Vita baridi ya chanjo za Covid 19 imeanza

Binadamu tunahitaji tishio litakalotukumbusha kuwa ss ni binadamu na kutuunganisha. Nafikiri tukipata tishio la allien kutuvamia tutaachana na haya mambo ya mipaka na vita vya uchumi.

Covid ni biashara.
 
Hyo NI BIASHARA.
mkijiroga kuwapa watu hizo chanjo mmekwisha..
Wajipe wenyew hizo chanjo
 
Binadamu tunahitaji tishio litakalotukumbusha kuwa ss ni binadamu na kutuunganisha. Nafikiri tukipata tishio la allien kutuvamia tutaachana na haya mambo ya mipaka na vita vya uchumi.

Covid ni biashara.
Kuna signal zimetoka proxima centauri nyota ambayo ipo karibu na mfumo wetu wa jua.
wanahisi hizo signal zimetoka karibu na sayari moja wapo katika mfumo wa nyota hiyo.

Wanahisi kutakuwa na uhai katika hiyo sayari hivyo aliens wametupa ujumbe kuwa wapo hapo.
Ila bado uchunguzi wa hizo signals haujakamilika.

Labda tutegemee alien invasion kama hawana nia njema ila africa hatutafanya chochote sababu tupo nyuma kwenye kila kitu.
 
Kuna signal zimetoka proxima centuri nyota ambayo ipo karibu na mfumo wetu wa jua.
wanahisi hizo signal zimetoka karibu na sayari moja wapo katika mfumo wa nyota hiyo.

Wanahisi kutakuwa na uhai katika hiyo sayari hivyo aliens wametupa ujumbe kuwa wapo hapo.
Ila bado uchunguzi wa hizo signals haujakamilika.

Labda tutegemee alien invasion kama hawana nia njema ila africa hatutafanya chochote sababu tupo nyuma kwenye kila kitu.
Una link ya hiyo document unipe mkuu?
 
Hapa kuna biashara za aina mbili.
Moja, ni kutaka kuisimamisha dunia katika mantiki ya kiuongozi.

Pili, Mapato kutoka afrika ambako mwanzo walijua hawa watakufa kama utitiri na ndiyo maana baada ya kuona covid19 imechemka afrika mmeletewa new virus ambao wanasema hawa wanajibadirisha kulingana na matumizi ya dawa na hali ya hewa.

Hapo ndipo ushindani wa soko la hizo dawa utakapokuwepo, yule ambaye dawa yake itakuwa na soko afrika ni ile itakayoendana na mazingira ya afrika.

Mmesikia kuwa dawa hizo zinahitaji ubaridi wenye nyuzi joto kubwa ili isipotete nguvu.

👉Yangu macho na masikio.
 
"Vita baridi" ya chanjo za Covid 19 imeanza:

1. Uingereza wana chanjo ya kwao.

2. Marekani wana chanjo ya kwao.

3. Urusi wana chanjo ya kwao.

4. Uchina wana chanjo ya kwao:

5. India (yenye watu zaidi ya bilioni, imesema itanunua kwa Mwingereza (ambao ni ushindi au zawadi ya kwanza tangu wajitoe Umoja wa Ulaya).

6. Shirika la Afya Duniani (WHO) limeamua kwenda upande wa Marekani "kwa ajili ya chanjo kwa nchi masikini".

7. Washawishi (lobbyists) wataanza kuzisumbua nchi masikini ktk kupigania soko hili jipya.

#YanguMacho
Ndio maana kutakuwa na ugeni mkubwa sana nchini unakuja kutafuta soko hata kwa mkopo
 
Huu ugonjwa unasiasa nyingi mpaka sasa chanjo zipo tatu,kuna ya USA,UK na Russia na Corona nae akaamua kujiduplicate kuna Corona A(Ya kwanza kutoka China),Corona B (Kutoka UK) na Corona C (kutoka Nigeria),sasa hatujui chanjo ipi inatibu Corona ipi.
 
Nashauri Watafiti wa Chanjo Kibaha wapewe special task kugundua chanjo yetu
 
Hapa kuna biashara za aina mbili.
Moja, ni kutaka kuisimamisha dunia katika mantiki ya kiuongozi.

Pili, Mapato kutoka afrika ambako mwanzo walijua hawa watakufa kama utitiri na ndiyo maana baada ya kuona covid19 imechemka afrika mmeletewa new virus ambao wanasema hawa wanajibadirisha kulingana na matumizi ya dawa na hali ya hewa.

Hapo ndipo ushindani wa soko la hizo dawa utakapokuwepo, yule ambaye dawa yake itakuwa na soko afrika ni ile itakayoendana na mazingira ya afrika.

Mmesikia kuwa dawa hizo zinahitaji ubaridi wenye nyuzi joto kubwa ili isipotete nguvu.

Yangu macho na masikio.
Chanjo ya Uingereza inataka joto la fridge ya kawaida tu.
 
"Vita baridi" ya chanjo za Covid 19 imeanza:

1. Uingereza wana chanjo ya kwao.

2. Marekani wana chanjo ya kwao.

3. Urusi wana chanjo ya kwao.

4. Uchina wana chanjo ya kwao:

5. India (yenye watu zaidi ya bilioni, imesema itanunua kwa Mwingereza (ambao ni ushindi au zawadi ya kwanza tangu wajitoe Umoja wa Ulaya).

6. Shirika la Afya Duniani (WHO) limeamua kwenda upande wa Marekani "kwa ajili ya chanjo kwa nchi masikini".

7. Washawishi (lobbyists) wataanza kuzisumbua nchi masikini ktk kupigania soko hili jipya.

#YanguMacho
Sisi tuendelea na kufukiza au nasema uongo ndugu zangu!!
 
Back
Top Bottom