Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,719
- 50,055
Hujanielewa! Mimi naona kama hicho kiasi ni kidogo ina mimi nitoke Mlandizi hadi Kigali kwenda na kurudi bado kuna mizururo mingi huko Rwanda kwa kiasi hicho? Ndo maaana nawaza labda min -me anaongezea panapopelea.Tafuta hela mkuu mbona ni kiasi kidogo sana..