia comments zake za nyuma na kugundua kua ana comment kwa kuipenda Iran,yani mwanaume mzima unaenda kuchunguza comments za nyuma za mwanaume mwenzako,umbea waachie wanawake,wewe utakua na tatizo kubwa ila bado hujajijua tu,
Ila woote hawajajibizana na mm kama unavyofanya ww.

Huwez kukebeh mtu wakat mnajibizana. Hiyo ni stress dogo.
Ni kiashiria unateseka sana na maisha.
Yani mpaka karne hii unaona kunywa chai ni jambo kubwa sana,yani unamuuliz mtu usiyemjua mtandaoni eti umekunya chai! hilo swali linaonyesha wazi kabisa level za maisha unayo yaishi,

When you are loss,speed is useless,speed is irrelevant if you are not heading in the right direction,sasa wewe umepotea njia ila unaenda kwa speed ile ile,matokeo yake unageuka kua kituko bila kujijua.
 
Mpaka hapo, hakuna objectives yoyote ambayo marekani ameifikia, kimsingi malengo ya kuishambulia 🇮🇷 hayajafikiwa, zaidi sana ni vitisho kila kukicha, Trump ni moja ya viongozi wapumbavu tu duniani.

Ninachojua, Marekani hawezi kumchapa Irani kama alivyofanya kwa Iraq, pamoja na vikwazo vingi sana alivyowekewa toka 1970s lakini waajemi wamekuwa taifa imara sana!!
 
Back
Top Bottom