Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,846
😹😹 Au sio?Kivip tena wakati tayari yupo kwenye himaya?
Kwani umeacha kulilia mapenzi?
Kwahiyo umetulia kwa Seran kabisa au ndo km kawaida yako mshika mapembe..!!
😹😹 Au sio?Kivip tena wakati tayari yupo kwenye himaya?
Bado ni mshika mapembe😹😹 Au sio?
Kwani umeacha kulilia mapenzi?
Kwahiyo umetulia kwa Seran kabisa au ndo km kawaida yako mshika mapembe..!!
Muonjeshe mwenzio sasa si unamfanya mshika mapembe km naniliuuu yule..!! 😹😹😹Ni upendo tu jmn😅
😹😹😹 Ndiomana nimesema akupe shavu ushike..!!Bado ni mshika mapembe
Haina shida nitalishika shavu tu , ondoa shaka kwa hilo.😹😹😹 Ndiomana nimesema akupe shavu ushike..!!
Mpe umtoe wenge..!! 😹😹Hahaha ntampa babe😂
Treeeenaaaah 👌😹😹Mbona unamuandama babe wangu lamomy😂😂😂hebu mpumzishe mambo ya past tuachane nayo
Kizuri kivipi!?Kitu kizuri hiki
😹😹😹 Mwanangu kabisa..!!Haina shida nitalishika shavu tu , ondoa shaka kwa hilo.
😹😹😹 Mangi leo kazi anayo..!!mabebe zetu jf😂😂😂
Hapa ndio najiandaa niende😆
Hilo limeisha😹😹😹 Mwanangu kabisa..!!
Ole wako uniangushe sasa..!!
Nahitaji kuungwa kwenye hili groupAchana nae huenda katoka kutapeliwa muda huu!
Mimi nasema Rwanda ni kama watu wako jela. Yaani hawana uhuru. Ndio maana nikakwambia kama unafanya kibiashara. Andaa tour za Nairobi na Kampala.This is not my business, hatuendi kwaajili ya clubs na madem.. and ninatafuta watu wakujoin group letu tunasafiri sehemu nyingi, hii safari tumeshaenda last year watu wameipenda na wanataka irudiwe na haiwezi kughairrishwa tukitoka hii tunaingia dubai in Mombasa!
Thanks for your opinion☺️