Utapel upi sasa hapo?Acha utapeli, utakufa vibaya wewe.
Sometimes inakera, mtu ameshaambiwa sawa bado anakuzonga tu na kupayuka hovyo kama amemeza memorycard kwenye kitambi.Achana nae huenda katoka kutapeliwa muda huu!
wewe upo wapView attachment 3533451
Kwa wale matomaso hii ni round I, round II ni April..
Ntajiunga ila nitafurahi nikiletewa mnyarwanda nimtie mimba. Budget yake isizidi 400k per night.Ukifika hushindwi kumpata huko huko bwana..
Kawadanganye wanaosinziaHuyo mwenye kitoto🥲
Tafuta hela mkuu mbona ni kiasi kidogo sana..
OkSidanganyi boss wangu, kwahiyo yupi hapo😅
Umeniwahi kuuliza mkuuduh, kwahiyo cha mchana na usiku najitegemea?