aikamatemu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2020
- 464
- 1,892
Kabisa mkuu na kumeza chloroquine maana tuliambia nayo ni dawaTuendelee kujifukiza
Kabisa mkuu na kumeza chloroquine maana tuliambia nayo ni dawaTuendelee kujifukiza
Mkuu Bill Gate kwa sasa huwa haingii yeye kama yeye maabara bali hutumia pesa yake kukusanya wanabailogia waliobobea nchi mbalimbali kisha kuwapa idea au yeye huomba wazo kwao kisha wanaingia mzigoni na ukifatilia vinasaba vingi anavyovifanya kwa masiku ya hivi karibuni ni vile ambavyo hukuti vikisemwa kama yeye ni creator bali huwa ni msimamizi kama vile mbegu za mazao za kisasa ambazo ukipanda mazao yake huwezi kuzifanya mbegu hadi ukanunue tena kwake na huu ni utumwa ikitokea atakupa masharti (Nakumbuka mwaka jana walikuja kufanya tafiti hapa nchini mzee mkuu akawapiga stop)Inshort naona Bill Gates anapaswa afe haraka iwezekanavyo coz usalama wa maisha ya wengi (hasa nchi za third world) unahatarishwa zaidi na pesa zake(yaan anaicontrol dunia anavyotaka kama mungu mtu)
Nadhani dunia itakuwa salama zaidi baada ya huyu tajiri kufukiwa nchi 6 ardhini, hatuwezi kupoteza raia Billion 2 kwasababu ya mtu mmoja
Nimekupata vyema chief niungane na wewe kwenye kumuogopa Muamerika kwa mbinu nyingi chafu kwa rungu la technology analolitumia kwa sasa baada ya kuona kwenye propaganda anafeli kwa nchi nyinyi hususan za Asia na Ulaya na palipobaki kumbaini ni Africa pekee binafsi naamini mchina mnyonyaji ila si kwa mbinu ya kumwaga damu wengi km afanyavyo Marekani
Hamna tamko hapoWaziri wa Afya alisema atatoa tamko juu ya msimamo wa Tz kuhusu hiyo chanjo. Tunasubiri
Umenifanya nimkumbuke Malkia wa meno ya ndovu kiukweli ilikuwa haiwezekani mzigo wote ule ukose kuhusika wazawa ila yote kwa yote lengo lao laweza fanana ila America kazidi umafiaUkichunguza kwa umakini hata Wachina si wanyonyaji au wezi kivile - wabaya wa kontinent la Afrika ni maafisa na viongozi katika Serikali nyingi za Afrika hao ndio ushirikiana na Wachina kupiga hela ndefu kwenye nchi husika, niliwahi kuwasikia Wachina wakilalamika kwamba project nyingi uingiliwa na maafisa Setikalini ambao iwashawishi wachina waongeze sufuri nyingi kwenye mikataba baadae waje kugawana cha juu na maafisa husiki - ujanja huu unatumiwa saaana, mwingine Wachina uoungukiwa fedha za kukamirisha miradi kutokana na tatizo tajwa hapo juu, tukija wizi wa utoroshaji magogo ya miti na mali asili nyingine Wachina ushirikiana na waswahili wenzetu kwa asili mia mia, Wachina hawana ubavu wa kutorosha mali asili za Taifa letu bila ya kushirikiana na maafisa Serikalini, tunapo walahumu Wachina tulikumbuke sana hilo.
Siamini Kama dawa/chanjo ya ukimwi imekosekana hadi sasaMkuu vipi swala ya chanjo ya UKIMWI ? Au UKIMWI wameamua kufanya biashara ya Dawa pekee hadi mwisho wa Dunia.
Wewe utachukua utakayoletewa.Mi nachukua ya USA
Mkuu Kama sijakosea naona mtoa Uzi kasema waingereza Wana yao....unaisema uingeleza ya sigimbiii bila shakaaUingeleza na EU tayari wamethibitisha ya USA
Mkuu Ni uingeleza sio uingereza nazani umemuelewaSO uingereza hawatumii ya kwao?
Kenya nao watoe dawa yaoVipi kuhusu covid iliyogunduliwa Kenya!! wanasema hiki ni kirusi kipya!
Mi nasubiri iliyotengenezwa tanzaniaMi nachukua ya USA
Waziri wa Afya alisema atatoa tamko juu ya msimamo wa Tz kuhusu hiyo chanjo. Tunasubiri
Mi nasubiri iliyotengenezwa tanzania
Mi nasubiri iliyotengenezwa tanzania