Visit Rwanda - Twende Rwanda rafiki

Visit Rwanda - Twende Rwanda rafiki

🌍 SAFARI MAALUM YA KIGALI – RWANDA KUTOKA MWANZA 🇷🇼

Tunakuandalia safari ya kipekee kwenda Kigali, Rwanda kutoka Mwanza kwa gharama ya Tsh 390,000/= tu.

📌 Kifurushi hiki kinajumuisha:
✅ Usafiri wa kwenda na kurudi
✅ Hotel nzuri na salama
✅ Breakfast kila siku
✅ Tour guide fees zote
✅ Ziara za kujifunza tamaduni na utamaduni wa Rwanda

💳 Malipo unaweza kufanya kwa awamu ili kujihakikishia nafasi mapema.
⚠️ Nafasi ni chache, wahi kabla hazijaisha.

Njoo tusafiri, tujifunze, turefresh mawazo na kufurahia uzuri wa Rwanda – nchi ya nidhamu, utamaduni na maendeleo.

Karibu usafiri wa uhakika na wa kumbukumbu. ✨
Acha utapeli, utakufa vibaya wewe.
 
View attachment 3532841
🌍 TUNARUDI TENA RWANDA 2026 🇷🇼
Kama ulikosa 2026, basi usipange kukosa tena!

Tunakupeleka kwenye safari ya kipekee ya Rwanda kuanzia
📅 Tarehe 4 hadi 7 Mwezi wa 4 (Aprili)

🔔 Fanya booking mapema ili kuepuka kukosa nafasi, kwani nafasi ni chache na mahitaji ni makubwa.

💰 Gharama: Tsh 390,000/= kwa mtu
📍 Kutokea Mwanza

💼 Gharama hii itahusisha:
✔️ Usafiri wa kwenda na kurudi
✔️ Hotel (malazi bora)
✔️ Breakfast
✔️ Guide fees
✔️ Entrance fees kwenye vivutio
✔️ Safari iliyoandaliwa kwa ratiba nzuri na ya kufurahia

✨ Kwa nini uchague sisi?
👉 Sisi ni Visit Lake Zone,
👉 Tunaandaa tour za kiwango cha juu
👉 Kwa gharama nafuu sana
👉 Huduma bora, usalama na experience ya kukumbukwa

📌 Hii ni safari ya burudani, mapumziko na kujifunza —
usipange kukosa!

📞 Wasiliana nasi sasa kwa booking na maelezo zaidi
Nafasi zikijaa, safari imejaa!
Mkuu kama nafasi ni chache nani unamtangazia sasa?
 
Back
Top Bottom