Scoundrel
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 602
- 483
Wewe Una tabia za kitanzania halisi ambazo ni kujenga hoja zisizo na mashiko!"Vita baridi" ya chanjo za Covid 19 imeanza:
1. Uingereza wana chanjo ya kwao.
2. Marekani wana chanjo ya kwao.
3. Urusi wana chanjo ya kwao.
4. Uchina wana chanjo ya kwao:
5. India (yenye watu zaidi ya bilioni, imesema itanunua kwa Mwingereza (ambao ni ushindi au zawadi ya kwanza tangu wajitoe Umoja wa Ulaya).
6. Shirika la Afya Duniani (WHO) limeamua kwenda upande wa Marekani "kwa ajili ya chanjo kwa nchi masikini".
7. Washawishi (lobbyists) wataanza kuzisumbua nchi masikini ktk kupigania soko hili jipya.
#YanguMacho